Zitto: Serikali ya awamu ya Tano yatia fora kutofikia malengo ya Bajeti

Nchi ipo katika hatari kubwa, mapato yanazidi kuwa madogo. Vyanzo vya mapato kama kupitia zao la korosho vilifanyiwa maamuzi yasiyo sawa. Sekta ya madini ineyumba, Hali ya kibiashara, nyingi zimefungwa hivyo chanzo kingine cha mapato kimetoweka. Mafuriko yameharibu mashamba, mavuno na miundombinu ya barabara na reli.

Miradi mikubwa ya fedha nyingi za ''ndani" kama Stiegler's Gorge JNHPP, SGR na madaraja / flyover yote yanategemea vyanzo vya "ndani". Na nchi ikikopa kuendelea kujaribu kuikamilisha inazidi kudidimia ktk shimo la madeni makubwa.

Sasa na hili janga la Coronavirus lililo nje ya uwezo wa serikali pia linainyemelea nchi.

Hakika awamu hii ya tano ipo katika wakati mgumu kabisa na changamoto isiyohimilika kuendesha nchi kutokana na makosa yake yenyewe ya maamuzi ya kisera na pia mvua nyingi kupita kiasi za mafuriko na gonjwa linalotishia uchumi wa nchi.
Unahangaika sana mkuu unafikiri watz watawaamini kwa maneno ya udaku!
 
Zitto mdogo wangu unajitia aibu ,sote ni watanzania,sahau uccm na uact- wazalendo,sasa unaposhangilia jambo la serikali kukusanya mapato chini ya makadilio sioni kama ni sawa.

Wewe kama mtanzania na kiongozi unayo nafasi ya kushauri kipi kifanyike ili lengo la ukusanyaji mapato lifikiwe kwa asilimia mia moja

Unaposhamgilia ukusanyaji hafifu wa mapato, kwa dhana hii naona pia unafrahia watanzania kuishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu ,wewe ni sawa na nyani anayeshangilia pindi kichaka kinapokuwa kinateketea kwa moto pasina kujua ikiwa kinatateketea chote atajificha wapi,

Pole sana mkuu zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu kubwa sana ni kuwa wengi wenu bado hamuelewi dhana ya siasa ya vyama vingi, nimejaribu mno kuwaelimisha humu time without number lkn vichwa ni vigumu ni hakuna mfano.

Zitto kama opposition politician ambaye ana ambition to head the government one day hawezi kamwe kuunga mkono the government policies be what may unless awe ni pandikizi kama akina Mrema, Cheyo, Lipumba, Mbatia, Shibuda and the likes.

Chama chochote cha upinzani kilicho serious kipo kutetea sera zake kwa gharama yoyote kama vyama vya upinzani vifanyavyo huko ktk demokrasia zilizoendelea.

Sijawahi kusikia Democratic Party kule US au Labour Party kule UK vikiunga au kusifia vyama tawala ktk nchi zao. Hapa Tanzania haya ya kusifia yanatokea kwa sababu vyama vingi vimepandikizwa na ccm kwa malengo yake ya kisiasa.

Elimu ya uraia haijasaidia chochote kama watu bado wana fikra kama zako za kufikiria kuwa chama ni kile kinachotawala tu hata kama kinadumu madarakani kwa kudhulumu vyama vingine kwa maana ya kupora uchaguzi. You need to come of age maaan.
 
Huna vyanzo vya kukusanya mapato,utafikiaje malengo ya kukusanya mapato mengi ?Vitu vingine hauhitaji uwe na degree ya uchumi kuvifahamu.
Hizo ni characteristics za nchi maskini. Huhitaji kuwa na elimu unayotaka kama ulivyoandika ili kujua kwamba hakuna nchi yoyote maskini inayofikia malengo. Ukiweza nitajie nchi mojawapo ktk nchi maskini inayofikia malengo. Kwa fact hiyo hakuna sababu ya kuanzisha zomea zomea kama hii ya Zitto.

Zitto ni mtu ambaye ana ushujaa wa kuzungumza lakini ukiangalia anayozungumza ni uchafu tu! Baadhi tunayabeba tukidhani ana 'point' kumbe uchafu tu!
 
