Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

Zitto: Mtu sahihi wa kumjibu Prof. Kabudi ni Lissu

Chadema bado wanandoto ya kuingia ikulu
Waingie mara ngapi? Aliye ikulu mwenyewe anajua yeye ni mwizi na hana uhalali wa kuwa ikulu.
Ajue anaitwa Rais kwa uchaguzi wa 2015 sababu kusiwe na ombwe la nafasi hiyo. Asipobadilika miaka mitano hafikishi
 
Illiterate eti anawadharau wasomi! Si mpaka usome maandishi yao ndio utoe mamtiki ya kuwadharau, sasa ngumbalu utamdharauje msomi?
Vipi upo? Pole kwa stress ya uchaguzi. Tumewanyoosha karibu sasa tujenge nchi yetu sasa. Na kibaraka Lissu Amsterdam ameshakimbia nchi.
 
Waingie mara ngapi? Aliye ikulu mwenyewe anajua yeye ni mwizi na hana uhalali wa kuwa ikulu.
Ajue anaitwa Rais kwa uchaguzi wa 2015 sababu kusiwe na ombwe la nafasi hiyo. Asipobadilika miaka mitano hafikishi
nani mwenye uhalali wa kuwa ikulu? Nyinyi mnatupotezea muda tu. Haya tuseme huyo aliekua ikulu afutiwe kura za Dar, Mza, Arusha na Zanzibar halafu tuhesabu upya, bwana wakili atashinda? Hashindi na watu wengi hatumpendi.
 
Binafsi niliwahi sema kupitia hapa JF kuwa, Lissu ni muumini mzuri wa historia, na kwamba wakati wengi tumesoma historia kama hadithi, Lissu anaitumia historia kama kioo cha maisha yake, na hii ni moja ya sababu ya Lissu kuonekana ni mtu mwenye kuona mbali kwani katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia tu.
Historia huvunjwa
 
nani mwenye uhalali wa kuwa ikulu? Nyinyi mnatupotezea muda tu. Haya tuseme huyo aliekua ikulu afutiwe kura za Dar, Mza, Arusha na Zanzibar halafu tuhesabu upya, bwana wakili atashinda? Hashindi na watu wengi hatumpendi.
Mr Mzungu hata raia wote wa Tanzania zaidi ya milioni 60 including wanachama hao arobaini na kitu wa Chama cha Demoghasia & Maombolezo, wangeshurutishwa kwa lazima kupiga kura, yeye akiwa peke yake kwenye karatasi ya ballot, ASINGEPIGIWA KURA -- sidhani kama hata yeye angejichagua, maana anavyokupenda kule ughaibuni kwa wafadhili wake!!!
 
Member since 28/10/2020 ww bado mgeni sana

Mwezi wa Saba serikali ilisema Haina Corona

Mwezi wa Tisa wakaimba hela ya kupambana na Corona

Mwezi wa kumi na moja EU wanaulizia hela mliomba ya nn Kati hamna Corona na matumizi yake mlifanyia nn
Alikuwa hajazaliwa huyo.
 
Kwenye hii mada watanzania wazalendo wanatao majibu yenye weredi mkubwa kwa watanzania vibaraka wenye husda na nchi yetu.
 
Diplomatically, I cannot confirm, neither can I deny it. Be the judge yourself because any of your answers is beside the point. The point is, When are we really going to resume INDEFINITE protests???
Huku ndo kuweweseka kwenyewe. Pole sana dawa yake ni kujiruhusu kutulia na kupata muda wa kufikiri na kutafakari. AMEN.
 
mwambie huyo mbunge aulize serikali ambayo ndio ilitoa pesa hizo pesa hazikutolewa na bunge la ulaya anatakiwa aulize serik
Huyu Prof Kabudi anakoendela anataka kufika level ya huyu Prof mwenzake.. Mzee wa " Nafsi imenisutaaa...nimeamua kukaa pembeniii.."
 
Katika muda wangu kwenye siasa mtu sahihi kumjibu Kabudi huwa ni Tundu Lissu. Lissu anaijua vizuri historia na amejisomea vya kutosha kwa mawanda makubwa. Kabudi akimwonaga Lissu anaufyata kabisa. Nataraji Lissu will react to Kabudi’s in a manner fits- Zitto Kabwe on Twitter

Kwa hiyo Lissu ndiye beberu mwenyewe anayeitishia nchi kukosa misaada na mikopo au ndiye kinyago na kibaraka wao?

Mambo mengine ya kijinga sana kuyashabikia na ndio wananchi wanawadharau na kuwanyima japo ubunge.

Kwa akili hizi 2025 TUNDU na Zitto wakigombea japo udiwani hawatapata.

Wapo tayari kuipiga deal nchi ili mradi tu wafurahishe mabwana yao
 
Back
Top Bottom