Zanzibar 2020 Zitto na Maalim Seif, Mkijiunga na Serikali ya Kitaifa huko Zanzibar nyinyi ni wasaliti!

Wazanzibar bila kuchoka wamobilize international community isikie kilio chao.

Waendelee na harakati za kudai haki zao ndani ya nchi kwa kupinga kwa kauli na vitendo vyovyote kuresist dhulma na ukandamizaji wanaofanyiwa. Siyo rahisi, it may take years but they will reach a point sauti ya mwananchi wa Zanzibar siku moja itaheshimika huko.
Udhalimu hustawi pale unapokubaliana nao!
Mkuu tulia kwanza usije kuhukumu.

Umewahi kujiuliza kwa nini Zanzibar watu wako serious na siasa kuliko bara?

Kila kitu Zanzibar kina hesabu. Jambo gani ambalo upinzani Zanzibar haujafanya?

Maandamano, kususa Mara ngapi? Kuuwawa? Kugoma? Jamii kususiana? Kushambuliana? Mateso na hujuma Mara ngapi? Kuteswa na kuumizwa? Miafaka zaidi ya 3?

Hadi kupatikana GNU, in kutokana na muhanga was upinzani Zanzibar.

Kwa asiye jua siasa za Kule in rahisi kuprovoke.

Kwa point ya Zanzibar ilipofikia tulishashauri kitambo sisi wengine bora kuingia tu.

Bado hakuna afuweni kwa CCM kwa kitendo hicho.

Sisi wengine tumeshtuka na kifo cha Bwana Aboubakar gwiji wa sheria na mwandamizi kwenye ACT na nguzo ya upinzani kwenye reforms nyingi.

Wakati mjadala was kuingia au kutoingia GNU hiki kifo in pigo. Yule in miongoni mwa watunzi wa katiba ya Zanzibar.

Kunani tena huko? Huyu akiwa miongoni mwa wawakilishi 4 was ACT Pemba waliopewa ushindi?

Watu wanajiuliza sio coincidence?

Basis tumuombee kwa Mungu.

Zanzibar kuna mengi
 
ACT mkiunga mkono udhalimu basi zile dua na visomo mbalimbali walivyovifanya watu wa Zanzibar dhidi ya madhalimu na nyie vitawarudia.

Achaneni na hii kitu haina afya kwenu na kwa Zanzibar na pia itaipa ahueni serikali ya Jiwe inayopata mashambulizi kutoka kila kona ya dunia juu ya ubinywaji mkubwa wa haki za binadamu!
Kina njia nyingi za kudeal na udhalimu.

Strategies za kudai haki ni nyingi.

LA muhimu washirikishe wanachama wao kuhusu maamuzi yoyote.

Kupimwe faida na hasara kwa kuangalia wakati( time) jueni siasa vizuri, 2015 sio 2020, mazingira yamebadilika.

Weledi wanafahamu kinachoendelea Zanzibar.

Nakwambieni katika watu ambao wanakesha kuomba Maalim Seif na ACT wasiingie GNU basis in CCM wahafidhina na CUF mshirika.

Kuna mambo hamuwezi kungamua.

Siasa ni sayansi.

Wakati huleta mbinu tofauati.
 
Nahisi kuna wanasiasa wa ACT huko Zanzibar kwa sababu ya njaa yao tu wanaona ni heri waingie kwenye hiyo serikali ili "wale" washibishe matumbo yao!

Hao ni wasaliti wakubwa wa wananchi wa Zanzibar

Yuko mmoja aliekua mtangazaji wa BBC na mbunge wa bunge la 11 anaitwa Aly Saleh, anapiga kampeni usiku na mchana akihimiza na kuelezea umuhimu wa chama chake ACT kushiriki na kushiriki maridhiano na hatimae serikali ya umoja. Ujinga kabisa
 
It is sad! But everyone has a price, the important thing is to find out what it is.
 
Kuliko kusaliti wazanzibari, Maalim Seif ni heri astaafu siasa kwa heshima, aandike kitabu cha harakati za kisiasa. Hilo lina maana zaidi kwa Zanzibar na Wazanzibari kuliko kushiriki karamu moja na watesi wa Wazanzibari.

