Zitto: "Majibu ya Sumari ni 'ovyo ovyo'"; atakiwa kufuta kauli!

Zitto: "Majibu ya Sumari ni 'ovyo ovyo'"; atakiwa kufuta kauli!

Hivi tuna stipulation za ku declare hizi conflicts of interest? Nilishawahi kuuliza kama tunayo equivalent ya "Securities and Exchange Commission" ya US?

Hii ingetuletea miongozo na policing ya mambo mengi, kuanzia DECI like Ponzi schemes mpaka declaration of conflicts of interest.

Hatuwezi hata kuipa kazi hii au kuunda idara moja hapo Wizara ya Fedha? Kadiri ya uchumi wetu unavyoingia katika ma sophistication ya stock markets and what not ndivyo tunavyohitaji chombo kama hiki zaidi na zaidi.

U.S. Securities and Exchange Commission (Home Page)

Unajua kwa globalisation and sophistication za stock markets au niseme uchumi kwa ujumla bado Tz imelala fofo kabisa. Bado tupo kwenye ujima au zile zana za kati. Nilifikiri hadi sasa ni lazima Wizara ingefanya lolote kwenye hasa stock markets/exchanges lakini hata ukiangalia hiyo Capital Market and Securities Authorities (CMSA) yetu bado haiko well equiped in many areas, including appropriate staffing!! Ninachotaka sasa tuamke tuanze kwenda kwa wenzetu waliondelea first world, sorry to say this ili tuje tufanye total reforms kwenye uchumi wetu. Tatizo kila tukitaka study tours utasikia ni East Asia tour!! Yes we have been doing this for years!!! What is the outcome?? Au ni sisi tunajua kwenda copy and paste policy za watu na zinatushinda implementation?? Hebu tujaribu na kutembelea hata US Stock Exchange Markets tujifunze??? na mambo mengine ya kiuchumi pia. Sijui kweli usomi wetu tunautumia au ni bereaucracy tu na ukiritimba wa wakurugenzi wazee na wengine walisha-retire but wanakuwa appointed kwa contracts. Tubadili mindset, hebu tujaribu tena young blood. Sorry kwa wale watoto wa vigogo baba zenu wako over 60 years but are still holding government contracts!!! Pumzikeni. Tufanye Young Revolution. Hivi unaona jinsi ambavyo hizi service companies ziko successfully hapa??? Kwa kuwa they have young blood, walishafanya survey na kuona hawawezi kurudia copy and paste ya Tz kwa ajira!!
 
Hivi tuna stipulation za ku declare hizi conflicts of interest? Nilishawahi kuuliza kama tunayo equivalent ya "Securities and Exchange Commission" ya US?

Hii ingetuletea miongozo na policing ya mambo mengi, kuanzia DECI like Ponzi schemes mpaka declaration of conflicts of interest.

Hatuwezi hata kuipa kazi hii au kuunda idara moja hapo Wizara ya Fedha? Kadiri ya uchumi wetu unavyoingia katika ma sophistication ya stock markets and what not ndivyo tunavyohitaji chombo kama hiki zaidi na zaidi.

U.S. Securities and Exchange Commission (Home Page)

Tunacho chombo hicho kitambo, kilikuwa established na Capital Markets and Securities Acts of 1994.

Wanaitwa Capital Markets and Securities Authority. Watembelee hapa.
 
Tunacho chombo hicho kitambo, kilikuwa established na Capital Markets and Securities Acts of 1994.

Wanaitwa Capital Markets and Securities Authority. Watembelee hapa.

unapozungumzia kitu (kisichohuika - inanimate object) unasema "kinaitwa", unapozungumzia vitu vilivyohuishwa unasema "wanaitwa" hivyo wanyama, ndege, binadamu, wadudu n.k tunasema "wanaitwa mbulika, wanaitwa njiwa, wanaitwa kunguru n.k).

Hivyo, unapozungumzia "chombo" umesema vizuri kwa kusema "tunacho mchombo hicho"... lakini unapohama na kusema "wanaitwa Capital Markets and Securities Authority" unakipa uhai na kukifanya kihuike. Na hivyo unavunja kanuni za lugha yetu.

