Mkitaka jitengeni ila ukweli nyie ni WAKIMBIZIDawa ya ubaguzi wa kijinga kama huu ni kuanzisha agenda ya kujitenga kwa mkoa wa Kigoma kutoka kwenye Jamuhuri ya Muungano na kutengeneze nchi inayojitegemea kama zilivyo Rwanda na Burundi. Kigoma ina eneo kubwa kuliko hizo nchi ndogo hata zikiiunganishwa, Kigoma ina lugha na utamaduni wake,na watu wapo wa kutosha, kinachotakiwa ni kujipanga sio kivyama tena, ni kufanya kama Orange free state ya Nigeria, Polosario na Rohingya, Jimbo la Delta n k ...ili wanaojisikia watanzania sana kuliko wengine waweze kujinafasi zaidi...Hakuna namna!!.
Uamuzi wa kupokea wakimbizi kutoka Burundi, Rwanda na Congo haukuwahi kuamuliwa na wenyeji wa Kigoma ambao ni Abhaha, ni uamuzi wa Serikali ya JMT ikishirikiana na jumuia ya kimataifa na hasa kwa Tanzania kutimiza wajibu wake kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa, iko hivyo kote Duniani na ndio sababu Kigoma imesheheni Makambi ya wakimbizi....Kuwaita wenyeji wa Kigoma kuwa ni wakimbizi wakati wakimbizi wenyewe wakiwa kwenye Makambi katika wilaya zote za mkoa wa Kigoma, kunaashiria mambo yafuatayo, ushabiki tu wa kisiasa, chuki Binafsi tu, kutoelimika na zaidi sana mtindo wa akili ... Ambapo wewe kwenye kundi hili unaingia bila kupingwa.Mkitaka jitengeni ila ukweli nyie ni WAKIMBIZI
Sasa unamtishia nani kujitoa? Ndio maana hampati barabara tunaogopa kuwahudumia raia wa kigeni wakati wazawa wa TZ wanateseka.Uamuzi wa kupokea wakimbizi kutoka Burundi, Rwanda na Congo haukuwahi kuamuliwa na wenyeji wa Kigoma ambao ni Abhaha, ni uamuzi wa Serikali ya JMT ikishirikiana na jumuia ya kimataifa na hasa kwa Tanzania kutimiza wajibu wake kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa, iko hivyo kote Duniani na ndio sababu Kigoma imesheheni Makambi ya wakimbizi....Kuwaita wenyeji wa Kigoma kuwa ni wakimbizi wakati wakimbizi wenyewe wakiwa kwenye Makamba katika wilaya zote za mkoa wa Kigoma, kunaashiria mambo yafuatayo, ushabiki tu wa kisiasa, chuki Binafsi tu, kutoelimika na zaidi sana mtindo wa akili ... Ambapo wewe kwenye kundi hili unaingia bila kupingwa.
Sikutishi ila natahadharisha kuwepo kwa mwelekeo huo siku za usoni, kumbuka kabla ya uhuru Kigoma ilikuwa na utawala wake.Sasa unamtishia nani kujitoa? Ndio maana hampati barabara tunaogopa kuwahudumia raia wa kigeni wakati wazawa wa TZ wanateseka.
Kigoma inaisaidia nn TZ zaidi ya hasara ya kukuleeni WAKIMBIZI? Acha vitisho vya kitoto. Mkitaka jitoeni na barabara hatuwezi waletea mpaka tumehakikisha mikoa yote imepata barabara za uhakikaSikutishi ila natahadharisha kuwepo kwa mwelekeo huo siku za usoni, kumbuka kabla ya uhuru Kigoma ilikuwa na utawala wake.
Utakuwa unapumuliwa kisogoni si bureKigoma inaisaidia nn TZ zaidi ya hasara ya kukuleeni WAKIMBIZI? Acha vitisho vya kitoto. Mkitaka jitoeni na barabara hatuwezi waletea mpaka tumehakikisha mikoa yote imepata barabara za uhakika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnatutia kelele hapa. Kigoma yenyewe haina lolote wakimbizi tupu. Rudini kwenu burundiUtakuwa unapumuliwa kisogoni si bure
Mpango ni Mrundi ushahidi usio na shaka upo,Zitto hakuanzisha issue hiyo jana. Alikuwa anawajibu wale wapuuzi wachache walioanza kupiga ramli chonganishi eti kwamba Dr. Mpango ana asili ya Burundi na kwamba eti aliwahi kuwa mkimbizi. Yaani tweet ya mtu mmoja ikawa ndio “chanzo cha taarifa”
Vyombo vya dola vipo na vilikuwa kazini kabla hata Dr. Mpango hajawa nominated. Msidhani UVP ni kama kikao cha sendoff ambapo mwenyekiti anakuwa picked tu in a minute
Ushahidi usio na shaka ni upi huo? Acheni mizaha kwenye mambo nyetiMpango ni Mrundi ushahidi usio na shaka upo..
