Zitto ni kiongozi mkuu wa chama, unafkiri Zitto atakapopata taarifa ya msiba anatakiwa afanye nini kwenye chama kama si kusimama kwenye jukwaa akawatangazia wenzake? Ndio mana alisubiri simu ya rais ili akipata taarifa huko kuwe na kauli ya pamoja kiprotocal.,Nani kasema Zitto Kabwe ndio alitakiwa kutangaza kifo?
Hiyo itifaki kila mtu anaijua ndio maana Zitto Kabwe amesema aliipokea hiyo simu kwa mujibu wa sheria maana yake ni kwamba vinginevyo asingepokea angeendelea kuogopa!
Mkuu em niambie wewe huogopi kifo?