Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Katika muda wangu kwenye siasa mtu sahihi kumjibu Kabudi huwa ni Tundu Lissu. Lissu anaijua vizuri historia na amejisomea vya kutosha kwa mawanda makubwa. Kabudi akimwonaga Lissu anaufyata kabisa. Nataraji Lissu will react to Kabudi’s in a manner fits- Zitto Kabwe on Twitter

​
 
Binafsi niliwahi sema kupitia hapa JF kuwa, Lissu ni muumini mzuri wa historia, na kwamba wakati wengi tumesoma historia kama hadithi tu, Lissu anaitumia historia kama kioo cha maisha yake, na hii ni moja ya sababu ya Lissu kuonekana ni mtu mwenye kuona mbali kwani katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia tu.
 
Profesa Kabudi kawa nondo hatari hadi wanasiasa akina Mr Heavy wanahaha tu, hawana hamu!
 
Lissu will react to Kabudi's in a manner fits...

Ina maana gani wakuu? Wale wajuvi wa hii lugha tunaomba tafsiri.
 
Mkiwasahau watu hawa hata mawe yatawashangaa
Atasahaulikaje huku anakula na kulala na kushinda FB & Twitani!? In short, sikuwa nimejua hadi hivi karibuni kwamba ni rasmi sasa upinzani umezindua ofisi zao, tofauti na ilivyokuwa imeaminika kwamba hawana ofisi -- sasa Makao Makuu yao yako ONLINE (mstarini)!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…