Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,157
- 481
Na asiyekubali kushindwa si mshindani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa alivyokuwa analia kutekwa ilikuwaje ?KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema wamehesabu kura zao na wanakubali wameshindwa ila wanautumia uchaguzi huo kama sehemu ya mafunzo kwa chama chao.
Zitto Kabwe amesema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki na kasoro zilizojitokeza ni za kawaida, ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Kazi Iendelee!
Taarifa zetu zinaeleza kwamba Zitto atalamba uteuzi siku yoyote kuanzia keshoAsubiri uteuzi kwani huenda ni shariti aliopewa kukubali matokeo.
Hongera kwa Zitto na wadau wote uchaguzi ni hatua nzuri kwa Tanzania yetu.
Hamna. Kilichopo hapa ni 14% siyo 41% hii wazungu huita make-believe, Pemba huita kujibaraguza kwetu tunasena kajikaza kuisabuni. Wanna bet?Nilikupeza Crimea [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hamna. Kilichopo hapa ni 14% siyo 41% hii wazungu huita make-believe, Pemba huita kujibaraguza kwetu tunasena kajikaza kuisabuni. Wanna bet?
Mkuu huyu ni kitengo yupo kazini.Tusijaribu kuingia kwenye siasa tukiwa bado vijana na hutuna msimamo.
Siasa sio kazi ni huduma yani ukifanya siasa kama kazi utaishia kutoa kauli Kama chizi maana tayari umekula hela za watu
Hamna namna nyingine!! Sasa ni kusikilizia teuzi za mama!! Kazi iendelee!!KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema wamehesabu kura zao na wanakubali wameshindwa ila wanautumia uchaguzi huo kama sehemu ya mafunzo kwa chama chao.
Zitto Kabwe amesema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki na kasoro zilizojitokeza ni za kawaida, ameandika katika ukurasa wake wa twitter.
Kazi Iendelee!
Hakuna chama hata kimoja ambacho hakipo kwaajili ya masilahi binafsi, kuamini hivyo ni kuonyesha kiwango kikubwa cha ujinga ulionao.Act bado sana ndo shida ya kutengeneza tuvyama twa maslahi binafsi
Na ndivyo ilivyo. Hata hao CHADEMA kelele zote wanazipiga, vimisimamo vya kijinga, lengo lao kubwa ni kula na serikali kwakua hata wao wanajua kabisa hawana uwezo wa kuitawala nchi hii.ACT kwa sasa ni tawi la CCM.Anachokifanya Zito ni kuendeleza mahusiano na ushirikiano na CCM ili ruzuku ya chama iendelee kuflow. Simnajua kule Zanzibar wameunda serikali ya pamoja!!! Zito is so clever when it comes to his "INTEREST"
🤣🤣Zitto ni mwanasiasa safi!
Chama chake kichanga anajaribu kukijenga.
Chadema wamemuunga mkono Samia kwa kutoweka mgombe ili kuwakomoa mataga na marehemu