kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Ayafanyie kazi hayaVizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
Wengi akina nani? Wengi tumemwombea mema na tumewalaani nyie wachache...Acha kuona dunia nzima katika nafsi yako...Ukimchukia wewe usi extrapolate kwakusema wengi...Mko kiduchu hamjai hata mkononi...Na vitawarudia marasabab sabini kwakua nyumba ya mwovu haiishi majanga!Vizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
So ameapisha watu ikulu leoLabda wanatafakari namna ya kusema jambo nzito kama hili
Narudia asubuhi nilitubu kwa ajili ya mama Tanzania na watoto wake wote, wakubwa kwa wadogo, waume kwa wake, wakirstu kwa waisilamu, bahai, wasiokuwa na ndini. Tupendane tuache kuzushiana na kutakiana mabaya. Walio amua kusimama na ubaya na kushangilia maumivu ya wengine wajitahidi kuondoa chuki upendo ni upendo, chuki kwa vyovyote vile haijengi hubomoa taifa na kufitisha wenye taifa. Tusameheane na tutapona.
Zitto wewe si ndio Kigogo,leo mnakwenda kuaibika.
Wengi wangapi? Huku kwetu makanisa karibu yote waumini walikua wanamuombea kwa kulia machozi videos nnazoVizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
No hapana siyo recorded ile. Kigogo muongo.Kigogo anasema ni recorded. Shida tupu
Hapana alienda pale mtaa wa ufipa!So ameapisha watu ikulu leo
Watu tunaotegemea wawe mbadala wa ccm kumbe ni wapumbavu kiasi hiki?
Inaelekea umesoma kwa uzi wangu with mixed feelings. Ungenisoma logically ungegundua kuwa hayo yote uongeayo nimeyaongelea kule, rudi tena ukanisome vizuri.Kwa hiyo hao waliocomment kwenye huo uvumi hawana lolote la maana wanalofanya kwenye mitandao, mpaka upendekeze hatua dhidi ya hizo smart phones? Kwenye huo uvumi hisia nyingi za watu ilikuwa ni jinsi hawaridhishwi kiongozi wao mkuu anavyowatendea na hawana jukwaa lolote rasmi wanaruhusiwa kufanya hivyo.
Ni vyema ungejikita kwenye hisia za hao watu wamefikaje huko, na sio kuleta vitisho vya kubana watu kukidhi hisia za kiongozi. Ushauri wa kujipendekeza hauna maana karne hii ya 21.
Mdogo wangu umesema..Mungu akubariki.Wengi akina nani? Wengi tumemwombea mema na tumewalaani nyie wachache...Acha kuona dunia nzima katika nafsi yako...Ukimchukia wewe usi extrapolate kwakusema wengi...Mko kiduchu hamjai hata mkononi...Na vitawarudia marasabab sabini kwakua nyumba ya mwovu haiishi majanga!
Kama alivyotaka kuwachonganisha Dr. Slaa na Mbowe kipindi akiwa Chadema. He is a professional hypocrite. That's ALLKaheshima kadogo alikokuwa nako kameondoka. Ana tabia ya kike anataka kuwachonganisha viongozi wakuu wa nchi.
Very stupid!Kigogo, Zitto, Lema ndiyo Watanzania wengi?Vizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
Mkuu tupia videoWengi wangapi? Huku kwetu makanisa karibu yote waumini walikua wanamuombea kwa kulia machozi videos nnazo
That's KarmaNikikumbuka jinsi Tundu Lissu;
●Alivyopigwa risasi Bungeni
●Alivyonyimwa matibabu na Govt
●Alivyonyimwa mshahara
●Alivyoporwa ubunge
Kwa kweli sasa nimeamini malipo ya ubaya ni hapa hapa duniani.
Ukimtendea ubaya mwenzio nawe utalipwa kwa ubaya.