Hivyo sentensi yako sasa ilitakiwa iwe "..... kinaitwa CMSA, kitembelee hapa".

Tafadhali sahihisha.
 
Waandishi wa Tanzania bana.....
 
Asante sana Rufiji. Mungu akubaki sana kwa kuleta ukweli juu ya hili kampuni lake la Solomon Stockbrokers Ltd. Sasa najiuliza, je ali-declare conflict of interest mbele ya umma wakati Wizara anayoiongiza ndiyo ina dhamana ya kusimamia shares zote za serikali kupitia wakala anayehusika CMSA?? Noamba turejee prospectus zote za uuzaji wa shares za NMB na CRDB je Solomon hawakuwa among selected brokers??? Appendix 1 - List of selling agents wa CRDB shares wako 8 na Solomon Stock Brokers Ltd ni wa kwanza. Katika NMB Selling agents wako 8 pia na Solomon Stockbrokers Ltd ni ya 8. Sasa je hii ni serikali gani?. Huyu Jeremiaha Sumary ni owner kabisa wa hii kampuni i.e majority shareholder na kwa kuwa ni yake. Inakuwaje inashiriki dili la kuuza hisa, au kuna mwenye evidence hapa kama alishauza share zake kabisa na kuwa si kampuni yake?? Kwanza waandishi wa habari hebu tumlipue huyu jamaa. Tunataka tumsome vizuri. Asituletee mambo mbofu mbofu na hovyo hovyo hapa.
Jerry Solomon alijiuzulu nyadhifa zake zote kwenye Solomon and Company mara tuu alipoteuliwa Naibu Waziri. Mkewe sasa ndio boss. Yeye anabaki kuwa mmiliki. Kwa mujibu wa Azimio la Zanzibar, hiyo imo, ni halali na hajavunja sheria yoyote.
Ila pamoja na uhalali huu kisheria, morally is it right, hapa ndio swali.
 
"tungeomba, tafadhali" ndiyo nini? Kama hutaki kuomba usiombe, kama unataka kuomba wewe omba tu, kama unampango wa kuomba baadaye subiri hadi ukiwa tayari, sasa "tungeomba, tafadhali" ndiyo tuelewe nini? hii lugha siyo ngumu hivyo. Halafu "wengine" manake yake nini?

Halafu hizo komakati ya "tungeomba, tafadhali" ndiyo zinafanya kazi gani hapo?; hiyo "nge" kwenye "tungeomba" inavunja kabisa neno "tafadhali".

Halafu, unasema "record ya maneno (ya) Waziri Sumari ambayo inatosha kujumuisha "sentensi, au paragraph (ambayo ina sentensi), neno kwa neno (ambayo imo kwenye "record ya maneno").

Hivyo "record ya maneno" inatosha.

unaweza kurudia kauli yako katika lugha inayoeleweka ikimaanisha ulichotaka kumaanisha?

unapozungumzia kitu (kisichohuika - inanimate object) unasema "kinaitwa", unapozungumzia vitu vilivyohuishwa unasema "wanaitwa" hivyo wanyama, ndege, binadamu, wadudu n.k tunasema "wanaitwa mbulika, wanaitwa njiwa, wanaitwa kunguru n.k).

Hivyo, unapozungumzia "chombo" umesema vizuri kwa kusema "tunacho mchombo hicho"... lakini unapohama na kusema "wanaitwa Capital Markets and Securities Authority" unakipa uhai na kukifanya kihuike. Na hivyo unavunja kanuni za lugha yetu.

Hivyo sentensi yako sasa ilitakiwa iwe "..... kinaitwa CMSA, kitembelee hapa".

Tafadhali sahihisha.

Eti siku hizi Mzee Mwanakijiji ndio ameghafirika amekuwa grammar and spelling bee wa Dilunga! Duuuuu...
 