Akiingia humo kwenye hiyo serikali iliyopatikana kwa kumwaga damu za wadio na hatia hiyo itakuwa ni kwa maslahi yake binafsi na genge lake na si kwa faida ya Wazanzibari
Safari ya mapambano ya kuikomboa Zanzibar imepitia madhila mengi.

Kila hatua inatazamwa na kujadiliwa vyema .

ACT kama chama ni forum tu kama ilivyokuwa CUF na kama ikivyokuwa CCM huko nyuma.

Imani iko rohoni. Wananchi ndio wasikilizwe na kuwepo ushauri making juu ya kila uamuzi.

Hata kususa kwa 2015 naamini in ushauri na kina kitu kimeongezeka katika madai ya Zanzibar

Hata hayo mauaji na dhulma za 2020, naamini yameongeza kitu.

Ukiona wameshiriki jua ni kwa manufaa ya wakati.

Tuache muda useme ndio tuje tuhukumu.
 
Yuko mmoja aliekua mtangazaji wa BBC na mbunge wa bunge la 11 anaitwa Aly Saleh, anapiga kampeni usiku na mchana akihimiza na kuelezea umuhimu wa chama chake ACT kushiriki na kushiriki maridhiano na hatimae serikali ya umoja. Ujinga kabisa
Tatizo huijui Zanzibar
 
Kwanza ngoja nikwambie neon, hao unaowaandikia hizi habari NI WANA SIASA, na nadhani unawajua wana siasa! Mfano wa karibu wa wana siasa ni Lissu. Kesha panda ndege yuko Ubelgiji!. Hawa wenzako ni wachumia tumbo! Wanaweza kufanya maamuzi yoyote na wewe usiwe na la KUWAFANYA, sana, utaishia kulalamika humu JF. Wataamua na kutoa maelezo mengi, kiasi cha kuwaaminisha watu kama wewe kuwa uamuzi huo ni kwa faida ya Wazanzibari wote!

Halafu hili suala la watu kuuwa, binafsi sijui kwa nini wapinzani mmnalizungumzia sana na kukazia kuwa Serikali imeua watu wenu! Hivi haya ni kweli au ni kutaka kuleta uchonganishi katika nchi yetu. Mbona hiyo Serikali au for this matter, CCM, hawazungumzii mashabiki na wanachama wao waliouwa sehemu mbalimbali hapa nchini - kabla, wakati na baada ya uchaguzi!? Jamani tuheshimu kila tone la damu ya Mtanzania iliyomwagika - aidha kwa kumwaga au kwa kumwagika yenyewe - wakatt wa kipindi cha uchaguzi. Tuziheshimu hizo damu na zisiwe chanzo cha chokochoko.
 
Zitto Kabwe na Maalim Seif.

Epukeni kwa nguvu zenu zote kujihusisha na serikali zilizojipachika ushindi,angalizo hadi sasa Mataifa yanawaangalia na kusubiri muelekeo wenu,habari za ndani ni kuwa Watawala wanataka muingie ndani ya serikali ili watangazie dunia kuwa hali ni shwari na tofauti zimewekwa kando.

Sasa Mataifa yalioanza kukemea na kumpigia kelele mwizi yataishiwa nguvu na kuwaona nyinyi ACT ni watu wa ajabu sana na watajitenga na mapema ilhali wakijua baada ya miaka mitano mtasulubiwa tena.
CCM wanatafuta huo ushirikiano na nyinyi ili kurahisisha utawala wao wala hawana nia ya dhati na nyinyi hata waape kwa vitabu vyote,ni waongo,wazandiki na kama haitoshi ni wanafiki wa kiwango cha darala la juu kabisa.

Shida ipo wapi ,jana kwenye maziko ya Marehemu Aboubakar amepigwa mtu risasi Zanzibar na sababu bado ni muendelezo wa chuki za uchaguzi,halafu watu hawa wanataka muingie katika serikali,kuingia kwenu ni kuihalalisha haramu ,hakuna cha maridhiano hapa wala hakuna faida itapatikana.mbona tumeishi kipindi cha babu Ali bila ya maridhiano.

