Zitto na Nondo wanaenda speed sana kupush agenda za Kigoma

Zitto na Nondo wanaenda speed sana kupush agenda za Kigoma

Dawa ya ubaguzi wa kijinga kama huu ni kuanzisha agenda ya kujitenga kwa mkoa wa Kigoma kutoka kwenye Jamuhuri ya Muungano na kutengeneze nchi inayojitegemea kama zilivyo Rwanda na Burundi. Kigoma ina eneo kubwa kuliko hizo nchi ndogo hata zikiiunganishwa, Kigoma ina lugha na utamaduni wake,na watu wapo wa kutosha, kinachotakiwa ni kujipanga sio kivyama tena, ni kufanya kama Orange free state ya Nigeria, Polosario na Rohingya, Jimbo la Delta n k ...ili wanaojisikia watanzania sana kuliko wengine waweze kujinafasi zaidi...Hakuna namna!!.
Mkitaka jitengeni ila ukweli nyie ni WAKIMBIZI
 
Mkitaka jitengeni ila ukweli nyie ni WAKIMBIZI
Uamuzi wa kupokea wakimbizi kutoka Burundi, Rwanda na Congo haukuwahi kuamuliwa na wenyeji wa Kigoma ambao ni Abhaha, ni uamuzi wa Serikali ya JMT ikishirikiana na jumuia ya kimataifa na hasa kwa Tanzania kutimiza wajibu wake kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa, iko hivyo kote Duniani na ndio sababu Kigoma imesheheni Makambi ya wakimbizi....Kuwaita wenyeji wa Kigoma kuwa ni wakimbizi wakati wakimbizi wenyewe wakiwa kwenye Makambi katika wilaya zote za mkoa wa Kigoma, kunaashiria mambo yafuatayo, ushabiki tu wa kisiasa, chuki Binafsi tu, kutoelimika na zaidi sana mtindo wa akili ... Ambapo wewe kwenye kundi hili unaingia bila kupingwa.
 
Uamuzi wa kupokea wakimbizi kutoka Burundi, Rwanda na Congo haukuwahi kuamuliwa na wenyeji wa Kigoma ambao ni Abhaha, ni uamuzi wa Serikali ya JMT ikishirikiana na jumuia ya kimataifa na hasa kwa Tanzania kutimiza wajibu wake kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa, iko hivyo kote Duniani na ndio sababu Kigoma imesheheni Makambi ya wakimbizi....Kuwaita wenyeji wa Kigoma kuwa ni wakimbizi wakati wakimbizi wenyewe wakiwa kwenye Makamba katika wilaya zote za mkoa wa Kigoma, kunaashiria mambo yafuatayo, ushabiki tu wa kisiasa, chuki Binafsi tu, kutoelimika na zaidi sana mtindo wa akili ... Ambapo wewe kwenye kundi hili unaingia bila kupingwa.
Sasa unamtishia nani kujitoa? Ndio maana hampati barabara tunaogopa kuwahudumia raia wa kigeni wakati wazawa wa TZ wanateseka.
 
Sasa unamtishia nani kujitoa? Ndio maana hampati barabara tunaogopa kuwahudumia raia wa kigeni wakati wazawa wa TZ wanateseka.
Sikutishi ila natahadharisha kuwepo kwa mwelekeo huo siku za usoni, kumbuka kabla ya uhuru Kigoma ilikuwa na utawala wake.
 
Sikutishi ila natahadharisha kuwepo kwa mwelekeo huo siku za usoni, kumbuka kabla ya uhuru Kigoma ilikuwa na utawala wake.
Kigoma inaisaidia nn TZ zaidi ya hasara ya kukuleeni WAKIMBIZI? Acha vitisho vya kitoto. Mkitaka jitoeni na barabara hatuwezi waletea mpaka tumehakikisha mikoa yote imepata barabara za uhakika
 
Kigoma inaisaidia nn TZ zaidi ya hasara ya kukuleeni WAKIMBIZI? Acha vitisho vya kitoto. Mkitaka jitoeni na barabara hatuwezi waletea mpaka tumehakikisha mikoa yote imepata barabara za uhakika
Utakuwa unapumuliwa kisogoni si bure
 
Zitto hakuanzisha issue hiyo jana. Alikuwa anawajibu wale wapuuzi wachache walioanza kupiga ramli chonganishi eti kwamba Dr. Mpango ana asili ya Burundi na kwamba eti aliwahi kuwa mkimbizi. Yaani tweet ya mtu mmoja ikawa ndio “chanzo cha taarifa”

Vyombo vya dola vipo na vilikuwa kazini kabla hata Dr. Mpango hajawa nominated. Msidhani UVP ni kama kikao cha sendoff ambapo mwenyekiti anakuwa picked tu in a minute
Mpango ni Mrundi ushahidi usio na shaka upo,
Bado unawaamini MaCCM haya yapo kwa fursa tu. Yanayobadilika kama bendera inayofuata upepo.
 
