Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Angalia ujinga ulivyokujaa kichwani!!!! Hata maana ya dola tu huijui!! Chadema ingekuwa ni chama cha kikabila kisingekubalika nchi nzima. !! Peleka ujinga wako lumumba siyo humu.
Nchi mzima gani inakokubalika chadema?..pwani,visiwani!!?...Ina wabunge wangapi?..chama kikuu Cha upinzani ni kipi?...mwisho dola ni nini?
 
Wewe ndiye uliyeanza kuniita mjinga,kamuulize mamaako alipanua kiasi gani siku ya kutungisha mimba yako?
Mimi nilikukwoti wewe, kasome post yako uliyosema "msituone wajinga". Niliikwoti na nikai-bold!.
 
Nchi mzima gani inakokubalika chadema?..pwani,visiwani!!?...Ina wabunge wangapi?..chama kikuu Cha upinzani ni kipi?...mwisho dola ni nini?

Sasa wewe mnyalukoro kama ni hivyo kwanini isiwepo Tume huru ya uchaguzi ili washindwe wenyewe?

Eti wana wanabunge wangapi Kwani hila zilizofanyika uchaguzi ulopita hukuona?

Kuna jamaa mmoja alisikika kupitia vyombo vya habari akiwaonya wasimamizi wa uchaguzi wakurugenzi wa Halmashauri kuwa “nikuteue nikulipe mshahara halafu utangaze mpinzani kishinda” unazani kauli hiyo imeleta matokeo gani na jinsi alivyokuwa akiogopeka?

Wakubwa zako wanafahamu hicho chama jinsi kilivyotishio ila wewe kwa jinsi ulivyo akili yako unawachukulia Poa?!

Kweli Utoto huwa na raha yake sometimes maana wakati watu wazima kwenye familia wanapofikiria chakula na ada itapatikana wapi mtoto ndio kwanza anacheza na kufurahi na kuchukulia mambo kirahisi.
 
Sasa wewe mnyalukoro kama ni hivyo kwanini isiwepo Tume huru ya uchaguzi ili washindwe wenyewe?

Eti wana wanabunge wangapi Kwani hila zilizofanyika uchaguzi ulopita hukuona?

Kuna jamaa mmoja alisikika kupitia vyombo vya habari akiwaonya wasoma Mizo was uchaguzi wakurugenzi wa Halmashauri kuwa “nikuteue nikulipe mshahara halafu utangaze mpinzani kishinda” unazani kauli hiyo imeleta matokeo gani na jinsi alivyokuwa akiogopeka?

Wakubwa zako wanafahamu hicho chama jinsi kilivyotishio ila wewe kwa jinsi ulivyo akili yako unawachukulia Poa?!

Kweli Utoto huwa na raha yake sometimes maana wakati watu wazima kwenye familia wanapofikiria chakula na ada itapatikana wapi mtoto ndio kwanza anacheza na kufurahi na kuchukulia mambo kirahisi.
Hatuwezi kuweka hatima ya nchi mikononi mwa watu wasio na kumbukumbu,Jana waliambiwa huyu fisadi,Leo wanaambiwa wazungushe mikono na wanachekelea
 
Hatuwezi kuweka hatima ya nchi mikononi mwa watu wasio na kumbukumbu,Jana waliambiwa huyu fisadi,Leo wanaambiwa wazungushe mikono na wanachekelea

Sasa eventually ikawaje ?

Mbona tena akapokelewa alikotoka awali?

Sasa si yale yale tu!

Maana kama mngemkataa basi walau mngeonesha msimamo thabiti lakini mwisho wa siku na nyie mmempokea na kumkubali.

Halafu hilo swala halina mashiko kabisa!
 
Lala jamaangu
 
Ukakoti msituone wajinga au ukaniita mjinga!?..upo baa nini,umesahau ulichotenda punde tu!!?
Hiyo post niliyokwoti haikuandikwa na watu wengi bali ilindikwa na mtu mmoja na ndiye ndiye nilyemjibu. Mojawapo ya failure yako katika post hiyo ni kule kutaka kujificha nyuma wa watu wengi fictitious badala ya kutoa mawazo yako binafsi. Hapo ulitaka kugeneralize, ila mimi sikutaka kugenerealize kama ulivyotaka bali nilimjibu mwandishi, ambaye alikuwa wewe.
 
