Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Kuna wakati nilisema kuwa hasara aliyoileta Kabudi kwenye sekta ya madini, haipimiki. Kuielezea inahitaji topic inayojitegemea.

Sehria alizoleta zimeua sekta ya nishati na madini. Unaleta sheria inayoweka VAT kwenye madini. Ni ujinga. Unaleta sheria inayotaka mahakama za nje zisitumike kusuluhisha migogoro. Mpaka leo LNG Project ya $20bn haina uwelekeo wa kupatikana.

Mpaka Rais Magufuli ikabidi akutane na wafanyabiashara wa madini wamueleze.

Kwa huu mgogoro na Acacia, wameshusha investors confidence kwa kiwango kikubwa na tumeonekana ni wendawazimu tunaoweza kulala na kuamka na kodi ya mabilioni tukiimba nyimbo tunaibiwa.

Maprofessa wa jalalani na kujikomba kumfurahisha Rais hawana msaada kwa Taifa.
 
Kwa jambo hili Zitto unataka kutuambia kama bunge mna sauti gani, waonaje basi ukalipeleka bungeni ili serikali iwajibike kwa kuvunja sheria mliyoitunga.
Kule bungeni ndiyo ndiyo zisizofikiria zipo nyingi,,, unajua hilo,,,

Hapa mkubwa awaite Barrick awabadirikie,, wamezoea hawa jamaa.
 
Wale maprofessa uchwara/njaa walisema makinikia yana thamani mara kumi zaidi ya ile Acacia iliyorekodi. Usafirashaji wa makinikia utakaporuhusiwa utaona thamani inayoandikwa ni ile ya Acacia (sasa Barrick) na si ya maprofessa uchwara.

Maprofessa uchwara/njaa walisema Acacia haina uhalali kisheria Tanzania lakini ili Barrick aweze kuingia makubaliano na Serikali inampasa amalizane na Acacia.

Na bado wakasema smelter inaweza kujengwa hapa Tanzania. Watu TMAA wamefukuzwa kazi kuonekana wezi. Hii yoyote ni kwa sababu Rais Magufuli alipewa anachotaka kusikia.

Leo hakuna smelter imejengwa. Kodi ya $190 bilioni hakuna. Na Acacia (sasa Barrick) itaendelea na shughuli zake. Mwisho wa siku tunaonekana tulikuwa tunataka tu pesa bila kuwa na ushahidi wowote wa kuibiwa.

Ni kiasi gani cha investor confidence kimeshuka kwa sababu ya mgogoro huu? Huu si uhujumu uchumi?

Hawa maprofessa njaa/uchwara wametufanya watanzania wote tuonekane wapuuzi duniani. Hawa maprofessa njaa/uchwara wangekua hata na aibu kidogo wangeomba msamaha kwa upuuzi wao walioaminisha watanzania.

Mtu anaendeshwa na hisia zake anaenda kuharibu biashara za watu bila kujali akiamini anaisaidia nchi huku anashangiliwa na washamba wenzake.

Wale maprofesa tuliowaona ni wajuvi wa uchumi baada ya kuja na report tamu ya $190bn hivi ni kwanini hawakuwemo kwenye ile list ya negotiators walioenda Canada?
 
Ziko uhuma nyingi tulizo wahi kuaminishwa dhidi ya serekali hii ambazo mwisho wa siku zinakuwa hazina mashiko. Hii nayo itapita kama zilivyo pita nyingine. Niwaulize enyi watetezi wa mafisadi/vinana mmesha isikia serikali upande wake kutolea hili suala maelezo kabla ya kuhitimisha haya mnayo ya tuhumu.

Picha inayojengwa na majizi yenye hasira kwa kukatiwa njia zao za wizi ni kwamba iko namna kama wao walivyokuwa wanafanya huko nyuma katika ufisadi wao. Subirini kwani serikali itatolea ufafanuzi maana serikali ya JPM haija wahi/haitowezekana kujificha katika kivuli cha usiri wa mikataba. Huko kipindi cha nyuma kilicho kuwa cha mafisadi/vinana ndio mbinu hii ya wizi kwa usiri wa mikataba ilitumika.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kuwa yenyewe inasimamia maslahi ya nchi kwa niaba ya Watanzania walioipa ridhaa kuwa ongoza ikipigania manufaa yao kwa mikataba ya win-win conditions na hata huu mwisho wa siku tutaliona hili tutakaposikia maelezo ya serikali.
Hapa si mahala pa kuleta propaganda kujibu hoja za msingi.Hizi pumba zako peleka huko Lumumba wa wajinga wenzako.
 
Ziko uhuma nyingi tulizo wahi kuaminishwa dhidi ya serekali hii ambazo mwisho wa siku zinakuwa hazina mashiko. Hii nayo itapita kama zilivyo pita nyingine. Niwaulize enyi watetezi wa mafisadi/vinana mmesha isikia serikali upande wake kutolea hili suala maelezo kabla ya kuhitimisha haya mnayo ya tuhumu.

Picha inayojengwa na majizi yenye hasira kwa kukatiwa njia zao za wizi ni kwamba iko namna kama wao walivyokuwa wanafanya huko nyuma katika ufisadi wao. Subirini kwani serikali itatolea ufafanuzi maana serikali ya JPM haija wahi/haitowezekana kujificha katika kivuli cha usiri wa mikataba. Huko kipindi cha nyuma kilicho kuwa cha mafisadi/vinana ndio mbinu hii ya wizi kwa usiri wa mikataba ilitumika.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kuwa yenyewe inasimamia maslahi ya nchi kwa niaba ya Watanzania walioipa ridhaa kuwa ongoza ikipigania manufaa yao kwa mikataba ya win-win conditions na hata huu mwisho wa siku tutaliona hili tutakaposikia maelezo ya serikali.
Unajidanganya. Serikali iliyo tayari kuua au kupoteza raia wake ili
mradi mambo yake yasjulikane, unawezaje kusema imejipambanua kulinda rasilimali!!!? This is the worst government ever to exist in this country!!!
 
Wale maprofesa tuliowaona ni wajuvi wa uchumi baada ya kuja na report tamu ya $190bn hivi ni kwanini hawakuwemo kwenye ile list ya negotiators walioenda Canada?

Si wote tuliwaona wajuvi. Tupo tuliopinga report zao toka siku ya kwanza kwa sababu hazina mantiki yoyote kwa mtu mwenye uelewa kidogo tu wa madini.

Wanasema makinikia yana thamani zaidi ya ile iliyosemwa na kampuni. Kesho makinikia yakianza kusafirishwa ni thamani ya kampuni itatambulika na si ya maprofessa. Hii ni kuonyesha walidanganya kwa sababu ya njaa zao za jalalani.

Pili kwenye negotiations walikuwepo maprofessa. Lakini unaenda kwenye negotiation na report ya uwongo. Report ambayo hutaki mtu yoyote aione. Umeshawahi kuona wapi hii?

Mwisho wa siku tumetoka kudai $190bn mpaka kulipwa $300m ya mafungu yenye masharti. Tunaonekana hatukua tunachojua tunadai zaidi ya fujo za kishamba.

Halafu kuna mtu anashangilia hawa maprofessa. Wanatakiwa wachapwe fimbo hadharani.
 
Ziko tuhuma nyingi tulizo wahi kuaminishwa dhidi ya serekali hii ambazo mwisho wa siku zinakuwa hazina mashiko. Hii nayo itapita kama zilivyo pita nyingine. Niwaulize enyi watetezi wa mafisadi/vinana mmesha isikia serikali upande wake kutolea hili suala maelezo kabla ya kuhitimisha haya mnayo ya tuhumu.

Picha inayojengwa na majizi yenye hasira kwa kukatiwa njia zao za wizi ni kwamba iko namna kama wao walivyokuwa wanafanya huko nyuma katika ufisadi wao. Subirini kwani serikali itatolea ufafanuzi maana serikali ya JPM haija wahi/haitowezekana kujificha katika kivuli cha usiri wa mikataba. Huko kipindi cha nyuma kilicho kuwa cha mafisadi/vinana ndio mbinu hii ya wizi kwa usiri wa mikataba ilitumika.

Serikali ya awamu ya 5 imejipambanua kuwa yenyewe inasimamia maslahi ya nchi kwa niaba ya Watanzania walioipa ridhaa kuwa ongoza ikipigania manufaa yao kwa mikataba ya win-win conditions na hata huu mwisho wa siku tutaliona hili tutakaposikia maelezo ya serikali.

