Uchaguzi 2020 Zitto mbona haongelei “Grand coalition” tena kama zamani?

Uchaguzi 2020 Zitto mbona haongelei “Grand coalition” tena kama zamani?

Seif alibugi sana, alipoingia kwenye tundu la nyoka bila kujua, ona sasa alivyozungukwa na nyoka kujinasua ni ngumu na kwa umri wake nafikiri huu ndio uchaguzi wake wa mwisho.
Mkuu inaonekana uliumia sana Seif alivyokataa kujiunga na chadema.
 
Mkuu inaonekana uliumia sana Seif alivyokataa kujiunga na chadema.
Sikuumia chochote kwa sababu CHADEMA inajitosheleza bali nilimhurumia yeye kwa kuingizwa chaka na Zitto.
 
Kama mna Nia ya dhati na sio ya kimasilahi, ya kutaka hii nchi itawaliwe na upinzani,kwanini mnawazia Sana CDM kuungwa mkono na vyama vingine, na sio CDM kuunga mkono vyama vingine vya upinzani🤔?
Mto hupeleka maji yake baharini.
 
Ni kweli lakini maeneo kma Dar na Kigoma tunaweza zipoteza kma kusipokua na muungano. Imagine Maalim,Zitto,Mbowe na Lissu jukwaa moja.

Inabidi tu washirikiane majimboni na Kata ni mara 10 lipumba ashinde jimbo kuliko lirudi CCM.

Ushirikiano ni muhimu mnoo wakati huu ukizingatia wagombea wengi wanaenguliwa.
Hakuna sababu ya lipumba kushinda jimbo wakati ni CCM B. Kikubwa wapinzani asili kama Maalim binafsi na CHADEMA wana uwezekano wa kufanya muungano ikiwa katika huo muungano akina Zzk wenzake Mbatia hawamo. Inafikiriwa siasa za Zzk haziaminiki ni siasa za ndimi mbili na hili ni angalizo kwa CDM ndio maana muungano anaosema Zitto hauna wanaomuunga mkono kwa kuwa wanazijua siasa za Zzk zilivyo.
 
Atimae Chadema wanaomba poo kwa Zito.
Chadema hivi ni kwanini mnahitaji sana msaada wa Zito wakati mlimlegezea nati za magurudumu ya gari yake ili apate ajali na mwisho mkamfukuza kama mbwa?
Acha kupotosha umma, Zitto na wenzake walianzisha chama ndani ya chama na mwalimu mwigamba kwa njia za kumpindua Mbowe, Baada ya taarifa za mkakati wao kugundulika zitto akaanza akataka kukipeleka Chama Mahakamani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya Chama, Hivyo zitto wakenda kuanzisha chama chao ambacho zitto amekitia mfukoni chote.
 
Wewe ni shabiki wa Mbowe utakuwa mchaga.
Mbowe umeleta utetezi wa kipuuzi sana.sasa mbona mnalilia tena Zito?
 
Seif alibugi sana, alipoingia kwenye tundu la nyoka bila kujua, ona sasa alivyozungukwa na nyoka kujinasua ni ngumu na kwa umri wake nafikiri huu ndio uchaguzi wake wa mwisho.
Kwa kweli sidhani km alichanga karata zake sawasawa...... Muda utaongea
 
Back
Top Bottom