Ona takataka hii.Kigoma imejaa wakimbizii amna haja ya kuwajengea ata barabara warudi kwao wote .au tuwapige mabomu wote
Kigoma haikuhitaji wewe kuwepo kwake.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnatutia kelele hapa. Kigoma yenyewe haina lolote wakimbizi tupu. Rudini kwenu burundi
Mpango kazaliwa kulelewa na kukulia na kusomea kwao Burundi. Ndugu zake wapo Burundi, makaburi ya kwao yapo Burundi. Uraia wa Tanzania usimfanye awe mtumwa. Mkataa kwao mtumwa.Ushahidi usio na shaka ni upi huo? Acheni mizaha kwenye mambo nyeti
Kama m*ma ako alivyo shindwa kuku kojoa baada ya bao lako kuingiaOna takataka hii.
Hili bao bora baba ako angepiga puli kuliko kuzaa poyoyo kama wewe
🤣🤣🤣🤣🤣 story za kwenye vijiwe vya kahawa hiziMpango kazaliwa kulelewa na kukulia na kusomea kwao Burundi. Ndugu zake wapo Burundi, makaburi ya kwao yapo Burundi. Uraia wa Tanzania usimfanye awe mtumwa. Mkataa kwao mtumwa.
Acha kujishusha mkuu, usibishe tu kwa kua na wewe ni wale wale.🤣🤣🤣🤣🤣 story za kwenye vijiwe vya kahawa hizi
Dr. Mpango hana time ya kuja kubishana na watu kama wewe. Wewe kaa na mafile yako kwenye ofisi ya uhamiaji iliyopo kwenu.Mwacheni mwenye abishe tuiweke mambo hapa.
Waambie waelewe. Hata mimi huwa nasingiziwa eti mrundi wakati nimezaliwa Kaseke, nikakulia Muyovosi na Ilagala kando kando kabisa ya mto MalagarasiWaache ujinga Wa kuita wanakigoma ni warundi
Pumbavu
Ntibazonkiza acha ubishiKigoma haikuhitaji wewe kuwepo kwake.
Ni dhahiri wewe utakuwa na shida katika moja ya taasisi zako kichwani,
Sikutegemea kwamba ipo siku haliho ibhiyima bilokaza kusalilaubhulandage meiki kihugo.
Histori ya kigoma kwa tz ni kubwa mnoo na nikuhakikishie tuu kuendelea kwa kigoma hakupo mikononi mwako.
Ninauhakika bila kigoma hata hiyo akili ndogo tuu uliyonayo inaasisiwa kutoka kigoma. Ndio maana kwa miaka nenda rudi kigoma ni kisima cha maarifa kwa tz hii.
Ukitaka kuamini hili
Tafuta historia ya ukombozi na ujengaji wa nchi hii
Fuatilia viuongozi wako woooooooote uone anza na hao wa juu yako
Kwani Zitto ni msemaji wa VP? Au ni kujikomba aonekane anapigania mkoa. VP ni mtu wa kitaifa na hatakiwi kujibiwa na mtu ambaye ni mkereketwa tu bila nafasi ya kiserikali.Zitto hakuanzisha issue hiyo jana. Alikuwa anawajibu wale wapuuzi wachache walioanza kupiga ramli chonganishi eti kwamba Dr. Mpango ana asili ya Burundi na kwamba eti aliwahi kuwa mkimbizi. Yaani tweet ya mtu mmoja ikawa ndio “chanzo cha taarifa”
Vyombo vya dola vipo na vilikuwa kazini kabla hata Dr. Mpango hajawa nominated. Msidhani UVP ni kama kikao cha sendoff ambapo mwenyekiti anakuwa picked tu in a minute