Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Hivi haya ni kweli au ninasoma vibaya?
 
Pia ni Rais aliyemkatalia Waziri mkuu wake makampuni yasinunue korosho. Mwisho ikawaje!!!?
Bagamoyo haimpi sifa wala faida Labda mradi ungekuwa Chato.
 
Tumetoka $190bn mpaka $300m ya masharti na makato halafu unasema una maprofessa na kuna wapumbavu wanaandamana kushangilia.

Tunaonekana wajinga sana.

Mkuu nimeziba macho kwa aibu hii maprof wetu hawa jmn
 
Bandugu, mbona sisikii vigeregere?
 
Nafuatilia comment za wadau tu hapa. WA KULIA WANASEMA: 'Zitto umetumwa na mabeberu' WA KUSHOTO WANASEMA: 'Aliyetuloga kafa'. Nimegundua kuwa hakuna hata mmoja aliyeelewa hoja ya Zitto Kabwa ila ni kambi mbili tofauti. Kazi kwelikweli
 
Serikali ikikanusha na kuleta vielelezo kupinga hoja zako tunaomba na wewe zito ulete vya kwako na sio utokomee bila kuthibitisha
Maana ya Bombardier na Dream liner hujarudi kuthibitisha kuwa ni nzee kwa vielelezo, na watu humu tulikusapoti.
Mkuu, umepewa link (Kiambatanisho namba 4 cha nyaraka za manunuzi ya Acacia) na unweza ku-dowload ripoti ya Barrick ukasoma taratibu kwa wakati wako. Ni kipi unata ZZK adhibitishe?
 
Ingekuwa busara kila mtu akapata hiyo doc ili kujiridhisha mstari kwa mstari. Kama Mh. Zitto anaweza irusha humu itapendeza sana. Mod fanya mpango, great thinkers tuipitie hii doc
 
Unashindwa kitu gani kwenda kuitafuta mwenyewe huko ilipo. Umekwishaambiwa ilipo!
Wanapunguzwa kwa risasi
Wawili, watatu ndio. Sio kumi wa aina ya Zitto na Tundu Lissu.
Hapo pangechimbika.
 
Ni kweli Paskali huwa anachombeza, lakini sehemu kubwa ya hili suala alisimama kuonyesha tunapiga bao.
Hahaha perception zake tu. Kwasababu serikali na Barrick waliilishambulia zaidi ACCACIA alikuwa anatabiri mshindi.
 
Kuna watu wengi watavaa sare za manjano. 2026.This is not a prophecy
 

Huu ni upotoshaji tu. Kuna wanasiasa hutumia mapungufu ya wananchi kuchambua mambo ili wawarubini kama huyu Mheshimiwa wetu Zitto au Rais Trump wa huko Marekani. Wanaendesha hadaa tupu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…