Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Hivi tuna stipulation za ku declare hizi conflicts of interest? Nilishawahi kuuliza kama tunayo equivalent ya "Securities and Exchange Commission" ya US?
Hii ingetuletea miongozo na policing ya mambo mengi, kuanzia DECI like Ponzi schemes mpaka declaration of conflicts of interest.
Hatuwezi hata kuipa kazi hii au kuunda idara moja hapo Wizara ya Fedha? Kadiri ya uchumi wetu unavyoingia katika ma sophistication ya stock markets and what not ndivyo tunavyohitaji chombo kama hiki zaidi na zaidi.
U.S. Securities and Exchange Commission (Home Page)
Unajua kwa globalisation and sophistication za stock markets au niseme uchumi kwa ujumla bado Tz imelala fofo kabisa. Bado tupo kwenye ujima au zile zana za kati. Nilifikiri hadi sasa ni lazima Wizara ingefanya lolote kwenye hasa stock markets/exchanges lakini hata ukiangalia hiyo Capital Market and Securities Authorities (CMSA) yetu bado haiko well equiped in many areas, including appropriate staffing!! Ninachotaka sasa tuamke tuanze kwenda kwa wenzetu waliondelea first world, sorry to say this ili tuje tufanye total reforms kwenye uchumi wetu. Tatizo kila tukitaka study tours utasikia ni East Asia tour!! Yes we have been doing this for years!!! What is the outcome?? Au ni sisi tunajua kwenda copy and paste policy za watu na zinatushinda implementation?? Hebu tujaribu na kutembelea hata US Stock Exchange Markets tujifunze??? na mambo mengine ya kiuchumi pia. Sijui kweli usomi wetu tunautumia au ni bereaucracy tu na ukiritimba wa wakurugenzi wazee na wengine walisha-retire but wanakuwa appointed kwa contracts. Tubadili mindset, hebu tujaribu tena young blood. Sorry kwa wale watoto wa vigogo baba zenu wako over 60 years but are still holding government contracts!!! Pumzikeni. Tufanye Young Revolution. Hivi unaona jinsi ambavyo hizi service companies ziko successfully hapa??? Kwa kuwa they have young blood, walishafanya survey na kuona hawawezi kurudia copy and paste ya Tz kwa ajira!!