Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Hakuna serikali isiyo na mambo ya kukosolewa dunia hii. Ndio maana hata huko walipoendelea katika kila kitu wapinzani wapo na vyama tofauti vinaingia madarakani mara kwa mara, sembuse sisi mafukara wa kutupwa.
Sasa mama utamkosoa nini!?..machinga,safari,royal tour!!!?
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea ,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Safi sana....naunga mkono hoja.
 
Kukosoa sio fashen.Kati y wakosoaji na wasifiaji wanaompenda na kumtakia mema kiongozi wao ni wakosoaji
 

Hawezi kukosoa kwa sababu
Kwanza, chama chake upande wa zanzibar kina ulaji.
Pili, wakosoaji wengi nchi hii huwa na mtazamo wa kidini. Magu tu hakukosolewa na wasio wa dini yake kwa sababu alikuwa intimidative. Samia asingekuwa wa dini moja na zito, si ajabu angemkosoa
 
Kinachokutesa wewe mpaka umepungua kukosoa tunakifahamu......hayo mengine ya kutumia 'woman card' kama hoja ya kupunguza ukosoaji ni usanii wako tu
 
Wakatoliki huwa hawaridhiki rais akiwa muislam,kuanzia viongozi wa dini,vyombo vya habari mpaka waumini,kelele huwa nyingi,mwinyi alikoma,akikaa mwenzao huwasikii,bahati mbaya wakatoliki wa tz uongozi hawawezi,wakiingia ni dhiki,ubabe usio na msingi
Wakatoliki hukusanya na kulipa madeni na aingiapo mwingine hukuta Hazina kumejaa na akitoka sijui huwaiacha vipi Hazina. Kwani kati wakatoliki wote waliongia hulalamika hali ngumu na kuanza kukusanya upya

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Hapo umechemsha ndugu yangu yule ni rais hatuangalii jinsia yake,asitegemee huruma kisa jinsia,kuwa mwanamke haina maana akichemsha tumuangalie tu .your wrong my brother,tatizo la zitto ni mnafiki na mdini period
 
Kwa gwajima hakuna aliyempuuza ndo maana adi leo hii na wewe haujachanja.
 
Zitto ni lipumba mwingine ajae ...ni swala la muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