Kwa hiyo CCM sio chama cha siasa , wote ni wale wale tu
Hawawezi kuwa walewale CCM ni kama mkoloni tu kwa sasa sio chama tena...na ukiona mtu anaisisitiza sana hii ujue ni mnufaika, yaani ni CCM.

Anataka watu waseme vyama vyote viko sawa tu hata hao wapinzani watakuwa kama CCM kwa hiyo tuendelee na CCM tu. Upuuzi sana huu!
 
Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau zito Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi Cha njaa au Cha neema.

Zitto anachodhania yeye ni kwamba maisha yasiasa nikukosoa nakusahau kwamba endapo utakosoa bila hoja au bila msimamo unaoonekana hakuna atakayeangaika na wewe. Akina Polepole wamejaribu kukosoa na Wana hoja ila wananchi wamewapuuza kwa sababu wanajua wanatafuta riziki ya matumbo yao na familia zao.

Gwajima alijitutumua akapuuzwa kwa sababu alielekeza hoja zake kwa manufaa yake na taasisi yake. Membe kaibuka juzi watu wamempuuza kwa sababu alipaswa kusema JpM akiwepo ila kusubiri hayupo nikujitaftia umaarufu usio na tija. Akina Mdee hakuna anayewasikiliza maana watu wmeona wazi wamethamini familia zao kuliko Taifa.

Hivyo Zitto hata ukae kimya na usifie kila kitu poa tu, wamekujua wewe unatafuta Nini kwenye siasa. Watakaodumu ni wale watakaobaki na misimamo ya asili.
Ni tatizo la nyani kugeuka binadamu
zito.png
 
Labda kama aliulizwa ndio akajibu hivyo; othwerwise hana impact (due to undumilakuwili).
 
Inaelekea hauishi kwenye hii nchi yaani Gwajima kapuuzwa!!!damn kwa lipi haswa??
 
Mkuu Bite, Beatrice Kamugisha , ZZK is very right, hii ndio kitu kinachoitwa political maturity, kwa maoni yangu ZZK is maturing well kwenye politics kwa kufuata kanuni inayoitwa "managing political divesity" you can't treat a female politician as how you treated male!. JPM was a male politician hivyo unaweza kum criticize utakavyo na hata kumtukana hata kumtusi na ikaonekana ni kawaida, its not a big deal, lakini huwezi kumtukana mwanamke na inaonekana ni kawaida. Mwanaume akidhalilishwa anadhalilika na kunyong'onyea tuu, akipiga vitu analala akiamka its another day, life goes on as if nothing happens. Lakini kumdhalilisha mwanamke, anaumia, anaweza kulia machozi, la ukiangalia macho yenyewe yale alafu uyalize !. No !. Zitto is very right, ukosoaji utaendelea but with dignity kwa lugha za heshima na staha, sio kwa udhalilishaji kubeza au kubagaza, tunaongozwa na Mama na sio Baba, lazima tubadilike twende nae taratibu, tusimkilbize mchaka mchaka, sio mnatuona hata kina sisi, the tone has changed, huyu Mama...basi tuu

Hebu just imagine...

P
Dah! Sad to hear this from you. Ila naheshimu maoni yako.
 
Dah! Sad to hear this from you. Ila naheshimu maoni yako.
Dont be sad, differing views and opinions is very healthy in any society cha muhimu ni kuheshimu mawazo ya wengine, hata kama hukubaliani nayo.
P
 
Angalia ujinga ulivyokujaa kichwani!!!! Hata maana ya dola tu huijui!! Chadema ingekuwa ni chama cha kikabila kisingekubalika nchi nzima. !! Peleka ujinga wako lumumba siyo humu.
Nchi nzima ipi labda huko uchagani
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea,

Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Possible. Hata walioko CCM nao ni wote ni wachumia tumbo?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom