Zanzibar 2020 Zitto na Maalim Seif, Mkijiunga na Serikali ya Kitaifa huko Zanzibar nyinyi ni wasaliti!

Siasa za ZANZIBAR ziko "complicated" na tofauti sana na za nchi NYINGINEZO...

Wala sitoshangaa kwa MAALIM kusimamia LOLOTE awezalo....

Kwanza UMRI UNAMTUPA......

Uchaguzi UJAO atakuwa na miaka 83 panapo UZIMA.......

Je kizazi cha kina Jussa na wengineo WASUBURI TU hadi hapo ATAKAPOSHINDA Urais?!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ‘†πŸ‘†

HAKIKA huko ni KUBET huku UMEFUNGA MACHO.....
 
hili kongwa la unyonyaji na unyanyasaji mpaka lini ??
Sidhani kama Nguruvi-tatu atakuelewa kuwa Zanzibar ina nyonywa, ana ushahidi tena upo hapa JF labda kama uzi uoh umefungwa. Kwa mujibu wake Zanzibar inanyonya upande mwingine wa muungano! Ana hoja zinaeleweka!
 

Na kama Maalim Seif hatajiunga na serikali ya Zenj yaani achukue nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, basi siyo mzalendo! Wasuse kama walivyosusa kipindi cha awamu ya Dr Shein! Let them abscond and remain at home for the entire five year period and continue to flip Zenj burger(maandazi)!
 
Maalim Seif, heshima yako Mkuu. Please, kindly stop this nonsense. Waache wezi waendelee na Serikali yao. Hakuna kujiunga nao. Mind you, watu wamekufa na wengine kupata vilema vya kudumu. Ole wako uwasaliti. Wazanzibari watakuua kabla CCM haijakuua.
 
Haya tumekuskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…