Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

Katika muda wangu kwenye siasa mtu sahihi kumjibu Kabudi huwa ni Tundu Lissu. Lissu anaijua vizuri historia na amejisomea vya kutosha kwa mawanda makubwa. Kabudi akimwonaga Lissu anaufyata kabisa. Nataraji Lissu will react to Kabudi’s in a manner fits- Zitto Kabwe on Twitter

😂😂😂
Jaman mwambieni Zitto mlio karibu nae apate account basi ya JF member ili anogeshe jukwaa la kula kimasihara maana saivi hana mambo sana kama ilivo kuwa zaman😂😂

nitafurahi sana kumuona Zitto humu akiwa na avatar feki ili tulonge nae kwa kina kwanini kashindwa KIGOMA na kwa nini ana mkubali sana Tundu Lissu😂😂

kamshikia sana akili ndio maana anamsemea kwenye platform za kijamii😂😂
 
Nchi hii inabidi tuanze kukaguana vyeti vya National Service wasio nacho waende wakapewe values za nchi hii.

Watu wamekuwa washamba sana toka lini mgeni akakupenda hivi hivi? Wameona mali ndio maana visa haviishi

Wazungu wanajidai wanajua kutusema na kutusuta...... hivi wanatuona tumetulia hawatujui eee

Watanzania pekee ndio watu wanaweza kukusema kwa maneno tuu hadi ufe. Kama hawaamini wakawaulize Aston villa yaliyowapata enzi za Samata au wamuulize yule mkandarasi aliyezimiaga kule Dodoma

Sisi ndio wabongo bhana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi beberu ni nini? Ni li meeee?
Mjibu ilee nondo iko wapi
cc: mama D
20201118_230335.jpg
 
Binafsi niliwahi sema kupitia hapa JF kuwa, Lissu ni muumini mzuri wa historia, na kwamba wakati wengi tumesoma historia kama hadithi, Lissu anaitumia historia kama kioo cha maisha yake, na hii ni moja ya sababu ya Lissu kuonekana ni mtu mwenye kuona mbali kwani katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia tu.
Zitto ndio amekwenda lala hivyo, yaani kama ni marehemu ndio kazikwa tayari, sasa anatoa harufu tu kutoka kaburini.
 
Lissu will react to Kabudi's in a manner fits...

Inamaana gani wakuu? Wale wajuvi wa hii lugha tunaomba tafsiri.
Ina maana mbili:

1. Wamemshindwa Profesa Kabudi,

2. Anatakiwa mtu aliyekubuhu katika uongo, uzushi, na kupindua mambo ili aweze kupotosha maelezo ya Profesa huyu hodari wa siasa na sheria, kitu ambacho hata Mr Mzungu mwenyewe anatetemeka hawezi kuthubutu kufanya, kwa sababu ambazo nitazielezea baadaye kidogo.
 
Katika muda wangu kwenye siasa mtu sahihi kumjibu Kabudi huwa ni Tundu Lissu. Lissu anaijua vizuri historia na amejisomea vya kutosha kwa mawanda makubwa. Kabudi akimwonaga Lissu anaufyata kabisa. Nataraji Lissu will react to Kabudi’s in a manner fits- Zitto Kabwe on Twitter

Anapaswa kujibu nini? Kwamba Tanzanian sio dora huru? Kwamba utu na heshima ya watanzania inapotea kwa pesa na misaada? Acha kuwa una post upuuzi. Who is Lissu by the way?
 
Usimkane Tundu kwani hata maandiko yako yanafanana na Tundu, hata maneno yako anafanana na Tundu 😂😂😂
Tofauti yao tu ni kwamba Mr Mzungu yeye ni mwoga kasepa, angalau huyu bado ana ujasiri wa kujitetea kile kichapo na pia anategemea salary slip ili kujikimu kimaisha.
 
Hahahhah Kabwe wewe ni tu ndugu yangu, yaani hutaki tukusahau siyo??? Kalale huko...
 
Yote hii ni stress za kupigwa kwenye uchaguzi,
 
Katika muda wangu kwenye siasa mtu sahihi kumjibu Kabudi huwa ni Tundu Lissu. Lissu anaijua vizuri historia na amejisomea vya kutosha kwa mawanda makubwa. Kabudi akimwonaga Lissu anaufyata kabisa. Nataraji Lissu will react to Kabudi’s in a manner fits- Zitto Kabwe on Twitter

Mungu mbariki Tundu Lissu
 
So what wakiwa online! Mumewateketeza nchini hivyo unataka waende wapi?
 
Back
Top Bottom