Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Acha kuniletea mambo ya mikia hapaHujaona alivyomtoa kamasi Mo kule twitani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuniletea mambo ya mikia hapaHujaona alivyomtoa kamasi Mo kule twitani?
Mbona hawa.... tangaziKama haizoeleki ndio ukwepe kuipokea?
Taarifa ya Msiba haizoeleki mkuu, labda kama hujawahi kufiwa.
Sasa wengine wanaogopa hata kutanganza maradhi sembuse kifo.........sijui kama ikitokea watatutangazia kwa mda ule uleAkizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa anashinda pale hospitali na hakuipokea.
Akapiga tena mara tatu zaidi lakini Zitto hakupokea kwa sababu alijawa na uwoga na hakuwa tayari kupokea habari mbaya kwa wakati huo, anaeleza Zitto.
Baadae kidogo nikapigiwa na mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ndipo kwa mujibu wa sheria ikanibidi nipokee na akanijulisha habari za msiba na tukakubaliana alitangazie taifa kisha nasi kama chama tukatangaza baada ya tangazo la serikali, amemalizia Zitto Kabwe.
Chanzo: Clouds TV
My take: Kiongozi anayeogopa taarifa ya msiba anaweza kuwa amiri jeshi mkuu kweli? Maana 2025 Zitto anatajwa kugombea urais.
Maendeleo hayana vyama!
Kama wa kwako!Natural instincts!!
Kwani weww una umri gani?
Wata - ngaze kwamba?Mbona hawa.... tangazi
Mbona hawa.... tangaziKama haizoeleki ndio ukwepe kuipokea?
Umeme umekatikaWata - ngaze kwamba?
Mikia wapo uwanjani leo bila washangiliaji!Acha kuniletea mambo ya mikia hapa