Mkuu KUB anapatikana kwa idadi ya wabunge na idadi ya kura za urais.Ana buy time ya hatima ya wabunge wa ACT huko zanzibar. Kwa trend ambayo naiona mimi, huyu jamaa karata yake iko Zanzibar na Kusini kule. Aikishajihakikisha wabunge wake wanarudi, expect Membe anatangaza kumuunga mkono TL. Zitto hayuko there for presidential expectation, yeye anataka wabunge ndugu yangu. Ruzuku chifu inatafutwa, na expect ACT ikwa KUBU this year, stay tuned.
Usisahau kura za urais.KUB itaamuliwa na viti maalum kma ilivyokua 2010 na 2015 hakuna shortcut. CUF ilizidiwa na CHADEMA mbunge mmoja tu 2015 ila viti maalum CUF 8 CHADEMA 36 na ndio KUB ikawa imebebwa hivyo.
Unless utokee muujiza Membe amzidi kura Lissu hku bara sioni kivp KUB itaenda ACT
Ana buy time ya hatima ya wabunge wa ACT huko zanzibar. Kwa trend ambayo naiona mimi, huyu jamaa karata yake iko Zanzibar na Kusini kule. Aikishajihakikisha wabunge wake wanarudi, expect Membe anatangaza kumuunga mkono TL. Zitto hayuko there for presidential expectation, yeye anataka wabunge ndugu yangu. Ruzuku chifu inatafutwa, na expect ACT ikwa KUBU this year, stay tuned.
Kwa vigezo vipi.Lisu ndio anapaswa kumuunga mkono Membe na si vinginevyo!
Kura za ubunge zinaamua viti maalum na lazima minimum iwe 5% ya kura zote zitakazopigwa majimboni.Usisahau kura za urais.
Ni kweli lakini maeneo kma Dar na Kigoma tunaweza zipoteza kma kusipokua na muungano. Imagine Maalim,Zitto,Mbowe na Lissu jukwaa moja.Zitto hakutaka kuunga mkono UKAWA 2015 leo aungane na nani?!
Kila team icheze mechi zake hakuna kuungana.
Bogus kweli, analazimisha lugha ambayo haijui.We jamaa nilikuwa nakuona mjanja kumbe hakuna kitu mweupe tu kichwani. "Grand Collision" ndio nini sasa??
Kilaza mkubwa
Kupinga KULA Tena?Waowalikalia kupingapinga kilakitu, wakidhani wapiga kula ni mazwazwaa.
Wanavuna walichokipandaa.
Vigezo vya Membe!Kwa vigezo vipi.
Zitto alisema kigoma ni ngome yake, sasa ataipoteza vipi naye anachama cha ACT?!Ni kweli lakini maeneo kma Dar na Kigoma tunaweza zipoteza kma kusipokua na muungano. Imagine Maalim,Zitto,Mbowe na Lissu jukwaa moja.
Inabidi tu washirikiane majimboni na Kata ni mara 10 lipumba ashinde jimbo kuliko lirudi CCM.
Ushirikiano ni muhimu mnoo wakati huu ukizingatia wagombea wengi wanaenguliwa
Mtavuna mlichopandaaa.Kupinga KULA Tena?????
Wagombea gani wa urais au ubunge.Unanzanje kuongea kuhusu coalition huku hujuhi wagombea kama wapo au wamekatwa ?
tulia muda bado.
Lisu ndio anapaswa kumuunga mkono Membe na si vinginevyo!
Too late to calculate.Ni kweli lakini maeneo kma Dar na Kigoma tunaweza zipoteza kma kusipokua na muungano. Imagine Maalim,Zitto,Mbowe na Lissu jukwaa moja.
Inabidi tu washirikiane majimboni na Kata ni mara 10 lipumba ashinde jimbo kuliko lirudi CCM.
Ushirikiano ni muhimu mnoo wakati huu ukizingatia wagombea wengi wanaenguliwa