Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Afu jitu kama hili liondoshwe watu wamlalamikie Mheshimiwa Rais, siku zenu zinahesabika.
Juzi si ulikuwa unafurahia wewe?. Afu sasa hivi unasema umefuatilia. Leo unakuja na sympathy hapa kuna watu wanaudhi sana.

Kwa mtu kama wewe I expected unyamaze kimyaaa
 
sio kweli mimi nimeshawahi.fuatilia.sijawah kusikia wakala yoyote.akilalamikia.unalosema.. msitunge.mambo jomba..ni hatari..hapo uchelewi kusema wamenunuliwa
 
sio kweli mimi nimeshawahi.fuatilia.sijawah kusikia wakala yoyote.akilalamikia.unalosema.. msitunge.mambo jomba..ni hatari..hapo uchelewi kusema wamenunuliwa

Kwani nimesema kwa kusubiri ww ukiri ninalosema? Narudia tena, nimeshahudia kwa macho yangu kipigo kwa mawakala wa cdm toka kwa polisi. Hapo ndio nilijua kushiriki uchaguzi chini ya utawala wa jiwe ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
 
Nyie mmeona moshi , sehemu ya Anapokuwepo Rais kukafuka moshi naye akauona na kuutaja, usalama wa taifa ndio wanaowajibika kutwambia nini kilitokea. Moshi uliusiana na nini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…