Harambeeta
Senior Member
- Jun 28, 2019
- 198
- 154
Kwa hiyo kuongoza nchi ni kuua watu wanaokosoa na kutaka makosa ya kijinga yasirudiwe!!?
Haya ni maneno yangu ama yako?
Kwa hiyo kuongoza nchi ni kuua watu wanaokosoa na kutaka makosa ya kijinga yasirudiwe!!?
Zawadi gani mkuu?
Doh!! Haya mafumbo nimechemkaa mkuuLa ile barabara ya pwani, kusini au singida. Sijui jina lipi litapendekezwa?
Sijui watu mnashida gani au uvivu wakusoma au mazara ya tuition? Haya nimekutafunia soma hiki kipanda;Zito huo no ujinga kwani kama unge yasema hayo kabla ya hili sekeseke kufika note huku ungepata hasara gani.?
Sasa unaongea sahizi tuta kusaidiaje?
Auwewe unafurahi tukikosea we we ukosoe uonekane Wa maana sisi tupate hasara tuwe tayari tumeliwa!.nimekudharau kuanzia Leo!
Eti huu ndio utawala unaopanda mradi wa Bagamoyo kwa hoja kuwa ni wa kifisadi!!
Sasa haya makubaliano yana tofauti gani na ya mradi wa kujenga bandari ya Bagamayo?
Kwanini tusihisi mmevunja ule mkataba ili na nyinyi mpate nafasi ya kuingia mkataba mwingine wa kifisadi kama huu mlioingia na kampuni ya Barrick?
Kwa makubaliano haya,hii serikali haipaswi kuaminiwa kabisa!!!!
Doh!! Haya mafumbo nimechemkaa mkuu
Ufafanuzi wa nini wakati umeseme how come upande wa pili (serikali) wafanye siri! Ndo nakuambia kama serikali hawajafanya siri, weka taarifa ya serikali hapa! Kama ni mfuatiliaji mzuri wa haya mambo, back 2018 (or 2017 sikumbuki) wakati linatangazwa suala la 50/50, Kabudi alidanganya hadharani kuhusu arrangement ya hiyo 50/50. Tulipoingia website ya Acacia, ndipo tukagundua alichosema Kabudi ni kingine na makubalino yanasema vingine!Ziko taarifa mbili, si Barick walisha weka. Subiri ufafanuzi.
K
Kuna wizara nchi hi nchi inaendeshwa na personalities mjomba, wewe angalia makonda alivyo na power ya kuvuka ukuu wa mkoa, same with kabudi acha kushangaa mjomba, karibu tanzania
Ufafanuzi wa nini wakati umeseme how come upande wa pili (serikali) wafanye siri! Ndo nakuambia kama serikali hawajafanya siri, weka taarifa ya serikali hapa! Kama ni mfuatiliaji mzuri wa haya mambo, back 2018 (or 2017 sikumbuki) wakati linatangazwa suala la 50/50, Kabudi alidanganya hadharani kuhusu arrangement ya hiyo 50/50. Tulipoingia website ya Acacia, ndipo tukagundua alichosema Kabudi ni kingine na makubalino yanasema vingine!
Kwahiyo hoja kwamba, serikali haiwezi kufanya siri kwa sababu ni makubaliano ya pande mbili, wala sio hoja sahihi kwa sababu ndo vile tu serikali hawana namna ya kuwaambia Barrick wasiweke hadharani hizi taarifa lakini wangependa sana zisiwe hadharani ili waje kutudanganya!!
Tufafanulie wewe sasa unayezielewa hizo terminologies za uwekezaji ili tuupate ukweli ambao mh. Zitto ameupotosha.Zitto ametafsiri alichokisoma kwa namna livyoona yeye japo sivyo ilivyo katika uhalisia wake. Msioelewa Kiingereza na/au misamiati/lugha ya uwekezaji katika tasnia ya uziduaji mtachotwa sana na hekaya hizi za akina Zitto.
Lete basi huo ukweli mkuu mioyo yetu itulie maana 'no evidence, no right to speak'.Zitto anapotosha
Mahakama ya umma ina nguvu kuliko Bunge , hata hivyo fahamu kwamba Spika wa bunge ni yule ambaye gharama za matibabu yake ni zaidi bill 12Kwa jambo hili Zitto unataka kutuambia kama bunge mna sauti gani, waonaje basi ukalipeleka bungeni ili serikali iwajibike kwa kuvunja sheria mliyoitunga.
Vijana wa Lumumba wanatia sana huruma humu!!!!Lete basi huo ukweli mkuu mioyo yetu itulie maana 'no evidence, no right to speak'.
Ufafanuzi upi wakati nimeshakumbia huko nyuma Kabudi alishawahi kutoa ufafanunzi na kudanganya?! Msikilize Kabudi hapa: akizungumzia suala la 50/50 litakavyokuwa! Wakati official report inasema 50 ya serikali inatokana na tax, royalties, levies, 16% na other incomes, Kabudi anasema 50% ya serikali itapatikana baada ya vyote hivyo kuondolewa, na basically serikali itakuwa inapata 70% na Acacia 30%!Wewe unafikiri serikali ingefanya siri kitu ambacho kisheria hakiwezi kuwa siri na kinahusisha pande mbili? Ndio maana nimesema kinacho takiwa ni ufafanuzi wa mkataba ni nini kilijiri mpaka ukaonekana kama ulivyo.
Kabudi atakuja kufungwa huko mbeleYote hii ni kwa sababu ya Kabudi na Bosi wake kutafuta namna ya "Kusave face" baada ya kuvuruga mambo matokeo yake wametuingiza katika mkataba wa Sultan Mangungo wa Msovero!
Kama mimiNaamini wapo wana CCM wengine hawafurahii mambo yanayoendelea.Hata hivyo CCM ukiongeza na huyu wa JK ndiyo balaa zaidi.
Ufafanuzi upi wakati nimeshakumbia huko nyuma Kabudi alishawahi kutoa ufafanunzi na kudanganya?! Msikilize Kabudi hapa: akizungumzia suala la 50/50 litakavyokuwa! Wakati official report inasema 50 ya serikali inatokana na tax, royalties, levies, 16% na other incomes, Kabudi anasema 50% ya serikali itapatikana baada ya vyote hivyo kuondolewa, na basically serikali itakuwa inapata 70% na Acacia 30%!
Yaani ndo ufafanuzi kutoka watu kama hao ndio mara kwa mara unasisitiza tusubiri ufafanuzi wakati najua watadanganya tu?!
Duh...Inatisha...Yawezekana mheshimiwa Zitto yuko sawa, hakuna aliyetokea kuyapinga anayosema! Prof Kabudi na kundi lao tuliokuwa tunawaamini wako kimya?!
Zile Noah kweli zilikuwa ndoto za alinacha...