Uchaguzi 2020 Zitto mbona haongelei “Grand coalition” tena kama zamani?

Uchaguzi 2020 Zitto mbona haongelei “Grand coalition” tena kama zamani?

Atimae Chadema wanaomba poo kwa Zito.
Chadema hivi ni kwanini mnahitaji sana msaada wa Zito wakati mlimlegezea nati za magurudumu ya gari yake ili apate ajali na mwisho mkamfukuza kama mbwa?
 
Nilitegemea baada ya mgombea urais wa JMT Tundu Lissu kupitia CHADEMA kumuunga mkono mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad, ungejitokeza na kupongeza na pengine kushauri Membe naye amuunge mkono mgombea wa CHADEMA, hujafanya hivyo, labda pengine ni mapema mno bado unaangalia upepo au bado kuna mazungumzo yanaendelea.

Kuna tetesi kuwa huenda unausaliti upinzani kwa kulazimisha Membe agombee ili kuzigawa kura za upinzani, hilo sina uhakika, na kuna wengine wanasema bifu lako na CHADEMA bado halijaisha, kuna wengine nao wanasema ACT Wazalendo ni tawi la CCM wamemleta Membe huko kwa lengo maalumu. Hayo yote nakuachia wewe na wasomaji wataamua.

Nia yangu hasa ni kujua wewe binafsi kama kiongozi mkuu wa chama, kwa vile huko nyuma umeonekana kuwa mstari wa mbele kuvishauri vyama vya upinzani kushirikiana au kuungana, unamsimamo gani hasa baada ya jana Membe kusema ‘HATOKI MTU HAPA’.
Atakuja kuongelea tena kwa nguvu zake zoote baada ya kuanza kuzunguka mikoani na kugundua kuwa anahutubia meza na viti tupu.

Maana wanajidanganya kuwa anakubalika yeye na mgombea urais wa chama chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana buy time ya hatima ya wabunge wa ACT huko zanzibar. Kwa trend ambayo naiona mimi, huyu jamaa karata yake iko Zanzibar na Kusini kule. Aikishajihakikisha wabunge wake wanarudi, expect Membe anatangaza kumuunga mkono TL.

Zitto hayuko there for presidential expectation, yeye anataka wabunge ndugu yangu. Ruzuku chifu inatafutwa, na expect ACT ikwa KUBU this year, stay tuned.
Kwahiyo Zitto anachojali ni kujipatia wabunge yeye tu? Kama ndiyo hivyo kila mtu ashinde kwa nguvu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hii lugha unaielewa kweli? Hebu ona "anyways isn't a big deal" hapa sasa ndio umeandika nini?
Wewe ni kilaza sana, ukijitahidi sana basi uliishia form four
That’s common mistake, anyways isn’t a big deal.
 
Membe hata akiendelea kugombea watuwalishamshtukia dili lao na ccm Kama walivyofanya 2015 kwa Lowassa limebuma , Hana tofauti na Mzee was ubwabwa Hashimu Rungwe.
 
Lissu ndio anapaswa kumuunga mkono Membe na si vinginevyo!
Mkuu siasa ni mvuto, sidhani kama hii kauli unamaanisha, ! Maana kwa sasa Lissu tunamuhitaji muno zaidi ya maji. Membe upepo umemgeuka, ajirudi tu amsapoti T A Lissu ili na Chadema wamsapoti Maalim Seif Sharrif.
 
Mmesahau kua Zitto na membe wote ni tiss....

Lkn Lissu alishasema yy sio mjinga chadema sio wajinga na ccm sio wajinga....

Act mpinzani ni Maalim Seif tu
 
Chadema wasipomsapoti Seif itabadilisha nini?!
 
Atimae Chadema wanaomba poo kwa Zito.
Chadema hivi ni kwanini mnahitaji sana msaada wa Zito wakati mlimlegezea nati za magurudumu ya gari yake ili apate ajali na mwisho mkamfukuza kama mbwa?
Siyo kwamba watanzania hawana akili... hawana sera ya lugha - TAL.

Atimae = Hatimaye🤗🤗
 
Mmesahau kua Zitto na membe wote ni tiss....

Lkn Lissu alishasema yy sio mjinga chadema sio wajinga na ccm sio wajinga....

Act mpinzani ni Maalim Seif tu
Seif alibugi sana, alipoingia kwenye tundu la nyoka bila kujua, ona sasa alivyozungukwa na nyoka kujinasua ni ngumu na kwa umri wake nafikiri huu ndio uchaguzi wake wa mwisho.
 
Ana buy time ya hatima ya wabunge wa ACT huko zanzibar. Kwa trend ambayo naiona mimi, huyu jamaa karata yake iko Zanzibar na Kusini kule. Aikishajihakikisha wabunge wake wanarudi, expect Membe anatangaza kumuunga mkono TL.

Zitto hayuko there for presidential expectation, yeye anataka wabunge ndugu yangu. Ruzuku chifu inatafutwa, na expect ACT ikwa KUBU this year, stay tuned.
Kama mna Nia ya dhati na sio ya kimasilahi, ya kutaka hii nchi itawaliwe na upinzani,kwanini mnawazia Sana CDM kuungwa mkono na vyama vingine, na sio CDM kuunga mkono vyama vingine vya upinzani🤔?
 
Back
Top Bottom