Uchaguzi 2020 Zitto mbona haongelei “Grand coalition” tena kama zamani?

Atimae Chadema wanaomba poo kwa Zito.
Chadema hivi ni kwanini mnahitaji sana msaada wa Zito wakati mlimlegezea nati za magurudumu ya gari yake ili apate ajali na mwisho mkamfukuza kama mbwa?
 
Atakuja kuongelea tena kwa nguvu zake zoote baada ya kuanza kuzunguka mikoani na kugundua kuwa anahutubia meza na viti tupu.

Maana wanajidanganya kuwa anakubalika yeye na mgombea urais wa chama chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo Zitto anachojali ni kujipatia wabunge yeye tu? Kama ndiyo hivyo kila mtu ashinde kwa nguvu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hii lugha unaielewa kweli? Hebu ona "anyways isn't a big deal" hapa sasa ndio umeandika nini?
Wewe ni kilaza sana, ukijitahidi sana basi uliishia form four
That’s common mistake, anyways isn’t a big deal.
 
Membe hata akiendelea kugombea watuwalishamshtukia dili lao na ccm Kama walivyofanya 2015 kwa Lowassa limebuma , Hana tofauti na Mzee was ubwabwa Hashimu Rungwe.
 
Lissu ndio anapaswa kumuunga mkono Membe na si vinginevyo!
Mkuu siasa ni mvuto, sidhani kama hii kauli unamaanisha, ! Maana kwa sasa Lissu tunamuhitaji muno zaidi ya maji. Membe upepo umemgeuka, ajirudi tu amsapoti T A Lissu ili na Chadema wamsapoti Maalim Seif Sharrif.
 
Mmesahau kua Zitto na membe wote ni tiss....

Lkn Lissu alishasema yy sio mjinga chadema sio wajinga na ccm sio wajinga....

Act mpinzani ni Maalim Seif tu
 
Chadema wasipomsapoti Seif itabadilisha nini?!
 
Atimae Chadema wanaomba poo kwa Zito.
Chadema hivi ni kwanini mnahitaji sana msaada wa Zito wakati mlimlegezea nati za magurudumu ya gari yake ili apate ajali na mwisho mkamfukuza kama mbwa?
Siyo kwamba watanzania hawana akili... hawana sera ya lugha - TAL.

Atimae = Hatimaye🤗🤗
 
Mmesahau kua Zitto na membe wote ni tiss....

Lkn Lissu alishasema yy sio mjinga chadema sio wajinga na ccm sio wajinga....

Act mpinzani ni Maalim Seif tu
Seif alibugi sana, alipoingia kwenye tundu la nyoka bila kujua, ona sasa alivyozungukwa na nyoka kujinasua ni ngumu na kwa umri wake nafikiri huu ndio uchaguzi wake wa mwisho.
 
Kama mna Nia ya dhati na sio ya kimasilahi, ya kutaka hii nchi itawaliwe na upinzani,kwanini mnawazia Sana CDM kuungwa mkono na vyama vingine, na sio CDM kuunga mkono vyama vingine vya upinzani🤔?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…