Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Asante sana mh Zzk kwa taarifa iliyo kamilika na ya kuaminika kuliko ya msaka tonge Pascally kutudanganya.
 
Nimetafakari sana,kama haya ni kweli japo kwa 25% basi nchi hii ina laana!!
Mimi naamini ni kweli kwa kiasi kikubwa tu! Kuna wakati nilikuwa nasoma yale makubaliano! Ni karatasi nyingi mno lakini nilipofika kwenye USD 300 Million na ile USD 190 Billion, nikahisi nasoma wrong report, au sijaelewa! Nikashindwa kuendelea hasa kwa kuzingatia pages zenyewe ni nyingi mno!

Ambacho kilinishitusha pamoja na mambo mengine, ni kuona jinsi hiyo USD 300 M ilivyowekewa masharti hadi kuipata, na nikaona kipengele kinachoashiria zile Noah zetu ndiyo bye bye rasmi!!
 
Cc😛ascally
Punguza undunya wako kisa njaa
 
Cc😛ascally Mayalla
Naona leo utalala na viatu shenzy **
 
Huyu Zito,huwa namkubali sana,
Waambie bro!safi sana,hakika wewe haupo TZ kwa bahati mbaya,ni mpango wa Mungu.
Kila siku kwenye TV ya Taifa,wanatupigia kelele!Mara tumetekereza!Mara raisi mzalendo! Kumbe bure kabisa!
 
Kama haya Ni ya Kweli

Naomba kuuliza

JPM vs zzk Nani anatumiwa na mabeberu ?? Na Ni Nani mzalendo ??
 
Madege yatatua mgodini pia makinikia yatasafirishwa kama kawaida.

Sipati picha Kabudi alivyotoa macho baada ya Barrick kutoa hii taarifa iliyofunua mishanga walawala.
 
Ngoja tusubiri tamko la wazee wa chama Dar es salaam watasemaje juu ya hili..
 
Mkuu acha kuongea kwa sauti kubwa.
 
Zitto nakushauri kaa kimya, tuijenge nchi plz, uwe na kumbukumbu jembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…