Tatizo lenu kubwa sana ni kuwa wengi wenu bado hamuelewi dhana ya siasa ya vyama vingi, nimejaribu mno kuwaelimisha humu time without number lkn vichwa ni vigumu ni hakuna mfano.

Zitto kama opposition politician ambaye ana ambition to head the government one day hawezi kamwe kuunga mkono the government policies be what may unless awe ni pandikizi kama akina Mrema, Cheyo, Lipumba, Mbatia, Shibuda and the likes.

Chama chochote cha upinzani kilicho serious kipo kutetea sera zake kwa gharama yoyote kama vyama vya upinzani vifanyavyo huko ktk demokrasia zilizoendelea.

Sijawahi kusikia Democratic Party kule US au Labour Party kule UK vikiunga au kusifia vyama tawala ktk nchi zao. Hapa Tanzania haya ya kusifia yanatokea kwa sababu vyama vingi vimepandikizwa na ccm kwa malengo yake ya kisiasa.

Elimu ya uraia haijasaidia chochote kama watu bado wana fikra kama zako za kufikiria kuwa chama ni kile kinachotawala tu hata kama kinadumu madarakani kwa kudhulumu vyama vingine kwa maana ya kupora uchaguzi. You need to come of age maaan.
Kwa uelewa wako wa Vyama vingi, hebu nieleze Zitto au ACT ina sera gani?
Mtu huyu hajitambui kabisa! Ukiangalia hata anachokiita uchumi ni upuuzi tu maana anaamini alichosoma darasani ndo kinafanya kazi ofisini. Hajawahi kufanya utafiti wowote wa uchumi. hajawahi kushika nafasi yoyote ya uchumi. hajawahi test principle yoyote ya uchumi na kuona matumizi yoyote.

Kama unavyoona watu wanafungiwa siku 14 ili kupunguza uwezekano wa kuambukiza corona, hivyo hivyo akina Zitto, wanastahili kufungiwa ili wasiambukize upuuzi watu wema.
 
Zitto mdogo wangu unajitia aibu ,sote ni watanzania,sahau uccm na uact- wazalendo,sasa unaposhangilia jambo la serikali kukusanya mapato chini ya makadilio sioni kama ni sawa.

Wewe kama mtanzania na kiongozi unayo nafasi ya kushauri kipi kifanyike ili lengo la ukusanyaji mapato lifikiwe kwa asilimia mia moja

Unaposhamgilia ukusanyaji hafifu wa mapato, kwa dhana hii naona pia unafrahia watanzania kuishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu ,wewe ni sawa na nyani anayeshangilia pindi kichaka kinapokuwa kinateketea kwa moto pasina kujua ikiwa kinatateketea chote atajificha wapi,

Pole sana mkuu zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kusema ukweli ni kushangilia? Kwa hiyo asingesema alichokisema ndio makusanyo yangeongezeka? Basi mshauri mungu wenu Magufuli atangaze asubuhi mchana na jioni miezi mitatu mfulululizo kuwa makusanyo ni 200% ili yapande.
 
Zitto mdogo wangu unajitia aibu ,sote ni watanzania,sahau uccm na uact- wazalendo,sasa unaposhangilia jambo la serikali kukusanya mapato chini ya makadilio sioni kama ni sawa.

Wewe kama mtanzania na kiongozi unayo nafasi ya kushauri kipi kifanyike ili lengo la ukusanyaji mapato lifikiwe kwa asilimia mia moja

Unaposhamgilia ukusanyaji hafifu wa mapato, kwa dhana hii naona pia unafrahia watanzania kuishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu ,wewe ni sawa na nyani anayeshangilia pindi kichaka kinapokuwa kinateketea kwa moto pasina kujua ikiwa kinatateketea chote atajificha wapi,

Pole sana mkuu zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko sawa zito kuexpose weakness zilizopo serikalini na ikifika stage serikali imeshindwa kuachieve goals za watanzania ni vizuri ikakaa pembeni ikapisha kwenye uwezo huo waendeleze nchi kuliko kuendelea kuwepo tuu
 
Hizo ni characteristics za nchi maskini. Huhitaji kuwa na elimu unayotaka kama ulivyoandika ili kujua kwamba hakuna nchi yoyote maskini inayofikia malengo. Ukiweza nitajie nchi mojawapo ktk nchi maskini inayofikia malengo. Kwa fact hiyo hakuna sababu ya kuanzisha zomea zomea kama hii ya Zitto.

