Tuliokuwepo miaka ya 2010 tunakumbuka Zitto, Mwigamba, na Kitila walianzisha na kuratibu mtandao wa siri ulioitwa ' 'Mtandao wa Ushindi' nje ya utaratibu wa Chadema ili kumwezesha Zitto Zuberi Kabwe kutwaa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa; Remember MM, MM1 MM2 na MM3.
Similarities ya Lissu na Zitto.
1. Wakati Zitto anataka kumpindua Mbowe alikuwa N/Katibu Mkuu na Lissu ni Makamu Mwenyekiti.
2. Zitto na wenzake walimtuhumu Mwenyekiti kutumia pesa za chama pasipo utaratibu kitu ambacho Lissu anakituhumu.
3. Vijana wengi anaowatumia Lissu karibu ni walewale aliowatumia Zitto.
4. Wana CCM wanashangilia mpango wa Lissu kumuondoa Mbowe kama wana CCM walivyofurahia mipango ovu ya akina Zitto.
Differences;
Tofauti ya Tundu Lissu na akina Zitto Kabwe ni approach ya ku attain kiti cha Mwenyekiti ambaye kwa bahati nzuri bado ni yule yule Freeman Mbowe.
1. Zitto alitumia mbinu ya uasi na Lissu anatumia taratibu za chama.
2. Kina Zitto walikuwa na plan B ambayo ni kuanzisha chama na walishamtanguliza Kidawi kuanzisha chama cha ACT wazalendo.
3. Kwa mwonekano wa sasa Lissu hana mpango wa kuhama ama kuanzisha chama.
4. Zitto alikuwa na msukumo kutoka nje ya chama probably CCM lakini Lissu ni msukumo wa ndani ya chama na dhamira yake.
Consequences;
1. Wote kwa pamoja wana practice na kuimarisha demokrasia ndani ya Chadema.
2. Inategemea matokeo ya mwisho, wote kwa pamoja wanawagawa wanachama.
3. Wote Zitto alikinufaisha chama cha Mapinduzi na Lissu anakifaidisha chama cha Mapinduzi.
4. Credibility yao kama wao na sio chama kushuka.
ALL IN ALL inaonesha CHADEMA inazidi kukua na ni ukomavu wa demokrasia ndani ya chama.