Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Rais akiwa Muislam Zitto huwa haongei
Umaarufu wa Zitto Kabwe umepatikana wakati wa Jakaya kutokana na kuongea Jee JK ni Myahudi?
Kashfa za Escrow na kadhia kadhaa alizoibua Wakati wa JK ulikuwa bado upo kijijini?
Hakuna Wakati Zitto alikuwa anakosoa Serikali kama wakati wa JK
Tatizo lako wewe na wenzio wengi mnaofanana kila jambo analozungumza Zitto mnamtazama kwa namna mlivyojiaminisha na hilo sio kosa kisheria ila ni kosa kimantiki
Kuna Wanasiasa wangapi wasio waislam walimkosoa sana JK lakin awamu iliyopita wakaufyata na sasa wamerudi kwny kukosoa na hakuna anaewatazama kwa mtazamo wa kiimani?
@pascoMkuu Bite, Beatrice Kamugisha , ZZK is very right, hii ndio kitu kinachoitwa political maturity, kwa maoni yangu ZZK is maturing well kwenye politics kwa kufuata kanuni inayoitwa "managing political divesity" you can't treat a female politician as how you treated male!. JPM was a male politician hivyo unaweza kum criticize utakavyo na hata kumtukana hata kumtusi na ikaonekana ni kawaida, its not a big deal, lakini huwezi kumtukana mwanamke na inaonekana ni kawaida. Mwanaume akidhalilishwa anadhalilika na kunyong'onyea tuu, akipiga vitu analala akiamka its another day, life goes on as if nothing happens. Lakini kumdhalilisha mwanamke, anaumia, anaweza kulia machozi, la ukiangalia macho yenyewe yale alafu uyalize !. No !. Zitto is very right, ukosoaji utaendelea but with dignity kwa lugha za heshima na staha, sio kwa udhalilishaji kubeza au kubagaza, tunaongozwa na Mama na sio Baba, lazima tubadilike twende nae taratibu, tusimkilbize mchaka mchaka, sio mnatuona hata kina sisi, the tone has changed, huyu Mama...basi tuu
Hebu just imagine...
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya...www.jamiiforums.com
"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Wanabodi, Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku...www.jamiiforums.com
Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!" Swali ni je...www.jamiiforums.com
Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
Wana MMU, Salaam. Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!. Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye...www.jamiiforums.com
P
Hii kauli inawanufaisha sana CCM!!Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Mkuu Bite, Beatrice Kamugisha , ZZK is very right, hii ndio kitu kinachoitwa political maturity, kwa maoni yangu ZZK is maturing well kwenye politics kwa kufuata kanuni inayoitwa "managing political divesity" you can't treat a female politician as how you treated male!. JPM was a male politician hivyo unaweza kum criticize utakavyo na hata kumtukana hata kumtusi na ikaonekana ni kawaida, its not a big deal, lakini huwezi kumtukana mwanamke na inaonekana ni kawaida. Mwanaume akidhalilishwa anadhalilika na kunyong'onyea tuu, akipiga vitu analala akiamka its another day, life goes on as if nothing happens. Lakini kumdhalilisha mwanamke, anaumia, anaweza kulia machozi, la ukiangalia macho yenyewe yale alafu uyalize !. No !. Zitto is very right, ukosoaji utaendelea but with dignity kwa lugha za heshima na staha, sio kwa udhalilishaji kubeza au kubagaza, tunaongozwa na Mama na sio Baba, lazima tubadilike twende nae taratibu, tusimkilbize mchaka mchaka, sio mnatuona hata kina sisi, the tone has changed, huyu Mama...basi tuu
Hebu just imagine...
Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza kipindi hiki, kiukweli huyu ni mwanamke wa kupigiwa mfano, mtanisamehe sina maneno ya Kiswahili ya...www.jamiiforums.com
"Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Wanabodi, Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku...www.jamiiforums.com
Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana na nyingi ya nafasi hizo, kuhodhiwa na wanaume, katika kitu kinachoitwa "mfumo dume!" Swali ni je...www.jamiiforums.com
Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?