Tamaa mbele mauti nyuma hawa CCM na ushindi wao bandia wamenasa vibaya sana waepukeni na muwatenge kwa kila kitu,wameteka ushindi ,sasa waendelee kufaidi matunda ya ushindi wao,kuukubali umakamo ni kuenda kukaa kama kizuka huku uking'ong'wa na kulambwa kisogo.

Umma wa Wazanzibari hautaki muingie katika maridhiano yanaweza kuwepo makubaliano bila ya nyinyi kuingia mkiingia basi mmeusaliti umma.
Hizo siku tano walizokupeni muamuwe warudishieni au wala musiwajibu,umma utawafahamu
 
Zitto Kabwe na Maalim Seif.

Epukeni kwa nguvu zenu zote kujihusisha na serikali zilizojipachika ushindi,angalizo hadi sasa Mataifa yanawaangalia na kusubiri muelekeo wenu,habari za ndani ni kuwa Watawala wanataka muingie ndani ya serikali ili watangazie dunia kuwa hali ni shwari na tofauti zimewekwa kando...
Kitendo cha kupewa siku tano ni amri si hiari, aliyetoa siku tano anakuonesha yeye yuko juu yako na wewe ni mtwana, haikubaliki.
 
Nahisi kuna wanasiasa wa ACT huko Zanzibar kwa sababu ya njaa yao tu wanaona ni heri waingie kwenye hiyo serikali ili "wale" washibishe matumbo yao!

Hao ni wasaliti wakubwa wa wananchi wa Zanzibar
Hii kama ni kweli basi inasikitisha sana, wafuasi wao bado wanazidi kuuliwa na wao wanafikiria matumbo yao tu!!!!
 
Mkuu tulia kwanza usije kuhukumu.

Umewahi kujiuliza kwa nini Zanzibar watu wako serious na siasa kuliko bara?

Kila kitu Zanzibar kina hesabu. Jambo gani ambalo upinzani Zanzibar haujafanya?

Maandamano, kususa Mara ngapi? Kuuwawa? Kugoma? Jamii kususiana? Kushambuliana? Mateso na hujuma Mara ngapi? Kuteswa na kuumizwa? Miafaka zaidi ya 3?

Hadi kupatikana GNU, in kutokana na muhanga was upinzani Zanzibar.

Kwa asiye jua siasa za Kule in rahisi kuprovoke.

Kwa point ya Zanzibar ilipofikia tulishashauri kitambo sisi wengine bora kuingia tu.

Bado hakuna afuweni kwa CCM kwa kitendo hicho.

Sisi wengine tumeshtuka na kifo cha Bwana Aboubakar gwiji wa sheria na mwandamizi kwenye ACT na nguzo ya upinzani kwenye reforms nyingi.

Wakati mjadala was kuingia au kutoingia GNU hiki kifo in pigo. Yule in miongoni mwa watunzi wa katiba ya Zanzibar.

Kunani tena huko? Huyu akiwa miongoni mwa wawakilishi 4 was ACT Pemba waliopewa ushindi?

Watu wanajiuliza sio coincidence?

Basis tumuombee kwa Mungu.

Zanzibar kuna mengi
Moja ya Mambo yale sita iliyodaiwa yaliyotolewa kwenye muungano kisanii .Balozi Sefu Idi muda mchache kabla ya uchaguzi wa 2020 akiwa ikulu DSM na wenzake wa Bara akiwemo KasaimMajaliwa na kukubalika kuwa Raisi wa Zanzibar awe Makamo wa Raisi Muungano kama zamani, isipokuwa ........mtindo wa kupatikana kwake ni tofauti.
Lakini.......Lakini........ Huo utofauti ni vipi atachaguliwa ? hiyo ndiyo mbinde.
Ccm wanàtaka kubadili katiba zote 2 kuruhusu Makamo wa raisi Jamuhuri ya muungano awe yeye ndiyo raisi wa Zanzibar.

Wazanzibari hawatakuwa tena na nafasi ya kuchagua raisi wao peke yao.Lengo ni kuondoa uwezekano wa chama tofauti kutawala Bara au Zanzibar. Kwa maana hiyo safari ya kuifanya Tanzania iwe na serikali moja inakaribia kufika bandarin.
ACT wakiingia GNU watatoa nafasi ya kufanywa uovu huu na wao wakiwemo on board. Kwani hawana meno. Tume hii hii ndiyo itatumika kuendesha kura ya maoni kuruhusu badiliko hilo la katiba, hata kama Wazanzibari wote wasipokwenda kupiga kura, au wakienda kupiga kira ya HAPANA lengo lao ni kuipitiisha na kufanya yao.

