Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

Kwani hao IMF hawana wakala wao nchini, wanaamini tu makaratasi.

Ila nimefurahi kusikia Bar na Restaurant zimefungwa, chezea bongo weye.
 
Serikali imetoa taarifa IMF kua imetumia zaidi ya Trilion 1.5 za kitanzania kupambana na corona kwa miezi 2.

Serikali imetumia Dollar Millioni 302 kwenye vifaa tiba na masuala ya afya.

Serikali imetumia Dollar Million 376 kwenye kuzisaidia na kuzikwamua taasisi ndogo ndogo na za kati (Small and Medium Enterprises) ili kukabiliana na matokeo hasi ya corona kwenye shughuli zao.

Jumla kwa miezi 2 serikali imetumia Dollar Million 687 sawa na zaidi ya Trillion 1.5 za kitanzania.

Je ni kweli serikali imetumia zaidi ya Trillion 1.5 kwa miezi 2 kushughulikia corona?

 
Huu mwaka huu! Tulitarajia kuona na kusikia mengi, lakini si kwa kasi hii ya corona!
 
Zimeondoka hewanihewani kama zile za Noah!!!
 
Nakumbuka juzi waziri Mpango alisema hadi kufikia August 2020 zinahitajika Billioni 382.5 na hadi sasa serikali imeshatoa Billioni 15 zitumike dhidi ya corona.

Nimeshtuka kusikia kua ni Trillioni 1.5 tena na sio Bilioni 15.

Kwa hili serikali inataka kuwapiga changa la macho IMF ili kupata mkopo usio na riba na wenye grace period ya miaka 10.
 
😁😁😁😁🤣🤣

Uongo huo. Hata mwanangu wa darasa la pili ukimwambia huu uongo atakutemea mate.
 
Kweli au unataka wasemeje?si unaona na ndege imefata dawa leo madagasca.
 
Thread zingine kwa kweli mtu unatakiwa kufuturu kwanza kabla hujazitafakari na kuanza kuchangia!

Lakini paliponifurahisha zaidi ni hapa:-
To support the private sector the government has expedited the payment of verified expenditure arrears giving priority to affected SMSs, paying USD 376 million over the past two months
Yaani mtu anakudai pesa yake, na umemcheleweshea kweli kweli kumlipa lakini hatimae unakuja kumlipa, kama kweli umelipa halafu unasema unamsaidia?!

Wiki mbili zilizopita, niliandika:
Katika kipindi hiki kigumu wenzake hawazungumzii suala la kufutiwa madeni per se bali wanazungumzia economic policy issues zitakazofanya nchi zao kukabiliana na COVID-19 bila kuacha damage kubwa kwenye uchumi!!

Kwa mfano: Kutokana na COVID-19, sekta binafsi imeathirika vipi na sio kuzungumzia Dar es salaam na ukusanyaji kodi.

Kama watu wamekata mitaji kutokana na sababu mbalimbali, je serikali inaandaa au ku-implement any monetary and fiscal instrument ili kusaidia eneo hilo?! Je, riba za mabenki zimeangaliwa upya ili wafanyabiashara waweze kukopa kwa riba ndogo? Je, serikali ina mpango wa kutengeneza any stimulus package kuhakikisha sekta binafsi haizami?! Je, serikali ina mpango wa kutoa tax relief kwenye baadhi ya sector?! Je, serikali imejaribu kushawishi private banks kutoa grace period kwa wateja wao waliochukua mikopo kwa kuzingatia biashara ni ngumu?!
Kinyume chake, serikali inadai imeharakisha kulipa madeni, halafu ikiita huko ni kui-support private sector. Unawa-support vp wakati pesa ni ya kwao?! Au mimi ndo sijaelewa na hivi viingereza vyetu vya kuunga unga?!

Kwa summary hiyo ya serikali hapo, inaonesha wazi bado hawana emergency policy response to COVID-19. Bado hawana emergency monetary, fiscal and macroeconomic policy ya kukabiliana na coronavirus!

Na ni utapeli kutumia maelezo kama hayo kutaka usaidiwe! Na kama policy response yenyewe ndo hiyo halafu wanatarajia IMF/WB watoe pesa, basi pale wizarani pana matatizo si kidogo!