Wana MMU, Salaam. Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!. Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye...www.jamiiforums.com
P
Hapa p kafikilia Kama katoka kusighn bahasha ya kaki, et mwanamke!! So wht? Inamaana...... Anyway ngoja niache tu... Bt mkuu Pasco umechemka kwel kwel..This is a very shallow reasoning! Very shallow one. If that is the case, then mwanamke kama huyo hastahili kuwa Rais. Tunarudi kule kule kuwa wanawake bado kushika dola! male is supreme. Was Magreth Thatcher handled by Britons as you suggest of samia? what about Indira Gandhi? Golda Meir Pascal Mayalla , linda credibility yako!
Kwa hiyo CCM sio chama cha siasa , wote ni wale wale tuHii kauli inawanufaisha sana CCM!!
Wenyekumbukumbu hum jf si hyu Beatrice Kamugisha aliaga au m nimechanganya madesa??Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau zito Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi Cha njaa au Cha neema.
Zitto anachodhania yeye ni kwamba maisha yasiasa nikukosoa nakusahau kwamba endapo utakosoa bila hoja au bila msimamo unaoonekana hakuna atakayeangaika na wewe. Akina Polepole wamejaribu kukosoa na Wana hoja ila wananchi wamewapuuza kwa sababu wanajua wanatafuta riziki ya matumbo yao na familia zao.
Gwajima alijitutumua akapuuzwa kwa sababu alielekeza hoja zake kwa manufaa yake na taasisi yake. Membe kaibuka juzi watu wamempuuza kwa sababu alipaswa kusema JpM akiwepo ila kusubiri hayupo nikujitaftia umaarufu usio na tija. Akina Mdee hakuna anayewasikiliza maana watu wmeona wazi wamethamini familia zao kuliko Taifa.
Hivyo Zitto hata ukae kimya na usifie kila kitu poa tu, wamekujua wewe unatafuta Nini kwenye siasa. Watakaodumu ni wale watakaobaki na misimamo ya asili.
Mjinga hukimbilia matusi,ukianza kwa kunitukana,mjinga ni mamaako aliyekubali kukosolewa na govi ukatoka mtoto ambaye ubongo wako una utando wa utoko toka kwenye govi la babaako,na Bila Shaka mamaako atakua na qkuma mbaya,qkuma mbaya hutoa watoto wenye akili mbayaSasa mama yangu anaingiaje kwenye mjadala huu kama huo siyo ujinga wenyewe.
Kwa maneno yako haya ya kutojua la kuandika mtandaoni, inaonyesha kuwa mama yako ni mjinga sana kwani kama aliweza kuzaa mtoto mjinga kama wewe, atakuwa alizalishwa na mwanamme mjinga zaidi ambayo ni kawaida kwa wanawake malaya.
Nani aliye tofauti tumfuate?!Zito ni opportunistic, power monger, agrresive of attainng [power, tribalistic..
Yaani lazima watu wote tufanane mtazamo na ufipa ili tusiwe wachumia tumbo!!?Mchumia tumbo mwingine bado anahaha huku na kule ili wamuone wamtupie fupa akatafune kwa raha zake.
Yaani lazima watu wote tufanane mtazamo na ufipa ili tusiwe wachumia tumbo!!?
Kama hujui J.K ndiye aliye muingiza Zito ktk sisa hizo za ulaghai mpka akafukuzwa Chadema.Ni kweli awamu ya kwanza ya uongozi wa JK Zito alikuwa Moto Sanaa lakini Ile awamu ya pili Mara baada JK kupigwa na Dr. Slaa ktk uchaguzi na maccm Kama kawaida kujitanganza yameshinda. Zito akaanza kuwa jirani na watu wa usalama na utajiri wa kufuru mpka akasaidiwa kuanzisha Chama Cha ACT ili kuidhohofisha CHADEMA.Wewe ndo mdini haswa kwasababu unaangalia kila kitu kwa mizani ya dini ya mtu, tatizo watu wa CHADEMA mmejimilikisha kila kitu. Upinzani ni wenu, akili nyingi ni zenu, viongozi bora ni wenu. Yoyote alietofautiana nanyi ni adui i really wish Prof Safari na Baregu wangekuwa bado wapo CHADEMA maana hili kundi la radicals kama nyie mnaua chama kwa kujiona wajuaji na wapinga kila kitu nguvu ya kuondoa serikali hamna mnabaki kupiga kelele tu kwenye mitandao wakati hamna chochote mnachoweza kufanya. Mwenyekiti wenu mpaka leo yupo ndani karibu mwezi wa nne huu mmebaki kujidai Mungu atatulipia wakati mlikuwa mna mjaza upepo. Mwanasiasa bora ni yule anaejua nguvu zake halisi na uwezo wa kusoma muktadha kung'ang'ania nguvu wakati huna ni upuuzi maana utaendelea kuteseka tu natamani CHADEMA ingekuwa na kina Mnyika wengi kuliko radicals kama nyie msiopima muktadha bali kuendekeza vita msizoziweza.
