Zitto ni kweli anakubali kushindwa au anaficha aibu ya kutotaka kusikiliza ushauri wa wenzake?

Hivi vyama vya mfukoni, wananchi tumeshavichoka. Upinzani ulishajifia siku nyingi, vimebaki vioja tu.
 
Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ndivyo anavyosema kiongozi wa Act wazalendo. Anadai japo wenzao walisusia uchaguzi lakini wao walishiriki ili kupima upepo. Waligungua kura feki na kudhibiti na wameshindwa kihalali. Chadema waache kutoa povu.

 
Huko Tunduru wenzako .Mtutura & Co wapo mahabusu karibia wiki 2 sasa kutoka na mtifuano wa uchaguzi wa udiwani Ligoma.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sasaivi wapinzani wamekuwa kama mlenda, wanajipendekeza kwa mama wanajizuiya kuongea utumbo hata wakishikwa makalius wanachekacheka tu maana wana dhani kunasiku mama atawapa ugali.😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…