Waandishi wa Tanzania bana.....
si ndio waandishi wetu hoa, na elimu tuliyowapa ndio hiyo ila sio wote, tuna baadhi a waandishi serious, makini na wazuri wanaojua kazi yao. tusiwahukumu wote kam samaki kwenye kapu moja.
Waandishi wetu ni kama wachangiaji wa JF, makini wapo, serious wapo, vichwa vipo, na jokes pia zipo, funny wapo, na pumba zipo pia
 
ndiyo vilaza vilaza kweli! mtu anaandika kitu utadhani lugha ya Kiswahili haijui.
Angalau tumia neno baadhi, au wengiwao, kuwaita vilaza vilaza kweli kweli ni tuu general, sawa na kuwatukana wote ili hali kuna wazuri wengi tuu miongoni mwao.
Natolea mfano Kijarida cha Cheche miongoni mwa waandishi wake, vichwa vipo na vilaza pia wapo. Msomaji aliyesoma andiko la kilaza, akalikandia Cheche lote ni gazeti la vilaza, atakuwa halitendea haki kwa upande wa vichwa vya Cheche, ndivyo ilivyo kwenye fani ya uandishi, ni profession kama profession nyingine zote, vichwa vipo na vilaza wapo, vichwa kuwaita vilaza ni kuwatukana.
 
Eti siku hizi Mzee Mwanakijiji ndio ameghafirika amekuwa grammar and spelling bee wa Dilunga! Duuuuu...

matumizi ya neno "kughafirika" hayaendani na kauli yako nzima. Halafu mtu hawezi kuwa "grammar and spelling bee". Duh.. hii lugha ni ngumu hivi jamani. Sasa kama wakosoaji wetu mnashindwa kutanaibisha vitu hivi vidogo vidogo tutafika kweli? Tunawahitaji muwe na umakini wa juu zaidi ya sisi waandishi uchwara.
 
Angalau tumia neno baadhi, au wengiwao, kuwaita vilaza vilaza kweli kweli ni tuu general, sawa na kuwatukana wote ili hali kuna wazuri wengi tuu miongoni mwao.
Natolea mfano Kijarida cha Cheche miongoni mwa waandishi wake, vichwa vipo na vilaza pia wapo. Msomaji aliyesoma andiko la kilaza, akalikandia Cheche lote ni gazeti la vilaza, atakuwa halitendea haki kwa upande wa vichwa vya Cheche, ndivyo ilivyo kwenye fani ya uandishi, ni profession kama profession nyingine zote, vichwa vipo na vilaza wapo, vichwa kuwaita vilaza ni kuwatukana.

ukisema "vilaza" peke yake umegeneralize.. unaposema "vilaza vilaza" umetanganisha. Hivyo wapo waandishi vilaza vilaza.. maana yake wengine siyo vilaza!
 
Waswahili bwana wakikutana kaaazi kweli kweli!
Haya sisi wengine Wakerewe itakuwa kazi mpya tukianza kukosoana neno kwa neno..maanake pa Le tunaweka Re na kinyume maadam mchanganyiko huo unakubalika..
Mkuu wanakijiji endelea kujibu hoja za watu haya ya kiswahili mkuu unataka watu tuanze kuandika tukiwa na kamusi ubavuni?..
 
ndiyo vilaza vilaza kweli! mtu anaandika kitu utadhani lugha ya Kiswahili haijui.
Hata walio mabingwa wa lugha huanza kufanya makosa ya kitoto ikiwa wanaishi kwenye jamii inayoharibu au isiyojali usanifu wa lugha kwenye uandishi au mazungumzo. Maana humo, watasikiliza na kusoma makosa ya kitoto kila mara.
Nilifundishwa na mwalimu mwingereza aliyeishi kwa miaka 16 Scandinavia, siku moja alikiri kwamba kiingereza chake kimekuwa hovyo kwa sababu niliyoeleza hapo juu.

Kama hatutakumbushana, njia pekee iliyobaki kwa mtu yeyote kuendelea kunoa kiswahili chake ni kwa kusoma zaidi vitabu au majarida ya kiswahili yaliyoandikwa kwa ufanisi (ikiwa fursa hiyo anayo).
 