Zitto umaarufu kapa kipindi cha JK, JK alikuwa mkristo? Zitto kipindi cha Magufuli 2015 mwishoni mpaka 2017 september alikuwa hakosoi sana kama sasa ila alibadilika kwa tukioa la Lissu kupigwa risasi je Magufuli alikuwa Muislam ?
Tuache siasa za majitaka.
Sijui lkn huyu anajulikana subiri wengine nao watajulikanaNani aliye tofauti tumfuate?!
Nilikuwepo,nakumbuka alikua na kitilya,nakumbuka wangwe pia,ungeweza kunijibu tu Bila kunitusi,kwa mtindo huo wa kukosa busara hakuna atakaewapa nchi,nakumbuka pia ile orodha ya aibu(list of shame) ya mwembe yanga,najua wachaga wanafanya tu biashara ya siasa,hawaamini na Wala hawana Nia kwamba watachukua dola,ndiyo maana wachaga na wapemba(wote waabudu fedha) wakauza vyama vyao 2015Acha ujinga wewe kuna ushahidi chungu nzima dhidi ya huyo msaliti uliosababisha afukuzwe Chadema. Alikuja humu December 2012 kuandika uzi wa kuomba samahani na kuahidi ushirikiano na Viongozi na wanachama wa Chadema. Akaulizwa maswali mengi ambayo alishindwa kuyajibu na baadaye kutaka uongozi wa JF ufute uzi ule. Kabla ya KUKURUPUKA na kuonyesha ujinga wako hadharani uliza kwanza.
Huwezi kuwa chadema ukawa na akili lazima uwe nyumbu na matusi kwao ni salamu msamehe bure huyo manka [emoji23][emoji1787]Nilikuwepo,nakumbuka alikua na kitilya,nakumbuka wangwe pia,ungeweza kunijibu tu Bila kunitusi,kwa mtindo huo wa kukosa busara hakuna atakaewapa nchi,nakumbuka pia ile orodha ya aibu(list of shame) ya mwembe yanga,najua wachaga wanafanya tu biashara ya siasa,hawaamini na Wala hawana Nia kwamba watachukua dola,ndiyo maana wachaga na wapemba(wote waabudu fedha) wakauza vyama vyao 2015
Nilikuwepo,nakumbuka alikua na kitilya,nakumbuka wangwe pia,ungeweza kunijibu tu Bila kunitusi,kwa mtindo huo wa kukosa busara hakuna atakaewapa nchi,nakumbuka pia ile orodha ya aibu(list of shame) ya mwembe yanga,najua wachaga wanafanya tu biashara ya siasa,hawaamini na Wala hawana Nia kwamba watachukua dola,ndiyo maana wachaga na wapemba(wote waabudu fedha) wakauza vyama vyao 2015
Dola imeamua nchi itaongozwa na ccm,hatuwezi kuwapa nchi watu wakabila,mtahangaika Sana,hamtoiona ikuluSasa kama unaandika ujinga unataka nirembe? Kukosa busara ni kuja humu kuandika ujinga. Maccm yalishajifia siku nyingi yako ICU yanapumua kwa msaada wa polisiccm na tume FEKI ya uchaguzi. Siku ukitia akili kichwani utaelewa tu kwa sasa endelea kuamini ujinga wako.
Dola imeamua nchi itaongozwa na ccm,hatuwezi kuwapa nchi watu wakabila,mtahangaika Sana,hamtoiona ikulu