Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 544
- 396
Mwandishi: Kwa nini umeamua kuwa na mwanasheria mzungu?Binafsi niliwahi sema kupitia hapa JF kuwa, Lissu ni muumini mzuri wa historia, na kwamba wakati wengi tumesoma historia kama hadithi, Lissu anaitumia historia kama kioo cha maisha yake, na hii ni moja ya sababu ya Lissu kuonekana ni mtu mwenye kuona mbali kwani katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia tu.
Lissu: Mimi siyo wa kwanza...🤣🤣