Wewe kweli ni mpiga tarumbeta!

Haya hiyo serikali inateteaje maslahi ya wanainchi wakati hakuna transparency kwenye hayo maslahi yenyewe?
 
Angayasema hayo hizi documents angezitoa wapi?
Wa Jalalani na rais wake walizificha.

Ziko wazi kwasababu ni sheria ya manunuzi kuweka wazi documents zote
Zito huo no ujinga kwani kama unge yasema hayo kabla ya hili sekeseke kufika note huku ungepata hasara gani.?
Sasa unaongea sahizi tuta kusaidiaje?
Auwewe unafurahi tukikosea we we ukosoe uonekane Wa maana sisi tupate hasara tuwe tayari tumeliwa!.nimekudharau kuanzia Leo!
 
Wewe kweli ni mpiga tarumbeta!

Haya hiyo serikali inateteaje maslahi ya wanainchi wakati hakuna transparency kwenye hayo maslahi yenyewe?


Transparency ile ya kupitisha mambo bungeni kwa staili ya kina gairo ama? Maana ndicho ambacho mh huyu ana lilia ingawa wasio na karama ya kusoma between the lines hawawezi kumuelewa.
 
Kama mnadhani Zitto anadanganya, moja ya vipengele alivyoelezea hapo juu document inasema:-
B: in the event that the dispute is not resolved through negotiation within 30 days, the parties may refer the dispute to conciliation in accordance with the UNCITRAL Conciliation Rules. The conciliator will be independent of the parties, and will not be a national of Tanzania, the United Kingdom, Canada or the United States. If a conciliator is not appointed within 14 days of acceptance of a request for conciliation, the President of the Singapore International Arbitration Centre will appoint the conciliator. A conciliator can make proposals to the parties as to how they might resolve any dispute, but cannot make any binding decision. To resolve a dispute through conciliation the parties would have to reach an agreement, recorded in a binding agreement; and
C: Upon issuance of a notice of arbitration commencing the arbitration, the parties shall seek to mutually agree on the arbitral seat or legal place of arbitration. The seat shall be in a jurisdiction which is internationally recognized and experienced in handling complex international commercial arbitration (not being Tanzania, a state which is a member of the East African Community, the UK, Canada or the United States) and is a party to the New York Convention of the Recognition and Enforcement of Foreign Arbitral Awards, 1958.
Maelezo hayo yapo kwenye kipengele cha Dispute Resolution! Mnaona hapo ni namna gani endapo itatokea kushindwa ku-solve any dispute, basi issue itapelekwa mbele in accordance to UNCITRAL Conciliation Rules, na sisi, of course, citizens of arguing parties hawatakuwepo kwenye team!

Sasa kama tunatarajia huko mbele watu wata-resolve issues kwa kuzitangatia maslahi yetu basi tuna safari ndefu!

Kuhusu 16% ya shares zetu kuwa Class B Shares, makubaliano yanasema:-
New OpCo will be owned 84%/16% by a subsidiary of the Acacia Group and a nominee of the GoT respectively. Acacia will hold its shares in New OpCo as Class A shares and the GoT will hold by way of Class B shares.
Haki za Class A and Class B Shareholders zimeelezewa kwenye Shareholders Agreement, lakini Zitto aliposema kwamba hizo shares zetu huwezi kuziweka hata kuwa dhamana ni kutokana na kipengele kinachosema:-
(i) Class B shares may only be issued to, held by or transferred to the GoT shareholder and may not be pledged, charged or otherwise disposed of (whereas the Class A shares are transferable to: (a) a financial institution by way of a pledge to secure bona fide debt; (b) an affiliate (with GoT shareholder consent, not to be unreasonably withheld); or (c) a third party (subject to the GoT shareholder’s right of first refusal and with Government consent, not to be unreasonably withheld or delayed), provided, in each case, the transferee enters into a deed of adherence);

