Zitto ni kweli anakubali kushindwa au anaficha aibu ya kutotaka kusikiliza ushauri wa wenzake?

Zitto kaambiwa ili ahalalishe Matokeo ya Tume ambayo haiko huru
Sisi ni kukomaa tu na Wafadhili wanaomwaga fedha zao kwa kudanganywa kuwa Tanzania kuna Demokrasia wakati sio kweli Zitto ni Adui wa Demokrasia Nchini
 
Asiyekubali kushindwa si mshindani! heko ACT-WAZALENDO!
 
sasa alivyokuwa analia kutekwa ilikuwaje ?
 
Hamna. Kilichopo hapa ni 14% siyo 41% hii wazungu huita make-believe, Pemba huita kujibaraguza kwetu tunasena kajikaza kuisabuni. Wanna bet?

Zito mwepesi sans😃😃😃😃
 
Tusijaribu kuingia kwenye siasa tukiwa bado vijana na hutuna msimamo.

Siasa sio kazi ni huduma yani ukifanya siasa kama kazi utaishia kutoa kauli Kama chizi maana tayari umekula hela za watu
 
Mdini sana huyu jamaa akiingia Rais Muislam aah huwa mzuri ila sasa aingie Mgaratia ihiiiiii.
 
Hamna namna nyingine!! Sasa ni kusikilizia teuzi za mama!! Kazi iendelee!!
 
41% kwenye Jimbo aliloacha makamu wa Rais sio mchezo
 
ACT kwa sasa ni tawi la CCM.Anachokifanya Zito ni kuendeleza mahusiano na ushirikiano na CCM ili ruzuku ya chama iendelee kuflow. Simnajua kule Zanzibar wameunda serikali ya pamoja!!! Zito is so clever when it comes to his "INTEREST"
Na ndivyo ilivyo. Hata hao CHADEMA kelele zote wanazipiga, vimisimamo vya kijinga, lengo lao kubwa ni kula na serikali kwakua hata wao wanajua kabisa hawana uwezo wa kuitawala nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…