Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Kuna nonsense unaandika hapa! unategemea kweli sera za nchi ziandikwe kwa kushirikisha wafayabiashara! Hilo la ndege pia huna hoja! Kwa nini unasema ni za kifisadi? Bei ilikuwa na wizi? au una maanisha nini maana usiniambie hoja ya zitto aliyesoma mwaka kwenye vioo. Ktk export umeangalia korosho huinguza kiasi gani kwa mwaka? Kumbuka ni mwaka juzi wafanyabiashara walipoleta upuuzi, kwenye pamba pia mwaka jana wakaleta hayo hayo! Kama serikali ulitaka iseme endeleeni? Nonsense!Hakuna new investor wa njee, pesa inayokusanywa zinatoka nje kupitia SGR, ununuzi wa ndege za kifisadi baada pesa izunguke ndani, Sera za kodi hazishirikishi wafanyabiasha, Export ya mazao kama korosho haijafanyika,
Utapata wapi kodi kama ile pesa unayokusanya hailudi kulipa madeni ya ndani? Kama hauuzi sana mazao, bidhaa nje ili upate dollar? kama hauweki sera za kuwaboost wafanyabiashara wapya hasa wa ndani kupata vyanzo vya mitaji ili wewe upate kodi?
Kama umeweka washikaji zako kwenye sector nyeti za fedha kama Wizara ya fedha, TRA, TPA na Hazina ambao hawana creativity ya kutengeneza mapato ya kutosha au kutengeneza vyanzo vipya vya mapato?
Magufuli umetuangusha sana miaka 5 kwa sababu ya kutosikiliza ushauri.
Kwenye forex namba moja ni utalii, namba mbili ni madini, tatu ni kilimo. sema wapi umeangushwa na huwezi kukwepa SGR kuchukuwa pesa kwa sababu huna kampuni ndani ya nchi inayowezafanya kazi hiyo. Wanao darin forex bila umuhimu ni hao wanaleta plastiki za china. wanajiita waangizaji kumbe wanaleta plastiki za kuanika vyombo.