Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto ni mdini utakataa lakini uo ndio ukweliUdini umeingaje? Chadema mkishambulia muislam lazima mtie udini? Mbona lema watu hawasemi udini udini udini?
Leta ushahidi maana Mimi narefer utawala wa Kikwete na Samia Zitto kazitumikia kwa kuzibembeleza IlaChadema nao wadini tu
USSR
Udini ni kushambulia mamlaka ndio maana ya udini??Zitto ni mdini utakataa lakini uo ndio ukweli
Alimshambulia Sana Magufuli juu ya utekaji sasa hv utekaji umeisha eti tatizo mnataka kuishi kinafiki huyu jamaa ni mdini
Kama sio mdini atoke amshambulie Samia Kama alivyokuwa anamshambulia Magufuli
Au wakati anaushambulia utawala wa mkapa wakati tunasoma udsm nimesoma naye namjua nje ndani ndio maana nakwambia mdini utaki unaacha haulazimishwi
Hakuzidi wewe,ni takataka inayonukaZitto ni takataka tu anafuata nyayo za mrema na lipumba na cheyo
Udini udini udini Zitto hata atoe hoja gani ndio mwanasiasa mnafiki zaidi Tanzania kwa sasa.
Anafikiria ataweza kusimamisha chama
Niko pale nimekaa act kitakufa Kama nccr, cuf na udp
Me takataka lakini wewe mavi utawala huu washikaji zake January na nape wamefukuzwa yupo kimyaHakuzidi wewe,ni takataka inayonuka
Hakuna ubishi kuwa huenda unakulaga ur own feces,pole sana.https://youtu.be/mwGriQifADE?si=VRMa1CR98FFlwEg-Me takataka lakini wewe mavi utawala huu washikaji wake January na nape wamefukuzwa yupo kimya
Ila walipofukuzwa na Magufuli kelele mpaka Marekani
Huyu jamaa Bora ningekuwa sikusoma naye ningekusikiliza Zitto hajawai kuwa mpinzani na hatokaa awe mpinzani!!
Anaangalia utawala unaompa maslahi yake na wa dini yake ndio anautumikia takataka kabisa
Mzee Mbowe ndio mpinzani?Mangi acha hadaa ,christmass inakaribia.Me takataka lakini wewe mavi utawala huu washikaji wake January na nape wamefukuzwa yupo kimya
Ila walipofukuzwa na Magufuli kelele mpaka Marekani
Huyu jamaa Bora ningekuwa sikusoma naye ningekusikiliza Zitto hajawai kuwa mpinzani na hatokaa awe mpinzani!!
Anaangalia utawala unaompa maslahi yake na wa dini yake ndio anautumikia takataka kabisa
Udini ni kukosoa wa dini nyingine wakikosea Ila kuwapaka mafuta wa dini yako wakikoseaUdini ni kushambulia mamlaka ndio maana ya udini??
Wote matapeli tu mbowe ana kadi ya ccm na Slaa ana kadi ya ccm Zitto anautumikia CCMMzee Mbowe ndio mpinzani?Mangi acha hadaa ,christmass inakaribia.
Kama CUF na ACT tu.Chadema nao wadini tu
USSR
Ila we jamaa anajisahau sana mbona KITIMA kipindi cha magu alikua kimya juu ya uovu uliokuwa ukiendelea,ila kipindi cha samia amekua kinara mzuri wa kukemea.Zitto ni mdini utakataa lakini uo ndio ukweli
Alimshambulia Sana Magufuli juu ya utekaji sasa hv utekaji umeisha eti tatizo mnataka kuishi kinafiki huyu jamaa ni mdini
Kama sio mdini atoke amshambulie Samia Kama alivyokuwa anamshambulia Magufuli
Au wakati anaushambulia utawala wa mkapa wakati tunasoma udsm nimesoma naye namjua nje ndani ndio maana nakwambia mdini utaki unaacha haulazimishwi
Ila we jamaa anajisahau sana mbona KITIMA kipindi cha Magu alikua kimya juu ya uovu uliokuwa ukiendelea,ila kipindi cha samia amekua kinara mzuri wa kukemea.Zitto ni mdini utakataa lakini uo ndio ukweli
Alimshambulia Sana Magufuli juu ya utekaji sasa hv utekaji umeisha eti tatizo mnataka kuishi kinafiki huyu jamaa ni mdini
Kama sio mdini atoke amshambulie Samia Kama alivyokuwa anamshambulia Magufuli
Au wakati anaushambulia utawala wa mkapa wakati tunasoma udsm nimesoma naye namjua nje ndani ndio maana nakwambia mdini utaki unaacha haulazimishwi
Ndo wale wale wanafiki tu yaani Mimi uwa siwezi kukubali kuongozwa na mtu mwenye double standardIla we jamaa anajisahau sana mbona KITIMA kipindi cha magu alikua kimya juu ya uovu uliokuwa ukiendelea,ila kipindi cha samia amekua kinara mzuri wa kukemea.
Sasa hapa mkuu umekua too personal Sana kumu attack na huu ni mtazamo wako lakini ukweli unaweza ukawa sio huo unavyofikilia siasa ina mambo mengi Sana ndani yake mimi na wewe hatujui kila mtu ataunga mkono mtu wake kulingana na anachonufaika nacho kutoka kwake ndio maana kuna usemi husema ukiona mtu Yuko karibu na wewe hujua kuna kitu ananufaika kutoka kwako kwahiyo sioni swala la udini apo kwa sababu sijawahi kumuona kwenye movement yoyote za kidini akizifanya(kwa matukio au kadhia walizopitia watu wa dini yake) kwa hiyo ukisema ana support watu wa dini yake tu si kweli Kwa miaka mingi amekuzwa na kulelewa kisiasa na CDM ambao kiuhalisia kimeshamiri viuongozi wa dini nyingine angekuwa mdini wala asingefungana nao lkn ndio waliomkuza na kumlea kisiasa kwa hui sioni movt za dini ndani yake labda wewe sasa ndio mdini kwa vile anayeongoza nchi sasa ni dini nyingine naona kwako hupendezwi nayo kwahiyo unataka apingwe Kwa kila kitu Kwa vile tu ni dini Fulani hapana mkuu apingwe Kwa uwezo wake na sio Imani yake na hata wanaompinga pia wampinge Kwa uwezo wake lkn si Kwa sababu ni wading Fulani hii haijakaa sawaUdini ni kukosoa wa dini nyingine wakikosea Ila kuwapaka mafuta wa dini yako wakikosea
CAG Assad, kufukuzwa kwa January na nape kwenye utawala wa Magufuli uliona alivyotetewa na Zitto
Lakini leo January na nape wamefukuzwa washikaji wake yupo kimya kisa Samia na yeye dini moja utoto
Sijawai kuwa mdini Mimi nifatilie hapa jukwaani
Ila simamia kweli hata Kama inauma!!