Lakini endapo ACT hawakushiriki GNU ,hapo ccm watabeba dhima hiyo pekeyao. Na kufanya dhambi hiyo ya kuisaliti Zanzibar iwe yao peke yao. Historia itaandika tukio hilo kama ilivyoandika huko nyuma kwa ASP na Salmini kukubali kuachia Umakamo wa Raisi wa Muungano eti kisingizio amkomoeaalim Seif.
 
Viongozi wa Zanzibar (CCM) wako short sighted, wanaangalia matumbo yao badala ya mustakbali wa nchi yao ya Zanzibar. Tanganyika mdogomdogo inachukua measures za kuifanya Zanzibar kama mkoa, wakija kustuka kuna defacto serikali moja na Zanzibar kama kimkoa "maalum"
 
Kwako ndugu Zitto
Kwako ndugu Maalim

Wazanzibari wameona!
Afrika imeona!
Dunia Imeona!

Dhulma ya kutisha waliyofanyiwa Wazanzibari, torture, mauaji, uporaji wa dhahiri haki ya wazanzibari kuchagua viongozi wao.

Halafu leo hii kwa sababu ya vyeovyeo na maslahi yatokanayo na vyeo hivyo nasikia mnafikiria kujiunga kwenye meza ya waliofanya udhalimu?

Ndugu Zitto, Dunia ikisikia itawaona nyie ni Wasaliti!. Heshima ya Maalimu itaporomoka kama barafu kiangazi.

Kujiunga kwenye meza ya udhalimu maana yake mmekubaliana na udhalimu huo, na mibarua yote mliyoandika kwenye mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu haina maana yoyote. Na kibaya zaidi mtawapa ujasiri watawala dhalimu kufanya udhalimu wao tena na tena kwa staili ileile kwa sababu wanajua at the end of the day watawapoza kwa fedha na vijimadaraka madaraka!

I know it, I know at one point or another watataka kumitigate athari za udhalimu wao kupitia fedha!. Wanajua individually mna hali ngumu ya kifedha, watakuja kwa kuweka mpunga mezani mkae atleast mkae kimya. Sasa Fedha si kila kitu, Judas Escariot alikuja kulijua hili wakati keshamsaliti Yesu!

Zitto, ACT Mkijiunga na Serikali ya Zanzibar ile tag ya usaliti uliyowekwa haitofutika kamwe, na wananchi hawatokupa heshima ambayo kwa kweli kutokana na kazi yako nzuri katika siasa unaideserve!

Maalim Ukijiunga na hiyo serikali, Heshima yako ya miaka zaidi ya 35 ya kuipigania Zanzibar itafutika, na utaonekana kuwa zile dhana za kuwa wewe ni mtu wa CCM ni kweli na Ukifanya hivyo zile ndoto za kuikomboa Zanzibar zitapotea. Ni heri ustaafu, uwaachie vijana waendeleze harakati kuliko kula haramu

Najua, Masheikh, Wastasfu wazito, Watu wakubwa kedekede wanakuja kwenu, au kukupigiani simu ili mlainike, hao ni wanafiki, walikuwa wapi wakati kuna uharamia wa waziwazi.

Pia najua kuna wanasiasa pengine wako blackmailed kuwa ni lazima wawe onboard, Nakuelezeni ni heri ACT ife kuliko kukubali kuendorse dhulma, Mkikubaliana na dhulma kwa sababu ya vijipesapesa hivi na hofu ya mtaishije basi ni heri Tubaki na chama kimoja nchini au tutawaliwe kifalme, otherwise Msigeuke Wasaliti!

Mkiingia kwenye serikali hiyo ni kwa ajili ya matumbo yenu tu na si kwa ajili ya watu wa Zanzibar.
Well said
 
We utakuwa hutakii taifa litulie wewe.
Wenzako wakila cheo unaona donge gani??
 
Back
Top Bottom