Zitto ni mtu ambaye ana ushujaa wa kuzungumza lakini ukiangalia anayozungumza ni uchafu tu! Baadhi tunayabeba tukidhani ana 'point' kumbe uchafu tu!

Kwa nini serikali isipange malengo ya kukusanya kodi ambayo ni realistic? Kwa nini serikali isiweke policies ambazo ni rafiki kwa wafanyabiashara ili biashara zao zikue na hivyo kuongeza uwezo wao wa kulipa kodi kutokana na kuongezeka kwa mapato?
Jitu linapora watu pesa zao halafu utegemee ongezeko kwenye kukusanya kodi?
 
Hizo takwimu za Zitto/Act sio sahihi kwani sidhani kama kuna siku hii serikali imewahi kukusanya over Tsh.18 Trillion kwa mwaka wakati wastani wa makusanyo yao kwa mwezi imekuwa ikidaiwa ni Tsh. 1.3 Trillion.

It's a known fact that well over 45% of the government's budget is foreign funded therefore this could not be possible if the revenue collected had ever be in the region of Tsh. 27 Trillion.

This again casts a lot of doubt in regard to the government's frequently declared revenue collections and one can wonder if Zitto's assessment is something to go by then why the government's flagship projects are limping if not stalled? Time will provide us with the answer.
 
Kwa nini serikali isipange malengo ya kukusanya kodi ambayo ni realistic? Kwa nini serikali isiweke policies ambazo ni rafiki kwa wafanyabiashara ili biashara zao zikue na hivyo kuongeza uwezo wao wa kulipa kodi kutokana na kuongezeka kwa mapato?
Jitu linapora watu pesa zao halafu utegemee ongezeko kwenye kukusanya kodi?
Hiyo unayoiwazia siyo dunia halisia. Kila wakti kwa kila mtu hata wewe, unashauliwa kuweka malengo makubwa, hata usipoyafikia ni nafuu kwako. Malengo madogo hayana faida yoyote. Kwa wafanyabiashara, duniani kote lazima wabanwe. Ukikuta nchi inayoleta urafiki na wafanyabiashara, fahamu haina maana hiyo! BIashara zinaendana na sheria kali.
 
Yuko sawa zito kuexpose weakness zilizopo serikalini na ikifika stage serikali imeshindwa kuachieve goals za watanzania ni vizuri ikakaa pembeni ikapisha kwenye uwezo huo waendeleze nchi kuliko kuendelea kuwepo tuu
Una shida nyingine. Zitto ana tatizo kama lako. Hajui maana ya takwimu. Unawezaje kumtia mtu hatiani kwa malego aliyojiwekea mwenyewe. Bahati mbaya kabisa Zitto yuko bungeni miaka yote hiyo. Je, tatizo la kutofikia malengo ninini? walijiwekea makubwa? Au ni kawaida ila wamekuwa walegevu sehemu. kote huko hasemi kitu na badala yake anasimulia namba ambazo kiuhalisia zinaonesha tabia ya bajeti kwa nchi zote zinazoendelea duniani.

Nahisi hata wewe hujui anachoelezakwa hako ka-clip!
 
N

Nadhani madhaifu ya serikali yapo waz wala huwez kutetea, hats ukichunguza utekelezaji wa budget za serikali katika sector mbalimbali hadi nyingine nyeti kama afya implementation ya budget nzima ni15% hii n hatar kwa ustawi wa watu Na tatzo ni kwamba wanaestimate figure kubwa kuliko uwezo wa kukusanya
 
Mjadala mpana ulioletwa kwetu wananchi unazidi kupamba moto na mpaka muda huu upande wa serikali iliyopo madarakani ya CCM Mpya na wanaLumumba wameshindwa kupangua hoja za Wanaotaka kuingia madarakani.
 
Una shida nyingine. Zitto ana tatizo kama lako. Hajui maana ya takwimu. Unawezaje kumtia mtu hatiani kwa malego aliyojiwekea mwenyewe. Bahati mbaya kabisa Zitto yuko bungeni miaka yote hiyo. Je, tatizo la kutofikia malengo ninini? walijiwekea makubwa? Au ni kawaida ila wamekuwa walegevu sehemu. kote huko hasemi kitu na badala yake anasimulia namba ambazo kiuhalisia zinaonesha tabia ya bajeti kwa nchi zote zinazoendelea duniani.

