Eti Mbowe kushtakiwa ni kuvunja haki za binadamu lakin Kesi hiyo hiyo akiwa nayo Sabaya ni kutetea haki za binadamu
Watu walikuwa wanaokotwa kwny Viroba kule Coco beach lakin kina Warioba waliufyata ingekuwa enzi za JK wangekaa kimya?
Wakati wa JK kila kigoda cha Nyerere cha kina Butiku kikikutana wakati wa JK ni kutukana Rais, alipoingia mwendazake uliwaskia? Sasa hivi wamerudi tena 'Studio' kurekodi
Yaan hizo tafsiri zako ukitafsiri kwa Wanasiasa wengine mbona wengi tu watakuwa wadini

Kama kuna watu wa hovyo Tanzania among politicians ni Zitto! Mdini mkubwa sana, leo kuna Samia, mwislamu mwenzake,, kimya kabisa, haoni matatizo aliyonayo Samia kwa vile ni Muislamu mwenzake. ya kesi ya Mbowe hayaoni kuwa ni kuvunja haki za binadamu wazi wazi... ame mute (ingwa anakwenda kumuona gerezani). We need strong political statement from Zitto kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea nchini!