- Thread starter
- #21
Mkuu KUB anapatikana kwa idadi ya wabunge na idadi ya kura za urais.Ana buy time ya hatima ya wabunge wa ACT huko zanzibar. Kwa trend ambayo naiona mimi, huyu jamaa karata yake iko Zanzibar na Kusini kule. Aikishajihakikisha wabunge wake wanarudi, expect Membe anatangaza kumuunga mkono TL. Zitto hayuko there for presidential expectation, yeye anataka wabunge ndugu yangu. Ruzuku chifu inatafutwa, na expect ACT ikwa KUBU this year, stay tuned.