Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

Magufuli anafedhehesha nchi sana yani
 
ila zitto sometimes anakera sana huyu jamaa, inapaswa ajitathmini sababu kama serikali ikikosa misaada mana yake wanaoathirika ni sisi raia wa kawaida na sio yeye sababu anajiweza. Kama serikali imeamua kudanganya kwa nia njema yeye anawashwawashwa na nini??? HII NDIO SABABU BILA KUPEPESA MACHO, BILA TASHWISHWI OCTOBER PANAPO MAJAALIWA NAMPIGIA KURA JIWE, siwezi kupigia kura vichwa maji hawa wa upinzani uchwara.
 
They are lying, bars are still open.

Unnecesssry gatherings are not all curbed.

Wearing mask in public is not mandatory any one can go out without wearing mask and he wont be questioned.

The president said that he is even thinking to reopen sports gatherings

The president is believing that Corona will go away by the blood of Jesus
 
Eti bars na migawaha wamefunga..

Atakua bashite ndio kaandika, maana huu ndio wmandiko wake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Also he believes corona is a satanic related desease.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa nini watadanganya ambavyo vyama vya upinzani hasa chadema na act walishauri wafanye wakajimwambafai, na matusi juu. Leo hayo hayo wanasema wanefanya ili tuu wapate mkwanja wa IMF.

Uongo ni huu.

Bar bado zipo wazi mchana na usiku.
Restaurant zipi wazi mchana na usiku.
Hakuna SME imepata huo.mfao wa kil300 usd.
Kuvaa mask sio mandatory
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao 480 waliopimwa, wamehusisha mbuzi mee, mapapai na oil ya gari??
 
Zitto na wafuasi wake ni wajinga sana.

Kwanza anasema selikali inaficha data.
Mara hii tena imepika data.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi naona furaha ya nafsi yako ni kuita watu wengine wajinga na wapumbavu huku wewe kwa ujinga na upumbavu wako halisi ukishindwa kabisa kukanusha kwa kujibu hoja kwa hoja....!

Hebu tuambie;

1. Hivi ni kweli serikali imetoa $302 milioni for health spending specifically to fight against COVID -19?

2. Unajua $302 million ni sawa na Tshs ngapi? Kama hujui, basi hizo dola ni almost Tshs. Bilioni 695...!!

3. Sasa hebu tuambie hizo zimetolewa lini na wapi? Ni bunge gani liliidhinisha fedha hizo? Je, huo si upishi wa takwimu fake na uongo?? Wizara yenyewe tu kwa bajeti yake ya mwaka wa fedha 2020/2021 both current & development expenditures ni less than Tshs. 300bn....!!

4. Je, ni kweli pia serikali imetoa $376 million kuipiga jeki private sector kwenye maeneo ya VAT and custom exemptions hususani kwenye taasisi za kiafya zinazoagiza medical items? Lini hili limefanyika na wapi? Mbona hospitali za umma na za binafsi hali ni tete kupita kiasi to the extent that hata masks tu za mahudumu wetu wa afya ni shida kuonekana achilia mbali kupatikana??

5. Kama ndivyo, serikali inapoomba michango kwa wananchi hao hao wanyonge na masikini wanaohitaji attention ya kuhudumiwa na serikali inakuwa inaleta maana na taswira gani eti?

Kwani serikali inaidandanya dunia?

Kwa kuwa wewe ni mtetezi wa serikali hii ya ajabu, basi kila MTU alidhani kuwa ungejikita kufafanua na kutoa ushahidi wa hoja hizi ambazo kiuhalisia SI ZA KWELI kwa asilimia kubwa tu...

Lakini bahati mbaya sana kwako, umeishia kuita watoa maoni wenzako wajinga na wapumbavu lakini ukweli ikiwa the opposite kuwa wajinga na wapumbavu ni nyie....!!!!
 
Sasa basi si ndiyo azimwage hizo data zilizopikwa, kama kuna chumvi au la Tatizo lipo wapi?
Where is your source honorable Zitto?
mwaga tu hizo data manake hizo za ayi em ef sii kama ndio zinaonyesha upikwaji wenyewe basi they are as guilty. Justly observing!
 
Kwani huo mpunga wa IMF sisi hatupewi? maana nimeona kenya na uganda mambo yao byee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…