Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Zitto: Msitegemee nitakosoa kama kipindi cha Magufuli

Hakuna serikali isiyo na mambo ya kukosolewa dunia hii. Ndio maana hata huko walipoendelea katika kila kitu wapinzani wapo na vyama tofauti vinaingia madarakani mara kwa mara, sembuse sisi mafukara wa kutupwa.
Sasa mama utamkosoa nini!?..machinga,safari,royal tour!!!?
 
Wanasiasa wote ni wachumia matumbo tu , hakuna wa kukutetea ,
Chamsingi ni kufanya kazi kwa bidii na kwa kutumia maarifa aliyokupa Mungu ili uweze kujikwamua kimaisha wewe na familia yako
Safi sana....naunga mkono hoja.
 
Kukosoa sio fashen.Kati y wakosoaji na wasifiaji wanaompenda na kumtakia mema kiongozi wao ni wakosoaji
 
Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau zito Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi Cha njaa au Cha neema.

Zitto anachodhania yeye ni kwamba maisha yasiasa nikukosoa nakusahau kwamba endapo utakosoa bila hoja au bila msimamo unaoonekana hakuna atakayeangaika na wewe. Akina Polepole wamejaribu kukosoa na Wana hoja ila wananchi wamewapuuza kwa sababu wanajua wanatafuta riziki ya matumbo yao na familia zao.

Gwajima alijitutumua akapuuzwa kwa sababu alielekeza hoja zake kwa manufaa yake na taasisi yake. Membe kaibuka juzi watu wamempuuza kwa sababu alipaswa kusema JpM akiwepo ila kusubiri hayupo nikujitaftia umaarufu usio na tija. Akina Mdee hakuna anayewasikiliza maana watu wmeona wazi wamethamini familia zao kuliko Taifa.

Hivyo Zitto hata ukae kimya na usifie kila kitu poa tu, wamekujua wewe unatafuta Nini kwenye siasa. Watakaodumu ni wale watakaobaki na misimamo ya asili.

Hawezi kukosoa kwa sababu
Kwanza, chama chake upande wa zanzibar kina ulaji.
Pili, wakosoaji wengi nchi hii huwa na mtazamo wa kidini. Magu tu hakukosolewa na wasio wa dini yake kwa sababu alikuwa intimidative. Samia asingekuwa wa dini moja na zito, si ajabu angemkosoa
 
Mkuu Bite, Beatrice Kamugisha , ZZK is very right, hii ndio kitu kinachoitwa political maturity, kwa maoni yangu ZZK is maturing well kwenye politics kwa kufuata kanuni inayoitwa "managing political divesity" you can't treat a female politician as how you treated male!. JPM was a male politician hivyo unaweza kum criticize utakavyo na hata kumtukana hata kumtusi na ikaonekana ni kawaida, its not a big deal, lakini huwezi kumtukana mwanamke na inaonekana ni kawaida. Mwanaume akidhalilishwa anadhalilika na kunyong'onyea tuu, akipiga vitu analala akiamka its another day, life goes on as if nothing happens. Lakini kumdhalilisha mwanamke, anaumia, anaweza kulia machozi, la ukiangalia macho yenyewe yale alafu uyalize !. No !. Zitto is very right, ukosoaji utaendelea but with dignity kwa lugha za heshima na staha, sio kwa udhalilishaji kubeza au kubagaza, tunaongozwa na Mama na sio Baba, lazima tubadilike twende nae taratibu, tusimkilbize mchaka mchaka, sio mnatuona hata kina sisi, the tone has changed, huyu Mama...basi tuu

Hebu just imagine...

P
Kinachokutesa wewe mpaka umepungua kukosoa tunakifahamu......hayo mengine ya kutumia 'woman card' kama hoja ya kupunguza ukosoaji ni usanii wako tu
 
Wakatoliki huwa hawaridhiki rais akiwa muislam,kuanzia viongozi wa dini,vyombo vya habari mpaka waumini,kelele huwa nyingi,mwinyi alikoma,akikaa mwenzao huwasikii,bahati mbaya wakatoliki wa tz uongozi hawawezi,wakiingia ni dhiki,ubabe usio na msingi
Wakatoliki hukusanya na kulipa madeni na aingiapo mwingine hukuta Hazina kumejaa na akitoka sijui huwaiacha vipi Hazina. Kwani kati wakatoliki wote waliongia hulalamika hali ngumu na kuanza kukusanya upya