Angalia maelezo ya nchi zinazojitambua kama Rwanda as reported by IMF
The pandemic is expected to cause a revenue shortfall of 1.9 percent of GDP. The government’s emergency response plan, including scaled-up health spending, is estimated at about 1.5 percent of GDP. Support to vulnerable households takes the form of regular in-kind transfers of basic food stuffs (door-to-door provision of rice, beans, and flour every three days) and cash transfers to casual workers that lost their jobs. Support to firms is envisaged in the form of subsidized loans from commercial banks and is expected to target SMEs and hard-hit sectors such as the hospitality industry. The salaries of top civil servants for the month of April will be redirected to welfare programs. Tax relief measures include the suspension of down payments on outstanding tax for amicable settlement and the softening of enforcement for tax arrears collection. The deadline for filing and paying corporate income tax has been extended, and VAT refunds to SMEs are being fast-tracked. The 30-day maturity period for the public health insurance scheme premium was removed.
Ukisoma maeleo hayo hapo juu, unaona wazi Rwanda wamefanya matumzi ya ziada nje ya bajeti kutokana na COVID-19! Hivi watu kama hao utaacha kuwa-support?

Rwanda wanaendelea:-
On March 18, the central bank announced liquidity support measures: (i) an extended lending facility worth RWF 50 billion (0.5 percent of GDP) available to liquidity-constrained banks for the next six months. Under this facility, banks can borrow at the policy rate and benefit from longer maturity periods; (ii) Treasury bond purchases through the rediscount window for the next six months; and (iii) lowering of the reserve requirement ratio by 100 basis points, from 5 to 4 percent, effective from April 1. Loan repayment conditions were also eased for impacted borrowers, and charges on electronic money transactions waived for the next three months. The central bank is also working closely with the Minister of Economy and Planning to provide support to microfinance institutions. On April 30, the central bank cut the policy rate by 50 basis points to 4.5 percent.
Halafu jamaa utadhani walisoma post yangu, kumbe sio kwa sababu ni masuala ya wazi taifa lolote linalojitambua lilitakiwa kufanya!

Kenya nao, baada ya kuwa wameeleza matumizi ya ziada kwenye sekta ya afya, kisha wakaendelea:-
A package of tax measures has been adopted, including full income tax relief for persons earning below the equivalent of $225 per month, reduction of the top pay-as you earn rate from 30 to 25 percent, reduction of the base corporate income tax rate from 30 to 25 percent, reduction of the turnover tax rate on small businesses from 3 to 1 percent, and a reduction of the standard VAT rate from 16 to 14 percent.
Hivi mtu kama huyo unaachaje kumsaidia wakati ameonesha wazi ni namna gani COVID-19 ama imemsababishia matumizi ya ziada nje ya bajeti kama gharama za additional health facilities, au mapato yake yatapungua kwavile ameamua kuwapunguzia mzigo wa kodi wananchi na sekta binafsi.
 
How do we finance our upcoming elections' campaign since we have fallen out with business people we used to milk!
 
Nakumbuka juzi waziri Mpango alisema hadi kufikia August 2020 zinahitajika Billioni 382.5 na hadi sasa serikali imeshatoa Billioni 15 zitumike dhidi ya corona.

Nimeshtuka kusikia kua ni Trillioni 1.5 tena na sio Bilioni 15.

Kwa hili serikali inataka kuwapiga changa la macho IMF ili kupata mkopo usio na riba na wenye grace period ya miaka 10.
Muulize mkokotoaji wa CCM Bwana Polepole maana wanasema metumia bilion 15 na my assumption Polepole badala ya billion at a substitute na trillion na kwenye kiasi 15 itakuwa 1.5
 
Natamani kuzifahamu hizo taasisi ndogondogo; sijui shule na mahotel ya kitalii yamo
 
😁😁😁😁🤣🤣

Uongo huo. Hata mwanangu wa darasa la pili ukimwambia huu uongo atakutemea mate.
Mimi imenibidi nicheke.

