Zitto na Nondo wanaenda speed sana kupush agenda za Kigoma


..Kigoma mna HAKI zote za kulalamika kuwa mkoa wenu uliachwa nyuma.

..Msipoteze muda kujibizana na watu wenye ubaguzi na chuki miongoni mwetu Watz.

..Mtu anapokukabili kwa chuki, na matusi, wewe mkabili kwa upendo na busara.

..Ni matumaini yangu kwamba serikali ya awamu ya 6 itautendea haki mkoa wa Kigoma, na maeneo yote ya pembezoni.

..Ni matumaini yangu vilevile kuwa hayo yote yatafanyike huku tukihimiza umoja, upendo,na mshikamano, wa Watz.
 
Nondo ukimsikiliza unajua kabisa njaa kali na kukosa exposure kunamsumbua. Bado ana safari ndefu
 
Kuna pumbavu moja linaitwa kigogo ndio linaloeneza hizi sumu,Serikali nayo isiwe dhaifu kiasi hicho kushindwa kumtambua/ kuwatambua hawa watu ni kina nani,TISS wanafanya nini? Hili ni la kwao na lawama zote ziko kwao.Huyu mtu ni wa kudeal naye at any cost
 
Wapunguze kasi aisee kuteuliwa Mpango & Kattanga kusiwafanye kuinua vimabega vyao, watulie
 
Mpaka wenye matatizo ni Rwanda na burundi sio kwamba tunawaogopa nchi zao hazipo stable zinazalisha wakimbizi niambie.kama kuna kambi za wakimbizi kusini au kaskazini,Msione kama mnaandamwa ziache tasisi husika zifanye.kazi, swala la Uraia ni pesonal watamuhoji atajitetea basi hata.kwenye media akajitetea only that
 
Ninachojua mm kuna uraia wa kuzaliwa ndani ya nchi au taifa husika bila kujali wazazi wamezaliwa wapi na uraia was kuomba kisheria.
Watanzania tuache ujinga tuliomezeshwa na magufuli na genge lake tuwatambue na tuwape haki zote wanazopata raia wengine
 
Dr. Mpango hana time ya kuja kubishana na watu kama wewe. Wewe kaa na mafile yako kwenye ofisi ya uhamiaji iliyopo kwenu.

Nchi haichagui VP kienyeji kama mnavyofikiria
Hawezi kwa kua anajua yeye ni Mrundi,
Nyie Wapambe nuksi ndio mnalazimisha awe mtanzania ili mpate kula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…