Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

Serikali imetoa taarifa IMF kua imetumia zaidi ya Trilion 1.5 za kitanzania kupambana na corona kwa miezi 2.

Serikali imetumia Dollar Millioni 302 kwenye vifaa tiba na masuala ya afya.

Serikali imetumia Dollar Million 376 kwenye kuzisaidia na kuzikwamua taasisi ndogo ndogo na za kati (Small and Medium Enterprises) ili kukabiliana na matokeo hasi ya corona kwenye shughuli zao.

Jumla kwa miezi 2 serikali imetumia Dollar Million 687 sawa na zaidi ya Trillion 1.5 za kitanzania.

Je ni kweli serikali imetumia zaidi ya Trillion 1.5 kwa miezi 2 kushughulikia corona?


Sasa siku zote walikuwa wapi kutueleza mikakati yao na kiasi cha pesa walichotenga kwa ajili ya Corona ........ Labda zitakuwa zimetumika kwenye yale mazishi ya usiku tuliyoambiwa na Kigogo ..............!!
 
Hoja imejikita kwenye mashule mengi kushindwa kulipa mishahara kuanzia April 2020 na kueundelea; serikali kupitia taarifa za michango za NSSF wana data zote wangeangalia namna ya kuwasaidia angau 25% ya kile walichokuwa wanapata. Kuna Tour Guides na wahudumu wa mahoteli ya kitalii hawa nao wanahitaji kusaidiwa kwani huduma yao ina mchango mkubwa kwenye pato la Taifa.

Kuna auxillary services kama kampuni za ukaguzi wa mahesabu sasa hivi wateja wa hizo sekta mbili hawana uwezo wa kuwalipa nao wangeangaliwa ili wasipunguze wafanyakazi wao

Hili la kuwalipa Waalimu/Watumishi hasa toka Private sectors(schools/colleges) liko wazi kabisa. NSSF wanachukua michango ya Watumishi hawa kila mwezi hivo kipindi hiki cha mpito wa Covid-19 ilitakiwa Serikali watoe maelekezo kwa Mifuko ya Jamii ilipe sehemu(%)ya Fedha za Wanachama kwa utaratibu Maalumu utakaokubalika kwa all members.
 
Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME.


Angalia nakala ambatanishwa.


TANZANIA

Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of COVID-19 as of May 7, 2020. The government has adopted limited containment measures, including banning all public gatherings (except for worship), closing bars and restaurants, and mandating wearing face masks in Dar Es Salaam. Schools, colleges, and other training institutions have been closed and boarding students were required to return home. All international flights have been cancelled, but land borders remain open with active health screening at all points of entry. Government operations continue as normal, while some private enterprises have closed or adopted measures to fight the spread of the virus. The authorities are assessing the economic impact of COVID-19 and policy responses.


Key Policy Responses as of May 7, 2020

Fiscal


  • The government released US$302 million for health spending. The funds come from cancelling and postponing some budgeted spending such as foreign travel and training; national ceremonies; and procurement of vehicles.
    To support the private sector the government has expedited the payment of verified expenditure arrears giving priority to affected SMEs, paying US$376 million over the past two months.
    The government has granted VAT and customs exemptions to additional medical items requested by the Ministry of Health.
Monetary and macro-financial

  • No measures.
Exchange rate and balance of payments

  • No measures.

Source: Policy Responses to COVID19
Zito waandikie IMF wasipoteze fedha zao kwa majizi haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto na wafuasi wake ni wajinga sana.

Kwanza anasema selikali inaficha data.
Mara hii tena imepika data.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wameamua kutoa data leo baada ya kusikia majirani wanapiga posho za IMF na WB!!?

Unless, hiyo 1.5 Trillion imetumika kumweka Mtu isolation ..... maana kuhamishia kazi kijijini itakuwa ni gharama kubwa sana.
 
Kwa hiyo wameamua kutoa data leo baada ya kusikia majirani wanapiga posho za IMF na WB!!?

Unless, hiyo 1.5 Trillion imetumika kumweka Mtu isolation ..... maana kuhamishia kazi kijijini itakuwa ni gharama kubwa sana.
Majirani wameshapiga ma-trilioni asee , . . . sisi tunadema tu
 
Wtz wanategemea wazalendo WA nchi hii kama Zito
 
Back
Top Bottom