Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Act bado sana ndo shida ya kutengeneza tuvyama twa maslahi binafsiAmeandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo kujiimarisha zaidi hivi kupitia Twitter:
Siku zote ccm inashinda kihalaliIf Zito has conceded defeat, then it means the election was free and fair! Basi ni hatua nzuri ingawa tunataka tume huru Salary Slip
Hongera kwa Zitto na wadau wote uchaguzi ni hatua nzuri kwa Tanzania yetu.Ameandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo kujiimarisha zaidi hivi kupitia Twitter:
Tweet nyingine hii:
Nawapongeza CCM kwa ushindi wa halali kabisa Jimbo la Muhambwe.Kila la Kheri kwa Mbunge mpya. Tutakutana Uchaguzi unaofuata tukiwa Imara zaidi.Nampongeza Msimamizi wa Uchaguzi wa Muhambwe na OCD wa Kibondo kwa kufanya kazi kwa weledi. Ninalaani matukio ya kuumiza Watu yaliyotokea
Ingekua chama chenu, najua mngetengeneza kiki ya kuchafua taswira ya uchaguzi kisha mnatimkia ugaibuni kukwepa aibu ya kugaragazwaa.Ameandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo kujiimarisha zaidi hivi kupitia Twitter:
Tweet nyingine hii:
Nawapongeza CCM kwa ushindi wa halali kabisa Jimbo la Muhambwe.Kila la Kheri kwa Mbunge mpya. Tutakutana Uchaguzi unaofuata tukiwa Imara zaidi.Nampongeza Msimamizi wa Uchaguzi wa Muhambwe na OCD wa Kibondo kwa kufanya kazi kwa weledi. Ninalaani matukio ya kuumiza Watu yaliyotokea
Nilikupeza Crimea 😅😅😅😅Zitto ni mwanasiasa safi!
Chama chake kichanga anajaribu kukijenga.
Chadema wamemuunga mkono Samia kwa kutoweka mgombe ili kuwakomoa mataga na marehemu
Vipi mkuu kwema?Nilikupeza Crimea [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nani anatoa hayo madai ya tume na katiba?Zitto anatumika kupunguza nguvu ya madai ya Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya!!
Kama uchaguzi ni huru na haki. Inaondoa haraka ya tume huru na katiba mpya!!
Hivi wapinzani mkiteuliwa na Mama Samia kwa ajili ya maslahi ya Watanzania tatizo lipo wapi?Asubiri uteuzi kwani huenda ni shariti aliopewa kukubali matokeo.
Hivi wapinzani mkiteuliwa na Mama Samia kwa ajili ya maslahi ya Watanzania tatizo lipo wapi?
That aside, ACT-Wazalendo wametumia haki yao ya kidemokrasia kushiriki uchaguzi ambao ninyi Chadema mmeususia. Tatizo lipo wapi?
Watanzania wana kiu ya kusikia jinsi gani Wapinzani mtapigania Katiba mpya, na sio kuzodoana.
Povu ruksa!
Upinzani hata Zitto mwenyewe alikuwa anadai tume huru ya uchaguzi lakini sasa hivi sitashangaa akisema tuijenge nchi kwanza katiba mpya baadae!Nani anatoa hayo madai ya tume na katiba?