Kwamba serikali imetumia zaidi ya Billion 870 kusaidia biashara ndogo ndogo na za kati(Small and Medium Enterprises) kukabiliana na corona.

Maana yake imezipa hela ziendelee kuoperate kama kawaida kugharamia uendeshaji ili zisianguke au kufunga.

Pia imetumia zaidi ya Billioni 700 kununua vifaa tiba wakati tunaambiwa madaktari hawana ppe.

Vituko haviishi Duniani.
 
Nakumbuka juzi waziri Mpango alisema hadi kufikia August 2020 zinahitajika Billioni 382.5 na hadi sasa serikali imeshatoa Billioni 15 zitumike dhidi ya corona.

Nimeshtuka kusikia kua ni Trillioni 1.5 tena na sio Bilioni 15.

Kwa hili serikali inataka kuwapiga changa la macho IMF ili kupata mkopo usio na riba na wenye grace period ya miaka 10.

Guys,
Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hii taarifa ya Serikali kwa IMF kuwa wametumia USD 382.5 milioni kukabiliana na Covid-19 na siyo 15 Bilioni approx. 7.5m USD as per taarifa ya Waziri Mpango ni uongo mtupu.

Remember huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2020. Waziri Mpango atakuwa amepewa maelekezo toka Chatoo atafute pesa popote Iwe ni kwa kulaghai,kuiba au kutapeli ili kufanikisha Uchaguzi. Serikali ya Magufuli haina pesa pamoja na majigambo ya HII NJI NI TAJIRI SANA,,,,!!
 
Kwani hao IMF si watahitaji details of how that money was used and possibly also how it was acquired.

Hao watu wa IMF ni wajanja sana kwanza wanafahamu vema ulaghai wa nchi za Kiafrika na labda ndio maana Tanzania imenyimwa na kupewa Kenya na Uganda.

Kwanza hawako wazi ktk takwimu zao, wana hulka ya kuchakachua takwimu na vile vile hawaheshimu misingi ya utawala wa sheria.
 
Natamani kuzifahamu hizo taasisi ndogondogo; sijui shule na mahotel ya kitalii yamo

Ivi ile michango ya kina Rostam Azizi na Taasisi zingine takribani 7 Bilioni hela ya mafafu inatumika wapi?
 
Ivi ile michango ya kina Rostam Azizi na Taasisi zingine takribani 7 Bilioni hela ya mafafu inatumika wapi?
Hoja imejikita kwenye mashule mengi kushindwa kulipa mishahara kuanzia April 2020 na kueundelea; serikali kupitia taarifa za michango za NSSF wana data zote wangeangalia namna ya kuwasaidia angau 25% ya kile walichokuwa wanapata. Kuna Tour Guides na wahudumu wa mahoteli ya kitalii hawa nao wanahitaji kusaidiwa kwani huduma yao ina mchango mkubwa kwenye pato la Taifa.

Kuna auxillary services kama kampuni za ukaguzi wa mahesabu sasa hivi wateja wa hizo sekta mbili hawana uwezo wa kuwalipa nao wangeangaliwa ili wasipunguze wafanyakazi wao
 
Kwani hao IMF si watahitaji details of how that money was used and possibly also how it was acquired.

Hao watu wa IMF ni wajanja sana kwanza wanafahamu vema ulaghai wa nchi za Kiafrika na labda ndio maana Tanzania imenyimwa na kupewa Kenya na Uganda.

Kwanza hawako wazi ktk takwimu zao, wana hulka ya kuchakachua takwimu na vile vile hawaheshimu misingi ya utawala wa sheria.

Kwa Serikali ya Jiwe kupata mkopo kwa ajili ya Covid-19 toka IMF itakuwa ngumu sana!
Hili swala la Jiwe kushindwa kuchukua hatua madhubuti za kudhibiti Covid-19 Tanzania according to WHO directives, kuchelewesha au kuficha taarifa halisi za maambukizi na kuanza kuvituhumu vipimo(TKs) vya Covid-19 kuwa ni Fake na vimeletwa na Mabeberu kwa lengo Maalumu itamgharimu sana Jiwe...time gonna tell!
 
Back
Top Bottom