Kigoma imejaa wakimbizii amna haja ya kuwajengea ata barabara warudi kwao wote .au tuwapige mabomu wote
Ona takataka hii.
Hili bao bora baba ako angepiga puli kuliko kuzaa poyoyo kama wewe
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnatutia kelele hapa. Kigoma yenyewe haina lolote wakimbizi tupu. Rudini kwenu burundi
Kigoma haikuhitaji wewe kuwepo kwake.
Ni dhahiri wewe utakuwa na shida katika moja ya taasisi zako kichwani,

Sikutegemea kwamba ipo siku haliho ibhiyima bilokaza kusalilaubhulandage meiki kihugo.

Histori ya kigoma kwa tz ni kubwa mnoo na nikuhakikishie tuu kuendelea kwa kigoma hakupo mikononi mwako.

Ninauhakika bila kigoma hata hiyo akili ndogo tuu uliyonayo inaasisiwa kutoka kigoma. Ndio maana kwa miaka nenda rudi kigoma ni kisima cha maarifa kwa tz hii.

Ukitaka kuamini hili

Tafuta historia ya ukombozi na ujengaji wa nchi hii
Fuatilia viuongozi wako woooooooote uone anza na hao wa juu yako
 
Mpango kazaliwa kulelewa na kukulia na kusomea kwao Burundi. Ndugu zake wapo Burundi, makaburi ya kwao yapo Burundi. Uraia wa Tanzania usimfanye awe mtumwa. Mkataa kwao mtumwa.
🤣🤣🤣🤣🤣 story za kwenye vijiwe vya kahawa hizi
 
🤣🤣🤣🤣🤣 story za kwenye vijiwe vya kahawa hizi
Acha kujishusha mkuu, usibishe tu kwa kua na wewe ni wale wale.
Mpango aliomba ukimbizi Tanzania akapewa na akaomba uraia akapewe, tunaongea haya tuna mafaili yake UHAMIAJI. sina shida nae, sasa nyie Wapambe nuksi mnamsemea ili iweje,
Mwacheni mwenye abishe tuiweke mambo hapa.
 
Mwacheni mwenye abishe tuiweke mambo hapa.
Dr. Mpango hana time ya kuja kubishana na watu kama wewe. Wewe kaa na mafile yako kwenye ofisi ya uhamiaji iliyopo kwenu.

Nchi haichagui VP kienyeji kama mnavyofikiria
 
Waache ujinga Wa kuita wanakigoma ni warundi

Pumbavu
Waambie waelewe. Hata mimi huwa nasingiziwa eti mrundi wakati nimezaliwa Kaseke, nikakulia Muyovosi na Ilagala kando kando kabisa ya mto Malagarasi
 
Kigoma haikuhitaji wewe kuwepo kwake.
Ni dhahiri wewe utakuwa na shida katika moja ya taasisi zako kichwani,

Sikutegemea kwamba ipo siku haliho ibhiyima bilokaza kusalilaubhulandage meiki kihugo.

Histori ya kigoma kwa tz ni kubwa mnoo na nikuhakikishie tuu kuendelea kwa kigoma hakupo mikononi mwako.

Ninauhakika bila kigoma hata hiyo akili ndogo tuu uliyonayo inaasisiwa kutoka kigoma. Ndio maana kwa miaka nenda rudi kigoma ni kisima cha maarifa kwa tz hii.

Ukitaka kuamini hili

Tafuta historia ya ukombozi na ujengaji wa nchi hii
Fuatilia viuongozi wako woooooooote uone anza na hao wa juu yako
Ntibazonkiza acha ubishi
 
Zitto hakuanzisha issue hiyo jana. Alikuwa anawajibu wale wapuuzi wachache walioanza kupiga ramli chonganishi eti kwamba Dr. Mpango ana asili ya Burundi na kwamba eti aliwahi kuwa mkimbizi. Yaani tweet ya mtu mmoja ikawa ndio “chanzo cha taarifa”

Vyombo vya dola vipo na vilikuwa kazini kabla hata Dr. Mpango hajawa nominated. Msidhani UVP ni kama kikao cha sendoff ambapo mwenyekiti anakuwa picked tu in a minute
Kwani Zitto ni msemaji wa VP? Au ni kujikomba aonekane anapigania mkoa. VP ni mtu wa kitaifa na hatakiwi kujibiwa na mtu ambaye ni mkereketwa tu bila nafasi ya kiserikali.
 
Kgm 20% ya wa kazi ni Warundi. Tusipende kupinga kila kitu. Wana kuja kufanya vibarua vya mashambani. Afu hawarudi kwao.

Kgm kuingia na kutoka ni Lazima uwe na Kitambukisho lasivyo utabaki getini na Ma Afisa Uhamiaji uwasaidie kuangalia magari.
 
Back
Top Bottom