Wanaharakati wa haki za wanawake wamepigania usawa miaka mingi sana , usawa sio mishahara sawa na vyeo tuu hata kukosoana kuwe na usawa, waombe wanawake radhi tafadhari
Mkuu
Kong Chi, hapa umechanganya vitu viwili, equality na equal status or equal treatment, kinachopiganiwa ni equal status na equal rights and treatment lakini sio usawa wa kila kitu. The difference between male and female is not only the sex organs, but also the way we think, men thinks, women feels, ukimtukana tusi la nguoni mwanaume, the impact ya tusi hilo ni tofauti na ukimtukana mwanamke, kwa mwanamke linamuumiza sana, ndio maana hata kisheria, mwanaume ukitukanwa tusi la nguoni, kama hakuna mtu mwingine yeyote aliyesikia ukitukanwa, then huwezi kushitaki popote bila ushahidi, lakini mwanamke akitukanwa tusi la nguoni, hata bila ushahidi wa mtu mwingine yoyote kusikia, akikushitaki, unaadhibiwa. Haki hiyo ya mwanamke kushitaki bila ushahidi, iko limited kwenye kutukanwa matusi ya nguoni yanayohusu matumizi ya kile kiungo cha mwanamke only. Sheria ya kosa hilo inaitwa "crimes against the chastity of a woman".
Hivyo tangu kuumbwa, mwanamke na mwanaume tumeumbwa tofauti na hakuna hata siku moja tutafanana au kuwa sawa kila kitu, never!.
Na ndio maana wenzetu walioendelea wana kitu kinachoitwa "Managing Diversity", japo tumeumbwa the same, but tuko tofauti, jinsi ya kuumanage utofauti wetu.
Tena Tanzania kwa sasa tuna bahati sana, tumempata kiongozi anayejua managing Diversity. Rais Mama Samia, hata kabla hajawa rais, alizungumzia wanawake katika uongozi na kusema mwanamke hata uwe na mamlaka kubwa kiasi gani, lazima ujitambue na ukiwa nyumbani kwa mumeo, nafasi ya mwanamke ni ile ile, lazima uwe chini, muheshimu mume, mpe nafasi yake na wewe nafasi yako.
Na ile siku SSH anaapishwa akasema wazi kabisa, point blank, "Mimi sasa ndiye rais wa JMT, ambaye jinsia yake ni mwanamke".
Hata ikitokea misiba ya ndugu wa karibu, mwanaume utapigiwa simu bila kuulizwa uko wapi na kupewa hizo sad shocking death news, lakini kwa mwanamke, haambiwi direct, na mwanamke akisikia bad news huangusha kilio instantly wakati mwanaume unaweza kuji compose na kulia ukifika nyumbani.
Though men and women are equal, but we are different!. Wanaume tujichukulie jinsi tulivyo na male chauvinism na kuwakubali wanawake jinsi walivyo na women's feminism.
P