Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

BARRICK ananunua kampuni hewa ACACIA.

ACACIA kampuni isiyotambulika Tanzania lakini inaendelea kufanya uzarishaji na inauza shares zake 40% ulaya na anayeuziwa anakuja kuendelea na kazi..

ACACIA kampuni isiyotambulika inalipa kodi na kodi inapokelewa na NEMC + other govt institution wanafanya kazi nao na NEMC wanawapiga faini kama kawaida hiyo kampuni hewa..

ACACIA kampuni hewa anafanya operation zake Tanzania huku baba yake BARRICK akiwa ulaya na kushirikiana naye kula faida halafu leo baba aliyeko ulaya ndio tunajifungia naye ndani na kumjadili mtoto mkorofi.

Andiko zuri mkuu kwel yamekuwa wale waliokua wanaitwa wezi wamefanikiwa kwa style ya wao pia kuita mwizi kwa sauti ya uchungu kabs
 
1. Mzalendo Pascal Mayalla, njoo huku utusaidie kubalance uchochezi huu was ZZK
2. Kwa kiasi flani kwa mabeberu walivyo tena hao Barrick nachelea kusema wasingetuacha salama, Ila kama ZZK yuko sahihi, wametupiga pakubwa ilitakiwa watufikirie
3. Hili suala LA kuficha haya ma mikataba litaendelea kututafuna
4. Profesa aliyeokotwa jalalani aje akanushe

Tumetoka kusubiri Noah hadi kuwanunulia noah wazungu dah naenda kugeuza banda la kuku lile jumba la gari nililojenga kwangu
 
Zito huo no ujinga kwani kama unge yasema hayo kabla ya hili sekeseke kufika note huku ungepata hasara gani.?
Sasa unaongea sahizi tuta kusaidiaje?
Auwewe unafurahi tukikosea we we ukosoe uonekane Wa maana sisi tupate hasara tuwe tayari tumeliwa!.nimekudharau kuanzia Leo!

Angefanya ivo angekua amewahi zaidi ya hata ya soko la hisa uko ulaya mkuu bandiko limetoka same day na la bongo mkuu vumilia kidg tuone nini kipya nani mkweli
 
Akiweka nitag mkuu. Watu humu ndani ni wavivu sana wa kufikiri. Zitto alete hiyo link aliosoma yeye ili na sisi tujiridhishe

Ni web tu mkuu ya soko uko [emoji636] uk mkuu nenda tu hakuna password mkuu nadhani zitto ameepusha maswali ya watu kuhusu lugha ndo mana labda ajaweka akaona aje na lugha ya taifa mkuu jaribu kwenda ukikosa omba sasa msaada ila ipo kule wahi mkuu kabla ya update nyingine
 
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION NOT FOR RELEASE, PUBLICATION OR DISTRIBUTION, IN WHOLE OR IN PART, DIRECTLY OR INDIRECTLY, IN, INTO, OR FROM ANY JURISDICTION WHERE TO DO SO WOULD CONSTITUTE A VIOLATION OF THE RELEVANT LAWS OF THAT JURISDICTION

Wanaouliza link wote tusome hapa
 
Duh ebwanaee
Sasa hapo mwanzo tulizuia makinikia ya nini na leo tumefanya nini?
Si tuliambiwa kwenye makinikia ndipo tunapopigwa?
Sasa mbona wazungu wataendelea kukomba tu?

Naona Kabudi na Bosi wake wametafuta namna ya kujikosha kutoka kwenye mess waliyoitengeneza!
Walipitisha sheria bungeni haraka haraka kuwa kesi za madini zitakuwa humuhumu nchini lakini wametoka hapo wameweka waiver maana yake itabidi wakabadiishe ile sheria ya madini?

Kama tulikuwa tumeibiwa DOLA BILIONI 190, JE HIZO TUNAZIPATAJE, NA KAMA TUNASAMEHE KWA NINI?

Mkuu nadhani watarudi tena bunge kwaiyo ilikua ni zima taa shetani apite alafu inawashwa tena [emoji23][emoji23][emoji23] dah au kwa mara ya kwanza sheria itafanyiwa amending na rais mwenyewe ikulu mana mengi ameweza fanya mana ndo rais pendwa na mzalendo sana huyu
 
Ziko tuhuma nyingi tulizo wahi kuaminishwa dhidi ya serekali hii ambazo mwisho wa siku zinakuwa hazina mashiko. Hii nayo itapita kama zilivyo pita nyingine. Niwaulize enyi watetezi wa mafisadi/vinana mmesha isikia serikali upande wake kutolea hili suala maelezo kabla ya kuhitimisha haya mnayo ya tuhumu.

Picha inayojengwa na majizi yenye hasira kwa kukatiwa njia zao za wizi ni kwamba iko namna kama wao walivyokuwa wanafanya huko nyuma katika ufisadi wao. Subirini kwani serikali itatolea ufafanuzi maana serikali ya JPM haija wahi/haitowezekana kujificha katika kivuli cha usiri wa mikataba. Huko kipindi cha nyuma kilicho kuwa cha mafisadi/vinana ndio mbinu hii ya wizi kwa usiri wa mikataba ilitumika.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kuwa yenyewe inasimamia maslahi ya nchi kwa niaba ya Watanzania walioipa ridhaa kuwa ongoza ikipigania manufaa yao kwa mikataba ya win-win conditions na hata huu mwisho wa siku tutaliona hili tutakaposikia maelezo ya serikali.

Hii ni hoja dhaifu kutaka watu wanaoji elewa kama wa hapa Jf wafikirie timu ya majaliano haikujua kwamba makubaliano waliyo ya fikia na kusaini yangeliwekwa wazi katika asoko ya hisa.

Mkuu kuna pdf ya barrick humu umeiona na kuisoma sasa kosa la zitto ni kuweka tafsiri na ufafanuzi kwa kiswahili jiandae kupambana na economic benefits mkuu pls punguza ubaguzi kidg
 
Si wote tuliwaona wajuvi. Tupo tuliopinga report zao toka siku ya kwanza kwa sababu hazina mantiki yoyote kwa mtu mwenye uelewa kidogo tu wa madini.

Wanasema makinikia yana thamani zaidi ya ile iliyosemwa na kampuni. Kesho makinikia yakianza kusafirishwa ni thamani ya kampuni itatambulika na si ya maprofessa. Hii ni kuonyesha walidanganya kwa sababu ya njaa zao za jalalani.

Pili kwenye negotiations walikuwepo maprofessa. Lakini unaenda kwenye negotiation na report ya uwongo. Report ambayo hutaki mtu yoyote aione. Umeshawahi kuona wapi hii?

Mwisho wa siku tumetoka kudai $190bn mpaka kulipwa $300m ya mafungu yenye masharti. Tunaonekana hatukua tunachojua tunadai zaidi ya fujo za kishamba.

Halafu kuna mtu anashangilia hawa maprofessa. Wanatakiwa wachapwe fimbo hadharani.

mkuu kama umenisoma vizuri between the lines utagundua kuwa hata mimi sijamaanisha kuwa wale maprofesa kweli ni wajuvi. Wale walikuwa wanatekeleza maagizo tu wala hata hawakuandika ile report kulingana na uhalisia wa jambo lenyewe bali waliandika kumfurahisha mkuu hili apewe sifa na wanainchi.

Hauko pekee yako tu ulioliona hilo kuwa walitumia approach ambayo generally ni dhaifu sana kuli handle hili suala.

Labda la msingi na la kujiuliza hapa, je ni kweli kwa miaka yote ambayo makinikia ilikuwa inachukuliwa wizara na tasisi zingine husika hazikuwa na muda wa kukagua na kujiridhisha kama kodi stahiki zinalipwa ama lah?

Na kama hilo lilikuwa linafanyika na bado ukwepaji wa kodi wa kodi ukawa mkubwa kiasi hiki kwanini tusihisi accacia alishirikiana na viongozi baadhi wenye mamlaka kulihujumu taifa na pengine ndio maana hata imekuwa rahisi deni limepungua kwenye mazingira tatanishi kutoka $190bn mpaka $300mn?

Ubaya wa hii vita inapiganwa na mtu mmoja tu hawa wengine ni kama watekelezaji wa mawazo ya mtu mmoja.
 
Mkuu naomba nikulekebishe vizur kdg sio hata hii $300 atupati kuna kavat hapo kanatubana pia
 
Transparency ile ya kupitisha mambo bungeni kwa staili ya kina gairo ama? Maana ndicho ambacho mh huyu ana lilia ingawa wasio na karama ya kusoma between the lines hawawezi kumuelewa.

Unaamini huyu mh. akipeleka hili suala bungeni kama hoja binafsi Ndungai na baba mkuu watakubali lijadiliwe kiundani?
 
Asante naona umeamua kufunga mjadala kabisa na pdf nadhani akuna wakuomba tena link
 
Huyu Jiwe yeye binafsi na kwa nafasi yake kama rais, ameshasababisha hasara kubwa kwa nchi. Kwa kiwango cha hizi hasara, italazimu yeye Jiwe na kabila lake la wasukuma na CCM wote kufilisiwa kila kitu ili waweze kulipia.

