Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Eti Mbowe kushtakiwa ni kuvunja haki za binadamu lakin Kesi hiyo hiyo akiwa nayo Sabaya ni kutetea haki za binadamu

Watu walikuwa wanaokotwa kwny Viroba kule Coco beach lakin kina Warioba waliufyata ingekuwa enzi za JK wangekaa kimya?

Wakati wa JK kila kigoda cha Nyerere cha kina Butiku kikikutana wakati wa JK ni kutukana Rais, alipoingia mwendazake uliwaskia? Sasa hivi wamerudi tena 'Studio' kurekodi

Yaan hizo tafsiri zako ukitafsiri kwa Wanasiasa wengine mbona wengi tu watakuwa wadini
 
Gwajima Atapuuzwa Kwa Kujibiwa Hoja Zake;
 
Bro Ni Wewe Mwenyewe Uliyeandika Haya [emoji848][emoji848]
 
Eti Mbowe kushtakiwa ni kuvunja haki za binadamu lakin Kesi hiyo hiyo akiwa nayo Sabaya ni kutetea haki za binadamu
Kuna mambo ambayo dunia, the world at large, inayaona kuwa siyo sawa, hayahitaji ushahidi. Kwenye law yanaitwa Judicial notice! Ya Mbowe yanaangukia kwenye hilo kundi.

Lakini kwa vile wewe ni wale wale CCM huwezi kuelewa kirahisi.....
 
Hakuna alie juu ya sheria
Yeyote anaweza kushtakiwa kwa kosa lolote isipokuwa wale wenye immunity kisheria

Akikutwa na hatia ataadhibiwa na akikutwa hana hatia ataachiwa

This is a very shallow reasoning! Very shallow one. If that is the case, then mwanamke kama huyo hastahili kuwa Rais. Tunarudi kule kule kuwa wanawake bado kushika dola! man is supreme. Magreth Thatcher was handled by Britons as you suggest of Samia? what about Indira Ghandhi? Golda Meir Pascal Mayalla , linda credibility yako!
 
This is a very shallow reasoning! Very shallow one. If that is the case, then mwanamke kama huyo hastahili kuwa Rais. Tunarudi kule kule kuwa wanawake bado kushika dola! male is supreme. Was Magreth Thatcher handled by Britons as you suggest of samia? what about Indira Gandhi? Golda Meir Pascal Mayalla , linda credibility yako!
 
Unahisi nàni atasikilizwa?
 
Lowasa alimpa Bei gani ili amuuzie nafasi ya kugombea urais!?
 
Hakuna alie juu ya sheria
Yeyote anaweza kushtakiwa kwa kosa lolote isipokuwa wale wenye immunity kisheria

Akikutwa na hatia ataadhibiwa na akikutwa hana hatia ataachiwa
Hatuwezi kuelewana. Kwaheri!
 
Trl 1.5 mbona hata kwenye vitabu vya CAG imo. Au unataka ushahidi gani ?!
 
Wakatoliki huwa hawaridhiki rais akiwa muislam, kuanzia viongozi wa dini, vyombo vya habari mpaka waumini, kelele huwa nyingi, mwinyi alikoma, akikaa mwenzao huwasikii, bahati mbaya wakatoliki wa tz uongozi hawawezi, wakiingia ni dhiki, ubabe usio na msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…