Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

Sasa siku zote walikuwa wapi kutueleza mikakati yao na kiasi cha pesa walichotenga kwa ajili ya Corona ........ Labda zitakuwa zimetumika kwenye yale mazishi ya usiku tuliyoambiwa na Kigogo ..............!!
 

Hili la kuwalipa Waalimu/Watumishi hasa toka Private sectors(schools/colleges) liko wazi kabisa. NSSF wanachukua michango ya Watumishi hawa kila mwezi hivo kipindi hiki cha mpito wa Covid-19 ilitakiwa Serikali watoe maelekezo kwa Mifuko ya Jamii ilipe sehemu(%)ya Fedha za Wanachama kwa utaratibu Maalumu utakaokubalika kwa all members.
 
Zito waandikie IMF wasipoteze fedha zao kwa majizi haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto na wafuasi wake ni wajinga sana.

Kwanza anasema selikali inaficha data.
Mara hii tena imepika data.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wameamua kutoa data leo baada ya kusikia majirani wanapiga posho za IMF na WB!!?

Unless, hiyo 1.5 Trillion imetumika kumweka Mtu isolation ..... maana kuhamishia kazi kijijini itakuwa ni gharama kubwa sana.
 
Yaani siku hizi kila tukiamka ni vituko vipya...
 
Kwa hiyo wameamua kutoa data leo baada ya kusikia majirani wanapiga posho za IMF na WB!!?

Unless, hiyo 1.5 Trillion imetumika kumweka Mtu isolation ..... maana kuhamishia kazi kijijini itakuwa ni gharama kubwa sana.
Majirani wameshapiga ma-trilioni asee , . . . sisi tunadema tu
 
Wtz wanategemea wazalendo WA nchi hii kama Zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…