Zitto Mshauri OMO kuwa Pragmatist,Acheni Ujinga Pelekeni Majina ya SUK, Kususa Hakusaidii KITU

Waandishi machawa kama nyie ndiyo waliosababisha niache kusoma Magazeti ya Tanzania na kulisikiliza Radio za Tanzania
 
Kwani madhumuni ya kuundwa SUK ilikuwa yapi ?? Kuendeleza uharamia au kuondosha uharamia ??
 
Soma historia.
Nadhani sasa uko sober.

Ukanda wa maili 10 ambao Zanzibar ilikuwa nao sio Tanganyika tu. Ulianzia Tanganyika hadi Somalia, Kismayu. Niliposema Zanzibar itadai, tofauti na madai yako ya Tanganyika tu, nilimaanisha ukanda huo na sijajadili muungano, kama unavyodhania wewe. Jitahidi kujua hostoria ya kweli na siyo ya kutunga ili upate kufaulu darasa la saba..

Zawadini
 
Huko kwingine si wangeanza muda wote kama wana haja napo? Je wakienda kudai huko sasa wataenda kama Zanzibar ama Tanzania?
 
Kwamba wakashiriki haramu wapate kula? Tumbocracy wananchi tushawachoka sana wanasiasa njaa wakati sisi tunateseka miaka na miaka
 
Huko kwingine si wangeanza muda wote kama wana haja napo? Je wakienda kudai huko sasa wataenda kama Zanzibar ama Tanzania?
Mkuu nilishauri awali kuwa kwanza uwe na akili timamu (sober) ili tujadili. Sikuwa natania. Nilimaanisha. Sasa nakukumbusha tulianza hapa:
Mimi nikasema watadai na Mombasa hadi Kismayu. Wewe ukasema:
Itadai Mombasa na Kismayu ina muungano na Kenya?
Mimi nikakushauri uamke kutoka usingizini ili tujadiliane ukiwa na akili kamili (sober minded). Ukaniambia:
Soma historia.
Nikasoma nikaandika niliyisoama kwenye historia. Leo unaniambia:
Huko kwingine si wangeanza muda wote kama wana haja napo? Je wakienda kudai huko sasa wataenda kama Zanzibar ama Tanzania?
Ndo maana nilikueleza kwamba zungumza wakati una akili kamil (sober). Unazungumza na kuuliza wakienda huko wataenda kama Zanzibar au Tanzania? Umeshasahau mara hii kwamba ulisema "muungano ukivunjika Zanzibar itadai eneo la maili 10 ukanda wa bahari". Sasa ikiwa hivyo nisaidie wewe jee wakati huo itakuwa Tanzania au Zanzibar?

Mkuu mimi ni katika wale wa madrassa. Karibu sana jamvini.

Zawadini
 
Hizo 10miles ni nadhalia tu kama za mlima Kilimanjaro kuwa Kenya, ccm ajenda yao ni madaraka hawawezi acha sehemu ianguke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…