TUMEPATA MSHAMBA WA KUONNGOZA NCHI

jamaa punguza utoto na upumbavvu japo naona kama una hoja
 
mkuu kama umenisoma vizuri between the lines utagundua kuwa hata mimi sijamaanisha kuwa wale maprofesa kweli ni wajuvi. Wale walikuwa wanatekeleza maagizo tu wala hata hawakuandika ile report kulingana na uhalisia wa jambo lenyewe bali waliandika kumfurahisha mkuu hili apewe sifa na wanainchi.

Hauko pekee yako tu ulioliona hilo kuwa walitumia approach ambayo generally ni dhaifu sana kuli handle hili suala.

Labda la msingi na la kujiuliza hapa, je ni kweli kwa miaka yote ambayo makinikia ilikuwa inachukuliwa wizara na tasisi zingine husika hazikuwa na muda wa kukagua na kujiridhisha kama kodi stahiki zinalipwa ama lah?

Na kama hilo lilikuwa linafanyika na bado ukwepaji wa kodi wa kodi ukawa mkubwa kiasi hiki kwanini tusihisi accacia alishirikiana na viongozi baadhi wenye mamlaka kulihujumu taifa na pengine ndio maana hata imekuwa rahisi deni limepungua kwenye mazingira tatanishi kutoka $190bn mpaka $300mn?

Ubaya wa hii vita inapiganwa na mtu mmoja tu hawa wengine ni kama watekelezaji wa mawazo ya mtu mmoja.

Samahani sana. Nimekuelewa sasa.

Kinachoniuma sana ni kutumia maprofessa kuhalalisha upuuzi na ujinga. Angetumia kina Lusinde, Bashite, Msukuma na Musiba hapo nisingeumia.

Hawa maprofessa ni kioo cha maarifa, taaluma na integrity yetu kama nchi. Wanapotumika cheaply si tu wanaaibisha uprofessa wao bali nchi nzima. Wanatoa ripoti ambayo wanaificha makabatini wakijua ni ujinga mtupu wamefanya.

Wanakuja na makadirio ya $190bn tunaonekana hii nchi hamna mwenye akili. Kuna mijinga inashangilia tu haielewi madhara yake kwenye biashara, uchumi na uwekezaji.

Huko duniani watu wanatuona ni wajinga sisi kiasi kwamba ukisema wewe ni professa kutoka Tanzania unaonekana ni mchumia tumbo tu.

Leo hii miprofessa imejikunyata kama haihusiki kumbe ujinga wao ndiyo umetufikisha hapa.
 
Mkuu naomba nikulekebishe vizur kdg sio hata hii $300 atupati kuna kavat hapo kanatubana pia

Tumetoka $190bn mpaka $300m ya masharti na makato halafu unasema una maprofessa na kuna wapumbavu wanaandamana kushangilia.

Tunaonekana wajinga sana.
 
Tumetoka $190bn mpaka $300m ya masharti na makato halafu unasema una maprofessa na kuna wapumbavu wanaandamana kushangilia.

Tunaonekana wajinga sana.
Hii mipumbavu tena sana yaani mtu unaumia mpaka unashindwa kuelewa kwanini mtu mwenye akili afanye upumbavu wa kiwango hiki?. Nimemkumbuka LISU sana, na ili tutoke hapa kama taifa tunahitaji watu wakweli.we jiulize kwanini mikataba iwe SIRI?. HAWA VIONGOZI NI MAZEZETA SANA
 
Nyie kaeni mkidhania ikifika 2020 mtawashawishi wapiga kura wa kule kijijini kwetu kwa kutumia hoja ya kisomi. Shauri lako.
"Mzee Mwanakijiji," hebu tupe tuition namna rahisi ya kuwaambia wapiga kura watuelewe kwamba hawa wazalendo wao wameuza nchi kwa vipande 30 vya dola. Kwamba pamoja na Ma PhD walizojaza na kuitwa madocta na maprofesa hawana lolote zaidi ya kuwapigia magoti "Mabeberu." Kwamba hata yule tuliyemdhania kuwa ni Mzalendo Na. 1 amevunja hata sheria alizosaini mwenyewe ili "Mabeberu" yachote dhahabu yanavyotaka. Mzee, tuko kwenye jahazi moja, tusaidiane tafadhali kuiokoa ncho yetu na "Manyang'au" haya!!!
 
Back
Top Bottom