Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Wala simlaumu Msigwa kwa kutotufahamisha juu ya swala lililomkuta Mh rais wetu,japo huwa anakuwaga nakiherehere saana kujiwahi kutupa upadates za ikulu kwa lolote linalotokea
Kwanini nasema simlaumu huyu Msigwa kwasbb tunaendeshwa kwa kutiwa woga na hofu,sasa nae amekuwa mwoga wakutekwa/kutumbuliwa/kupotezwa
Big Up Msigwa linda ugali wako baba
 
Yaani baada ya kuona anaendelea vizuri mnajidai kumuombea ila mwanzo mlizusha habari za uongo na mkaanza kusherehekea..
Hata Kama una chuki na mtu kiasi gani,sidhani Kama unaweza kufurahia yeye kuugua ama kufa.
Huu Ni unafiki wa Hali ya juu.
 
Nimesikitishwa sanaa sana hiki kitendo kufanywa na mtu kama Zitto.

Hivi mtu ambaye ana huge popularity,kiongozi mkubwa wa chama na ni inspirational kwa wanasiasa wengi wanaochipukia inakuwaje anaonesha chuki za wazi wazi kiasi hiki mpaka kuombeana vifo? Hii picha inaashiria hali ya furaha kwamba.. Halafu eti na yeye ana ndoto siku moja aje awe raisi?

Hakika ningekuwa nna kadi ya hicho chama chake ningeirudisha leo hii hii.
Kuliko kupoteza kura yangu kuwapigia watu wanafiki hivi ,Ni kheri nisipige kabisa.
Nilikwambia Mimi upinzani wanafiki Ni wengi na ndio wameharibu kila kitu..na mnataka watu Kama Hawa tuwape kura zetu kweli.
 
Ndiyo Maana huwa nakwambia kwamba wapinzani Wana Safari ndefu Sana.
Hawana Sera imara, kazi Yao kusubiri matukio ili washabikie,wapinge na kukosoa.
Inasikitisha Sana kuona watu wanashabikia vifo.
Kwa siasa hizi bado sijaona mbadala wa CCM na ndiyo Maana niliamua kutokuwa mfuasi wa chama chochote Maana wapinzani wengi Ni wanafiki tu.
Kwa kweli huu upinzani wetu tulionao ni wa ovyo sana, japo si wote walipo kwenye upinzani ni watu wa ovyoo lakini kitendo walichotuonesha leo hawa ambao ndio elites wa upinzani kinatupa uhalali wa kuiita upinzani wetu ni wa ovyo na bado una safari ndefu.

Imagine leo kwa jinsi huu uvumi ulivyo sambaa hasa jinsi wapinzani walivyoushikia bango ni athari gani tutakuwa tumeipata kama taifa!? Raisi ni taasisi kubwa sana nchini na yeye ndio anabeba reputation ya taifa na chochote kinachomuhusu lazima kiwe na impact nje ya mipaka yetu aidha mbaya au nzuri.

Utofauti wetu Itikadi wa kisiasa unatutia upofu mpaka tunafanya vitu vinavyoweza kutugharimu kitaifa.
 
Vizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauri yake.
Q
FB_IMG_15690835569389169.jpeg
 
Aliwahi kusema Magufuli hana tofauti na viongozi wa Nazis, lakini kwa hiyo tweet aliyopost leo naona yeye hana tofauti na ibilisi.
Huyu jamaa roho yake hana tofauti na shetani
Naomba ccm kigoma 2020 imtoe bungeni halijitambui
 
Kwa kweli huu upinzani wetu tulionao ni wa ovyo sana, japo si wote walipo kwenye upinzani ni watu wa ovyoo lakini kitendo walichotuonesha leo hawa ambao ndio elites wa upinzani kinatupa uhalali wa kuiita upinzani wetu ni wa ovyo na bado una safari ndefu.

Imagine leo kwa jinsi huu uvumi ulivyo sambaa hasa jinsi wapinzani walivyoushikia bango ni athari gani tutakuwa tumeipata kama taifa!? Raisi ni taasisi kubwa sana nchini na yeye ndio anabeba reputation ya taifa na chochote kinachomuhusu lazima kiwe na impact nje ya mipaka yetu aidha mbaya au nzuri.

Utofauti wetu Itikadi wa kisiasa unatutia upofu mpaka tunafanya vitu vinavyoweza kutugharimu kitaifa.
Halafu Hawa mnawasimamisha kugombea tuwape kura zetu..
Ndiyo Maana huwa nasema hakuna mbadala wa CCM.
 
Kuliko kupoteza kura yangu kuwapigia watu wanafiki hivi ,Ni kheri nisipige kabisa.
Nilikwambia Mimi upinzani wanafiki Ni wengi na ndio wameharibu kila kitu..na mnataka watu Kama Hawa tuwape kura zetu kweli.
Hakika unakatisha tamaa sana.

Unafanya kile ambacho huwa unakihubiri kisifanyike.

Today they have done what they have always been condemning(strong political aversion), what a double standards!

Kwa style hii acha tu watu wawaone hawana jipya.
 
[emoji1787][emoji1787]Aliwahi kumfananisha Magufuli na Hitler lakini kwa hiki alichokifanya leo yeye anaonekana ni pacha wake na Ibilisi[emoji1787][emoji1787]
Umenishinda tabia wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hakika unakatisha tamaa sana.

Unafanya kile ambacho huwa unakihubiri kisifanyike.

Today they have done what they have always been condemning(strong political aversion), what a double standards!

Kwa style hii acha tu watu wawaone hawana jipya.
Leo wamenishangaza Sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom