MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hahahahaahaaaaaaa duuuhWakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya .
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?...
Yaani wewe umecheka Kama Mimi daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh![emoji116]Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya .
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?
Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa baraza lake la mawaziri ,na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza
Akili gani mkuuZitto hapo ametumia akili kujibu hilo swali.
Hawaelewi strategy nyuma ya majibu ya Zito. Membe ni smokescreen ya kuwazubaisha CCM! All along candidate ni Lissu!Ila CCM kwanini wanamdhihaki Membe?