Nahisi hata wewe hujui anachoelezakwa hako ka-clip!
Kabisa mtu mwanzo mwisho anakosoa tu tena kwa kufanya ‘cherry picking’ ya information anazotaka yeye kujengea hoja potofu aliyokusudia.

Upinzani wanatakiwa kujionyesha wao mbadala kwa sababu wanamajibu na mbinu za kutekeleza wanayo nena.

Budget ina source zake sasa ulitegemea labda wakati anadadavua aonyeshe kiwango akijafikiwa kwa sababu gani, chanzo cha variance alizobaini kutokana sources tofauti za forecast kwenye makusanyo na hatua za kisera walizonazo wao au improvement walizonazo ku address kila source ya adverse variance kwenye budget.

Yeye anaenda kutafuta data zinazo mfaa yeye kujengea hoja kitu ambacho anyone with a degree can do it, you’d expect as an economist aende mbele zaidi kuonyesha tofauti kwa kuchambua either kasoro za plan yenyewe au mapungufu yanayosababisha adverse variance.

Mtu anakuja na kupayuka tu mpaka unajiuliza hoja yake ya msingi nini especially as someone who is selling himself to be an alternative; huoni solution yoyote kutoka kwake wala ata kuonyesha kiini cha tatizo.

Hizi ndio akili za kushauriana na Maria Sarungi na Shangazi; he is loosing the plot aelewi tena anachopinga.
 
Zitto mdogo wangu unajitia aibu ,sote ni watanzania,sahau uccm na uact- wazalendo,sasa unaposhangilia jambo la serikali kukusanya mapato chini ya makadilio sioni kama ni sawa.

Wewe kama mtanzania na kiongozi unayo nafasi ya kushauri kipi kifanyike ili lengo la ukusanyaji mapato lifikiwe kwa asilimia mia moja

Unaposhamgilia ukusanyaji hafifu wa mapato, kwa dhana hii naona pia unafrahia watanzania kuishi maisha magumu na kukosa huduma muhimu ,wewe ni sawa na nyani anayeshangilia pindi kichaka kinapokuwa kinateketea kwa moto pasina kujua ikiwa kinatateketea chote atajificha wapi,

Pole sana mkuu zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlaumu zitto, bure nchi hii nani mwenye uwezo wa kushauri kitu, na jiwe na wapambe wake wakaukubali?!! Wao ni wataalam wa kupika data, kila siku tumekuwa tukiaminishwa kuwa TRA, kila mwezi walikuwa wanavuka malengo ya makusanyo, leo huyo huyo alikekuwa akituambia kuwa malengo yalikuwa yakivukwa, wakati akiwa kiingozi hapi, leo akiwa CAG, anasema miaka 4,TRA,ilikuwa ikikusanya chini ya malengo!! Lisu alisema mangapi, kwenye kushauri, zitto, amesema mangapi, lakini wana msikia?? Kisa ni mpinzani!!! Siasa za kiafrika ni za kishamba sana
 
Hakuna new investor wa njee, pesa inayokusanywa zinatoka nje kupitia SGR, ununuzi wa ndege za kifisadi baada pesa izunguke ndani, Sera za kodi hazishirikishi wafanyabiasha, Export ya mazao kama korosho haijafanyika,

Utapata wapi kodi kama ile pesa unayokusanya hailudi kulipa madeni ya ndani? Kama hauuzi sana mazao, bidhaa nje ili upate dollar? kama hauweki sera za kuwaboost wafanyabiashara wapya hasa wa ndani kupata vyanzo vya mitaji ili wewe upate kodi?

Kama umeweka washikaji zako kwenye sector nyeti za fedha kama Wizara ya fedha, TRA, TPA na Hazina ambao hawana creativity ya kutengeneza mapato ya kutosha au kutengeneza vyanzo vipya vya mapato?

Magufuli umetuangusha sana miaka 5 kwa sababu ya kutosikiliza ushauri.
Mkuu umechambua kitaalam sana!
 
Back
Top Bottom