Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What a load of rubbish. Unaposema "ongezeko" siyo kufumba na kufumbua, it takes anything between 3 and 10 years. Kigoma mwakani wanapata gridi, iluanza zamani si ya siku moja. Awamu ya 5 imeanza Stieglers' iliyopimwa na kupangwa na Wakoloni tangu 1905 na awamu zote 4 zilizotangulia. Na Dodoma Mji Mkuu hivohivo.ZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Zitto ni tapeli wa siasa.What a load of rubbish. Unaposema "ongezeko" siyo kufumba na kufumbua, it takes anything between 3 and 10 years. Kigoma mwakani wanapata gridi, iluanza zamani si ya siku moja. Awamu ya 5 imeanza Stieglers' iliyopimwa na kupangwa na Wakoloni tangu 1905 na awamu zote 4 zilizotangulia. Na Dodoma Mji Mkuu hivohivo.
Katika fiksi hiyo no lini uliupata huo mgao wa umemeJiwe alikuwa bingwa wa fiksi.
Walete umeme waache kutafuta mchawi, ni ngumu sana kuwaaminisha watanzania anachosema zitto. Miqka mitano hakuna shida ya maji wala umeme ghafla hivi vitu vinakuja alafu yale mafisadi anakuja na hoja kama hizi...ZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Kwaiyo wewe na akili yako nyingi unaamini kuwa ni kweli mabwawa yamekauka[emoji23][emoji23][emoji23] kama mwenye akili ndo yuko namna hii je aliye mirembe atakuwa anafananaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumepigwaaTatizo la watanzania wengi ukubwa wa ubongo wetu unaweza ukawa kama wa mende au mende akatuzidi kidogo.
Wakati tunaambiwa kuhusu umeme wa gas,ualisemwa mengi sana yenye matumaini.Wengi tuliamini hasa pale tulipoambiwa kuwa kwa hatua tu za awali hakukuwa na sababu kuendelea kuwatoza watanzania service charge. Kweli zilifutwa kwa vile bomba la gas lilikuwa tayari.
Tuliambiwa umeme wa maji si wa kuaminika kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.Tuliamini kwa kuwa kila mwaka tunashuhudia ukame na mabwawa kupungua maji na hivyo kusababisha mgawo wa umeme.
Alipokuja Magufuli tukaaminishwa tena eti umeme wa maji ni nafuu na uhakika.Watu wakaamini isipokuwa mimi.Tena niliwahi kuhoji hapa hapa jf kuwa ni kwa nini akina Zitto wanasahau maneno yao ya kupigia debe umeme wa gas wakaanza kuimba tena stigler's gorge hydro power project?!!
Leo mnatukumbusha tena umeme wa gas baada ya kuona ukame?!!
Watanzania tutabaki na mitimu yetu ya kipumbavu na kutukanana humu jf lakini ukweli utabaki wazi kuwa Magufuli alifanya maamuzi mabaya kuhusu mradi wa kutegemea maji katika hali ya hewa kama hii
Marehemu hakusema kuwa wameongeza vyanzo vya uzalishaji, bali kulikuwa na hujuma katika uzalishaji wa vyanzo hivyo. Ambao waliuthibiti.ZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Zzk ni mende tu hili benchi la ubunge moto anaupata vilivyo.ZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Kupitia uenyekiti wa PAC alipiga rushwa sana huyu jamaaSi unajua alivyokuwa akimlilia Kikwete kusudi amsaidie kuwa mwenyekiti wa PAC bungeni?
ZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Unajua kuwa hilo bwawa la Nyerere likija maji itachukua muda gani kuoperate hata kama mvua hainyeshi. Mnafikiri JPM alikurupuka?Tatizo la watanzania wengi ukubwa wa ubongo wetu unaweza ukawa kama wa mende au mende akatuzidi kidogo.
Wakati tunaambiwa kuhusu umeme wa gas,ualisemwa mengi sana yenye matumaini.Wengi tuliamini hasa pale tulipoambiwa kuwa kwa hatua tu za awali hakukuwa na sababu kuendelea kuwatoza watanzania service charge. Kweli zilifutwa kwa vile bomba la gas lilikuwa tayari.
Tuliambiwa umeme wa maji si wa kuaminika kwa sababu ya mabadiliko ya tabia nchi.Tuliamini kwa kuwa kila mwaka tunashuhudia ukame na mabwawa kupungua maji na hivyo kusababisha mgawo wa umeme.
Alipokuja Magufuli tukaaminishwa tena eti umeme wa maji ni nafuu na uhakika.Watu wakaamini isipokuwa mimi.Tena niliwahi kuhoji hapa hapa jf kuwa ni kwa nini akina Zitto wanasahau maneno yao ya kupigia debe umeme wa gas wakaanza kuimba tena stigler's gorge hydro power project?!!
Leo mnatukumbusha tena umeme wa gas baada ya kuona ukame?!!
Watanzania tutabaki na mitimu yetu ya kipumbavu na kutukanana humu jf lakini ukweli utabaki wazi kuwa Magufuli alifanya maamuzi mabaya kuhusu mradi wa kutegemea maji katika hali ya hewa kama hii
Zito ni muongo, mnafki, tapeli na fisadi....
Kama MAGUFULI alikuwa MUONGO lakini UMEME ulikuwepoZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Uzuri ni kwamba JPM hakuwa mwanasiasa alikuwa mwanasayansi pure, ndio maana katika utawala wake wanasiasa hawakupta nafasi...