Pia wakati huo huo wa Jk ndio Mbowe alipewa fursa ya kuendelea biashara zake pale Billicanus bure kwa miaka 10 bila ya kulipa kodi kuanzia 2006-2015 na mchakato wa kubinafsisha jengo kutoka NHC.kwenda kwa Mbowe ulianza wakati huo
Wakati huo huo wa JK ndio Mbowe alihakikishiwa kupewa kandarasi ya kusafirisha vifurushi pale KIA kwa njia ya single source procurement
Pia Semina za Serikali na matangazo ya serikali yakaanza kupelekwa kwny Hotel za Mbowe na Tanzania Daima
Mnapotaja fursa za Zitto alizopewa na JK mkumbuke kuwa kipindi hicho hicho ndio Chadema walimpa Tiketi ya kuwa Mbunge na Mwenyekiti wa PAC
Mnapotaja fursa alizopata Zitto wakati wa JK mkumbuke na fursa walizopata kina Mbowe na Mbatia ikiwemo Ubunge wa kuteuliwa