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Bite, Beatrice Kamugisha , ZZK is very right, hii ndio kitu kinachoitwa political maturity, kwa maoni yangu ZZK is maturing well kwenye politics kwa kufuata kanuni inayoitwa "managing political divesity" you can't treat a female politician as how you treated male!. JPM was a male politician hivyo unaweza kum criticize utakavyo na hata kumtukana hata kumtusi na ikaonekana ni kawaida, its not a big deal, lakini huwezi kumtukana mwanamke na inaonekana ni kawaida. Mwanaume akidhalilishwa anadhalilika na kunyong'onyea tuu, akipiga vitu analala akiamka its another day, life goes on as if nothing happens. Lakini kumdhalilisha mwanamke, anaumia, anaweza kulia machozi, la ukiangalia macho yenyewe yale alafu uyalize !. No !. Zitto is very right, ukosoaji utaendelea but with dignity kwa lugha za heshima na staha, sio kwa udhalilishaji kubeza au kubagaza, tunaongozwa na Mama na sio Baba, lazima tubadilike twende nae taratibu, tusimkilbize mchaka mchaka, sio mnatuona hata kina sisi, the tone has changed, huyu Mama...basi tuu

Hebu just imagine...

P
Hapo umechemsha ndugu yangu yule ni rais hatuangalii jinsia yake,asitegemee huruma kisa jinsia,kuwa mwanamke haina maana akichemsha tumuangalie tu .your wrong my brother,tatizo la zitto ni mnafiki na mdini period
 
Huyu mutu ya Kigoma leo imesema tusimtegemee akikikosoa Kama alivyokuwa anafanya awamu ya JPM. Nadhani anachosau zito Ni kwamba hakuna mwananchi anayetaka ukosoaji, wananchi wanachotaka ni kuona kiongozi anamsimamo na anaweza kuwatetea iwe kipindi Cha njaa au Cha neema.

Zitto anachodhania yeye ni kwamba maisha yasiasa nikukosoa nakusahau kwamba endapo utakosoa bila hoja au bila msimamo unaoonekana hakuna atakayeangaika na wewe. Akina Polepole wamejaribu kukosoa na Wana hoja ila wananchi wamewapuuza kwa sababu wanajua wanatafuta riziki ya matumbo yao na familia zao.

Gwajima alijitutumua akapuuzwa kwa sababu alielekeza hoja zake kwa manufaa yake na taasisi yake. Membe kaibuka juzi watu wamempuuza kwa sababu alipaswa kusema JpM akiwepo ila kusubiri hayupo nikujitaftia umaarufu usio na tija. Akina Mdee hakuna anayewasikiliza maana watu wmeona wazi wamethamini familia zao kuliko Taifa.

Hivyo Zitto hata ukae kimya na usifie kila kitu poa tu, wamekujua wewe unatafuta Nini kwenye siasa. Watakaodumu ni wale watakaobaki na misimamo ya asili.
Kwa gwajima hakuna aliyempuuza ndo maana adi leo hii na wewe haujachanja.
 
Juzi tu chama chake kimefanya mkutano wa ndani kikapewa ulinzi na jeshi la polisi, hata simshangai kwa hiyo kauli yake, anajua naye ni sehemu ya watawala kwa hivyo uozo wowote wa utawala uliopo naye na chama chake watakuwa ni sehemu ya uozo huo.

Ameropoka hivyo kwasababu Rais alihudhuria uzinduzi wa Maalim Seif Foundation; ACT na CCM sasa ni vyama rafiki naona hata Zitto hana habari tena na Katiba Mpya ni mwendo wa kuropoka tu, ngoja hii honeymoon yake na watawala iishe akili zitamrudia naona anaringa amempata rafiki kama ilivyokuwa kwa Kikwete.

Wanamdanganya wanaenzi fikra za Seif wakati akiwa hai hawakuzifuata, huku wanamsifu alikuwa anapenda majadiliano wakati hata kukaa nae mezani walimgomea baada ya kumuibia ushindi wake mpaka akaanza kuzurura duniani kote kuitafuta haki yake asiipate.

Zitto anajidanganya kwa kuamini kwake siasa ni mchezo fulani usio na adui au rafiki wa kudumu, anasahau kwa kuamini kwake msemo huo wakati ambao madai mengi ya msingi yanakiukwa kama utawala bora na haki za binadamu kunamuondolea heshima na kutoaminika kwenye jamii ambako kutamgharimu kwenye siasa kwa muda mrefu ujao, yeye anawaza leo tu ndio maana anakuwa na chama tegemezi.
Zitto ni lipumba mwingine ajae ...ni swala la muda.
 
Usaliti ni laana
2969622_images_9.jpeg
 
Back
Top Bottom