Waswahili bwana wakikutana kaaazi kweli kweli!
Haya sisi wengine Wakerewe itakuwa kazi mpya tukianza kukosoana neno kwa neno..maanake pa Le tunaweka Re na kinyume maadam mchanganyiko huo unakubalika..
Mkuu wanakijiji endelea kujibu hoja za watu haya ya kiswahili mkuu unataka watu tuanze kuandika tukiwa na kamusi ubavuni?..

Bob, nadhani dira kunako ilikoelekezwa, usifedheheke bure kaka!! Kisa na mkasa wa avumaye baharini...
 
My SHY, please changia issue iliyopo, kwamba majibu ya waziri ni hovyo hovyo or not, sio kumzungumzia Zitto na mambo ya kwenu huko.

Radical, Nakuunga mkono nadhani SHY ana bifu tu na Zitto yani hataki hata ku-discuss mada ya Majibu ya waziri Sumari.

Kwa upande wangu naungana na Zitto kusema majibu ya Waziri Sumari ni "ovyo ovyo".

Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber. ~Plato

Sasa hawa ndio akina Sumari na wengine wengi.
 
Ni wazi katika hili CCM wamefanikiwa maana badala ya watu kuongelea yaliyomo katika mchango wa Zitto ambayo ndiyo muhimu zaidi hasa wakati huu tukielekea katika uchaguzi mkuu wote tumeingia mkenge kuwaongelea Zitto, Sumari, Speaker..

Alichokuwa akikifanya Zitto ni kuzindua rasmi kampeni za Upinzani kuelekea UCHAGUZI MKUU UJAO kama ambavyo tayari JK ameshafanya kuanzia siku ile ya uzinduzi wa pantoni mpya KIGAMBONI....

Ushauri wangu ni kuwa tuachane kujadili "ovyo ovyo" na tuichambue hotuba ya Zitto kwa undani wake ambapo anachambua ahadi za CCM na utekelezaji wake....

Salamu kutoka kijijini Tallberg...

omarilyas
 
Bluray,

I said this, inafuta hisia zako?

MHE. KABWE Z. ZITTO: Mheshimiwa Mwenyekiti, majibu ambayo Waziri alimpatia Mbunge wa Karatu yalikuwa ni ya ovyoovyo nasimamia maneno yangu na niko tayari kwa lolote ambalo Meza itakayoamua. (Makofi)

Huu ndio msimamo thabiti unaopaswa kuonyeshwa na mbunge wa upinzani,unatoa hoja za msingi huku ukiwa na vigezo sahihi and then unapotoa allegation kwamba majibu ya naibu Waziri yalikuwa hovyo hovyo unasimamia maneno yako.

Zito Kabwe usikubali kuyumbishwa na wabunge wasio makini,wewe mwenyewe unawaelewa baadhi ya wabunge wa CCM wasivyo makini kufanya research, kukusanya data na kujitayarisha kabla ya kuongea bungeni.Naelewa kuwa wewe unadata za kutosha na ndio sababu ukasema majibu ya naibu Waziri yalikuwa hovyo hovyo.

Anayepinga na aeleze umma wa JF kama majibu ya Mh Sumari yalikuwa sahihi na makini yakiaddress suala alilouliza Mbunge wa Karatu Dr. Wilbrod Slaa.Huu sio wakati wa kushabikia mambo ila ni wakati wa kwenda na facts zikiwa na data sahihi.

Bravo Zito Kabwe mwendo uwe huo huo kwa wabunge wote wa upinzani.
 
matumizi ya neno "kughafirika" hayaendani na kauli yako nzima. Halafu mtu hawezi kuwa "grammar and spelling bee". Duh.. hii lugha ni ngumu hivi jamani. Sasa kama wakosoaji wetu mnashindwa kutanaibisha vitu hivi vidogo vidogo tutafika kweli? Tunawahitaji muwe na umakini wa juu zaidi ya sisi waandishi uchwara.

Nyani haoni nini vile....?
 
Mtu B,
Hukumsoma vizuri Mwanakijiji. Nimefifisha neno uchwara kwa makusudi!
Ukipenda, nenda kasome post namba 207 hapo juu, au gonga hapa.
 
Back
Top Bottom