(ii) regardless of the number of Class B shares in issue, the Class B shares will at all times be deemed to represent 16% of the shares holding voting and economic rights in the TMC (being collectively, the Class A shares and the Class B shares);
(iii) a holder of Class B shares will not have any pre-emption rights over any allotment of new Class A shares and its proportionate interest will not be affected by such allotment (whereas a holder of Class A shares has pre-emption rights over any allotment of new Class A shares); and (iv) the holder of Class A shares will elect from amongst the directors appointed by them, a chairman of the board of the TMC (whereas a holder of Class B shares has no such right).
Suala la kwamba lile sharti la Tanzania kumiliki 30% akina Kabudi na Magu wameliuza kwa Wazungu, makubaliano yanasema:-
the GoT will not unilaterally seek to increase its share ownership or economic participation rights in the TMCs;
Kwahiyo hiyo 16% itaendelea kubaki hivyo hivyo! Vipi kuhusu suala la kusafirisha madini nje? Makubaliano haya hapa:-
the TMCs will have the unfettered right to export minerals (including doré and concentrates) until refining (in the case of doré) and smelting (in the case of concentrates) are available in Tanzania and the GoT will provide assistance so all required authorisations and/or waivers be granted to theTMCs so as to facilitate export of doré and concentrates;
Kumbe wanayo unfettered rights ya kusafisrisha madini na makinikia nje ya nchi hadi pale tutakapokuwa na uwezo wa kufanya refining and smelting ndani ya nchi!

Kama ndivyo, kwanini basi tusiwalazimishe hawa Barrick wajenge mtambo wa kuchenjua makinikia hapa hapa Bongo ili wasiendelee kutupiga changa kwa kusafirisha makinikia nje ya nchi?! Makubaliano yanatoa jibu kwa hilo swali, kwamba:-
there will be no obligation on the TMCs to construct beneficiation facilities in country;

Aidha hapa tukumbuke kwamba, JPM alinukuliwa akiongea na Maswahiba zake, including Steven Makigo kwa kusema kwamba, uchenjuaji wa makinikia sio kazi kivile; it's a matter of building a furnace na kuongeza boiling point of so and so, kitu na box! Sasa nadhani ni wakati wa JPM kuitumia kemia yake kuongeza hiyo B.P ya Copper Concentrates ili iyeyuka mapema ili tubaki na dhahabu yetu!

Yaani hapa mtu akihoji PhD ya Mkulu, ndo basi tena yanakukuta ya Ben!!!!!!
 
Mpinzani wa kupinga. Yeye (Zito) awamu ya nne ndiye alikuwa mstari wa mbele kusema kuwa kinana ni mwizi mkuu wa rasilimali za taifa. Kuwa ni jangiri maarufu wa meno ya tembo. Ajabu hivi sasa yeye ndiye mtetezi mkubwa wa Kinana. Hivi huyu binadamu ni binadamu wa aina gani?
Bana ,inamaana anayoandika Zitto ni kweli tupu!?
Maana umeshindwa kabisa kukanusha na badala yake unarukia hoja zingine.

Au ndo nyie mnaompaisha Zitto huku mnaact kama mnampinga!?
 
Nani mwenye akili atawasikiliza watu waliamua kufanya mambo nyeti ya nchi kuwa siri yao?!


Wamefanya siri wapi? Sheria yenyewe inakataa usiri how possible upande mmoja wafanye siri wakati ni makubalano ya pande mbili. Mbona mnachanganyikiwa mapema hivi zikiwa ni mvua tu za rasharasha bado masika yenyewe kuwanyea kisawasawa.
 
Ila Jiwe anamwogopa sana Zitto ingekuwa kaka yangu Mbowe ndio kaongea hayo mbona Christmas ingemkuta Central tena.
 
..halafu majitu haya ndiyo mchana kweupe yanatuma magaidi kwenda kumuua Tundu Lissu.

..Usd 300 million hata watulipe kila mwaka kwa miaka 600 bila riba bado hawawezi kumaliza deni la usd 190 billion tulilotangaziwa na Tume za Prof.Mruma na Prof.Ossoro.

Cc BAK, MTAZAMO
Ile "Proffessorial rubbish" ya Ossoro!!!?
 
Huyu Jiwe yeye binafsi na kwa nafasi yake kama rais, ameshasababisha hasara kubwa kwa nchi. Kwa kiwango cha hizi hasara, italazimu yeye Jiwe na kabila lake la wasukuma na CCM wote kufilisiwa kila kitu ili waweze kulipia.

TUMEPATA MSHAMBA WA KUONNGOZA NCHI
 
Back
Top Bottom