Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Zitto brother umetuangusha sana. Bado unafanya siasa za kitoto! Jinsi ulivyo handle hizi tetesi binafsi zimenivunja moyo sana. Kama ni visasi basi nyie mtakuwa hatari mara mbili ...
 
Endelea tu kukumbuka sisi Wala haitusaidii kitu kwenye maendeleo ya Taifa na isitoshe hata pesa ya matibabu hukuchangia japo hata kwa njia ya m.pesa ulituachia tu sisi watu wake wa karbu kushughulikia matibabu yake leo hii kapona ndo unakuja unajilizaliza kinafiki hapa jamii forum!! Yani wewe mtu cjui una matatizo gani tu..
 
Ninapomuona Rais anasimama, nakudharau sana Zitto. Msifanye siasa kwenye mambo yasiyo na siasa
 
Anaapisha watu Ikulu huko. Siasa za matukio ni shida
 
Zitto nakwambia live mbele ya wapambe wako hiyo tabia ya kuombea na kuzusha mabaya kwa Mwanaume mwenzio Tena anayependwa na familia yake anayoiongoza ya wanyonge kuliko unavyopendwa wewe ipo siku hizo chuki binafsi zitakurudia mwenyewe ...mungu Ni wetu sote baada ya kuombeana uzima wewe na kigogo wako mkaona mshike matako ya vabaraka wenzenu wa hii nchi kuiombea taasisi ya rais mabaya..haya mungu yupo na anayaona yote haya
 
Nipo hapa naangalia Upendo tv na Mungu ananibariki sana.

Kiukweli Zitto na waswahili wenzake akina Kigogo 2014 wamefeli vibaya sana.

Hakika taifa letu limesimama katika misingi ile ile aliyotuachia baba wa taifa mwalimu Nyerere.

Mungu endelea kumbariki Rais Magufuli.

Nawatakia dominika njema!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…